Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

Tujifunze kupenda pale tunapopendwa na kuheshimika. Mimi ni mweusi siwezi kufosi kupendwa na familia ya watu weupe ili hali wao si preference yao kuchanganya damu na watu weusi. Wapo wanawake wengi wa kiarabu wa Yemen, Egypt,oman ,Palestine, Syria na hata Iraq wanakubali kuolewa na watu weusi. Ila nchi za Ghuba za uajemi kuwait,Qatar,bahrain,UAE na pia Jordan na Saudi Arabia huwa hawapendi kuchanganya damu na watu weusi.

Ni watu wanaooana kwa kutizama Nasaba (koo/familia)
Kuchanganya damu nyeusi ni laana Ndugu zangu wala tusipepese macho
 
Nabii Mussa alikuwa ni mweusi

Narrated Ibn `Abbas:

The Prophet (ﷺ) said, "I saw Moses, Jesus and Abraham (on the night of my Ascension to the heavens). Jesus was of red complexion, curly hair and a broad chest. Moses was of brown complexion, straight hair and tall stature as if he was from the people of Az-Zutt." (sahih Bukhar)
Kwahiyo ulichoandika ndio sifa ya kuwa mweusi?
Mkuu mbona simple tu unasoma hata jamii alipotoka Musa kama walikuwa weusi?
Ushawahi kufika misri?
Au mengine tusiandike sana ila ukweli hakuna nabii mweusi.
 
Mimi ninatumwa na Mungu mara kwa mara na ni mweusi tii. Ingawa sijaandikwa na sitaandikwa kwenye Biblia
Kwanini ujiingize kwenye biblia!
Manabii walishafika kikomo wewe utakuwa kundi la wale waongo😁😁
 
Kwanini ujiingize kwenye biblia!
Manabii walishafika kikomo wewe utakuwa kundi la wale waongo😁😁
Kikomo cha where?. According to who?

WAEFESO 4
11 Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu;

12 kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe;
 
Unarudia yale yale wewe umesema nabii unatumwa na Mungu kwanini unaweka vifungu vya biblia ambamo wakati yanaandikwa wewe hukuwepo?
Anyway tuseme basi weka andika biblia ilikutabiria kuwa utakuja kuwa nabii?

Wewe ni nabii weka maandiko yako yaani yale maono na ufunuo unaopewa na Mungu.
Sasa wewe una weka maandishi ya waefeo huoni huo unabii wako ni POROJO tayari.
 
Nabii ni Nani?
 
Inategemea na familia, wanalika vizuri tu na ni watamu kinoma!
 
Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
View attachment 3676114
Watu weusi hawana akili, hata Mimi ningekuwa mwarabu nisingegusa ngozi nyeusi.
 
Sio tu duniani
Nitajie nabii alietumwa na Mungu iwe kwenye biblia au kwenye Qur an ambae alikuwa mweusi?
Mwanamalundi chapo sio lazima atokee kwenye vitabu vyenu vya soga za hapo mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom