Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

Sio tu duniani
Nitajie nabii alietumwa na Mungu iwe kwenye biblia au kwenye Qur an ambae alikuwa mweusi?
Nabii Mussa alikuwa ni mweusi

Narrated Ibn `Abbas:

The Prophet (ﷺ) said, "I saw Moses, Jesus and Abraham (on the night of my Ascension to the heavens). Jesus was of red complexion, curly hair and a broad chest. Moses was of brown complexion, straight hair and tall stature as if he was from the people of Az-Zutt." (sahih Bukhar)
 
correct wenyewe kwa wenyewe unaweza kukuta hawaoleani...yaani ukitaja unatokea kabila fulani/koo flani basi huwezi pewa mke.

Mfano ukitokea koo yenye hadhi ya chini basi huwezi pewa mke aliyezaliwa katika koo au kabila lente nguvu. Ipo hivyo hata kwa wazungu huwezi kwenda kuoa katika familia ya mfalme Charles ikiwa wewe si katika familia ya kifalme.
Sure
 
Mfano makabila gani watu wake wanapigwa vita kuoana kwetu sisi weusi ?
Tangu nikiwa mdogo nasikia katika jamii yetu watu wanaonywa kuoa watu wa kaskazini hasa Wachaga na Wahaya kwamba lazima yatakukuta tu huko mbeleni. Makablia ya nyanza za juu kusini sijawahi kusikia sana yakituhumiwa labda kidogo Wanyakyusa
 
Nabii Mussa alikuwa ni mweusi

Narrated Ibn `Abbas:

The Prophet (ﷺ) said, "I saw Moses, Jesus and Abraham (on the night of my Ascension to the heavens). Jesus was of red complexion, curly hair and a broad chest. Moses was of brown complexion, straight hair and tall stature as if he was from the people of Az-Zutt." (sahih Bukhar)
Musa ni Character wa Kiyahudi
 
Hapo umeongelea Waarabu wenye pesa tu, vipi kuhusu Waarabu wasio na pesa na mali lakini hawapendi mahusiano kati ya Waarabu na watu weusi?
Na wao wanalinda Nasabah yao isipotee..!! Waarabu wa hadhi ya chini nao huozeshana na koo za waarabu wenye hadhi ya chini..Familia za kibedui zinaozeshana zenyewe kwa wenyewe
 
Tangu nikiwa mdogo nasikia katika jamii yetu watu wanaonywa kuoa watu wa kaskazini hasa Wachaga na Wahaya kwamba lazima yatakukuta tu huko mbeleni. Makablia ya nyanza za juu kusini sijawahi kusikia sana yakituhumiwa labda kidogo Wanyakyusa
Hayo maneno ya wazee wa zamani sio watu wengi wanaozingatia sana tena, sasa hivi Wachaga na Wahaya wameona sana.
 
Ni kawaida sana kubaguana hata wazungu miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu sana na watakutenga pia
Hata kupata mimba tu nje ya ndoa ilikuwa kama mkosi
Mimi nimeishi nchi nyingi za Mashariki ya Kati na Ulaya na Asia pia kote huko tabia ni hizi hizi za kutengana
Hata wanawake wao wengi kukubali ni shida na sio zamani sana

Watu wanapenda kudumisha mila zao na sio ubaguzi
Kusema ukweli kuwa katika koo moja mimi naona ni sawa sana
Nimeshuhudia watoto coloured wakitengwa na pande mbili na kuonewa sana mashuleni
Sasa unadhani ni nchi hapo au binadamu hawataki kuingiliana kwa mambo mengi?

Wewe utaelewana na msichana lakini maisha yako yatakuwa na limit tu na sio kuwa na ukaribu na familia yake
Sasa ya nini yote hayo
 
Wahutu na Watusi wamekuwa wanaoana miaka yote (pia hawakuwa kama makabila tofauti bali watu katika madaraja mawili tofauti ya uchumi ndio maana hata lugha ni moja.

Hakuna mtu anayezuiwa au atakayebaguliwa kwenda kuoa au kuolewa kwa Wahadzabe nchi hii. Ubaguzi uliopo Tanzania kwenye kuoa labda wa dini.
Ilikuwepo na mpaka sasa ipo kwa baadhi ya makabila na jamii fulani ,hata machame na kibosho tu ulilikua hivyo na kuna ambao mpaka sasa wana ona hivyo
 
Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
View attachment 3676114
Kwasababu watu weusi ni Nyani, hamjiamini na hamjitambui.

Mnalazimisha sana kukubalika na watu weupe.


Mazamwamwa.

Ndio maana mpaka wasomali na wahindi ambao ni watu wa OVYO kabisa na wao wanawaona MAVI kabisa.
 
Ungeanza na sisi wenyewe rangi nyeusi tunavyobaguana.
Unalalamika kwamba Waarabu ni wabaguzi na hawataki kuchanganya rangi na watu weusi,kwa kiasi fulani, hoja yako inaweza kueleweka.

Lakini kabla hatujawalaumu wengine, ebu turudi nyuma tujiangalie sisi wenyewe rangi nyeusi tunavyobaguana, je, tunajitofautisha kiasi gani na wale tunaowaita wabaguzi?
Umewahi kusikia mtu akisema, “Usioe watu wa Singida au Manyara, wanawake wao ni malaya? Huo si ubaguzi?
“Usioe Mpare, Wachaga au watu wa kabila fulani kwa sababu ni wachoyo,” au “Usioe Mzaramo kwa sababu wanapenda ngoma na umalaya”je, huo nao si ubaguzi?

Tatizo linakuwa pale tunapobaguana sisi kwa sisi tunaona ni jambo la kawaida, lakini tukibaguliwa na watu wengine tunaliona kuwa ni kosa kubwa.

Ukweli ni kwamba, ubaguzi unabaki kuwa ubaguzi, iwe unatoka kwa mtu wa rangi nyingine au unatoka kwa mtu mwenye rangi yako, taifa au kabila lako.

Kabla hatujadai usawa kutoka kwa wengine, ni muhimu pia tuanze kujitazama sisi wenyewe. Tusipende kulalamika ubaguzi tunapofanyiwa, huku sisi wenyewe tukiufanya kwa wengine.
Ubaguzi uliopo Tanzania katika ya makabila ni wa maneno zaidi, sio vitendo. Tanzania hadi Wachaga wanaoa Wapemba. Ni kawaida sana Tanzania kukuta Mpare na Mchaga au Msukuma na Mzaramo wamezaa pamoja.

Ubaguzi wa Tanzania katika ndoa kwa kiwango kikubwa ni katika dini.
 
Wahindi mpaka kesho ukiwa mtu mweusi basi kupewa mke kwenye familia zao ni mtihani mkubwa sana. Hawataki kuchanganya damu....Sio jambo baya pia inatuwezesha tujuane na kutofautiana mionekano.

Mfano tukiwa ulaya nikimuona mtu mweusi najua tu huyu atakuwa ni kutoka Africa, nikimuona muhindi pure najua huyu ni kutoka india,nikimuona mchina najua huyu ni kutoka china. Nikimuona mjapan najua huyu ni kutoka japan...Machotara (Half cast)huwa wanakosa ile hali ya kutambulika kinasaba
 
kuna waafrika ni weupe mfano wanyaturu, warangi na wambulu, hawa nao wanaweza kubaguliwa kwa rangi zao? Kuna raia mmoja mtanzania huko misri anafanya kazi huko, ni mnyaturu na mke wake ni msandawi, wote ni weupe na wamezaa watoto weupe utadhani ni waarabu wa misri. Wakivaa hijabu unaweza kudhani ni waarabu. Sasa hawa watabaguliwa vipi na waarabu wakati wanafanana nao weupe?
Wale nao ni weusi.. Akisimama na mzungu bado ataonekana Black.
 
Wahindi mpaka kesho ukiwa mtu mweusi basi kupewa mke kwenye familia zao ni mtihani mkubwa sana. Hawataki kuchanganya damu....Sio jambo baya pia inatuwezesha tujuane na kutofautiana mionekano.

Mfano tukiwa ulaya nikimuona mtu mweusi najua tu huyu atakuwa ni kutoka Africa, nikimuona muhindi pure najua huyu ni kutoka india,nikimuona mchina najua huyu ni kutoka china. Nikimuona mjapan najua huyu ni kutoka japan...Machotara (Half cast)huwa wanakosa ile hali ya kutambulika kinasaba
Sio tatizo kama wewe mtu binafsi utasema hutaka kuwa na mahusiano na mtu wa rangi au dini fulani ila inapofikia kiwango cha jamii, familia au kabila kwa ukubwa kupinga au kutatiza mahusiano kati ya watu kwa sababu ya rangi au dini hiyo ni shida.
 
Back
Top Bottom