Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe
Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila nilisoma comments nyingi sana, watu wanasupport walichosema hao vijana
Leo nimekutana na post ya hapa nyumbani kwetu Tanzania. Ni kama utani tu, Mtu amepost "Yani nichomwe moto kwenye maisha ambayo sikuomba kuzaliwa, aisee kitawaka sana uko mbinguni"
Ukizama kwenye comments Watanzania hawaogopi kukufuru, watu wanatype mambo ambayo dini zimekuwa zikitukataza for years, ila wanatype bila woga na wanajoke na mambo ya Mungu
Of course kwa huku Tanzania bado wapo watu wengi wa dini walikuwa wanajaribu kutisha watu comment section lakini majority wanaonekana kusupport.
Watu wameshagundua dini ni unafiki mtupu
Itafika hatua watu wengi watazipuuza kabisa, hata leo hii watu wanaenda msikitini na makanisani ili jamii isiwaone mashetani, ila ile imani kali ya dini na Mungu kwa watu wengi imeshaanza kufutika