wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Lema Itafsiriwe kwa Kiingereza Ili Wazungu Wajue wazi kabisa Namna wanaharakati uchwara wamekuwa wakichochea Vurugu na machafuko hapa Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Lema ameongea ukweli Mchungu sana siku ya leo kwa kuonyesha namna wanaharakati uchwara akina Mange Kimambi na akina Maria Sarungi wamekuwa wakifanya uchochezi kuchochea vurugu na machafuko hapa Nchini huku wao wakijificha huko waliko ambako wanalishwa kama Makinda ya...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ningelipata nafasi ya urais,ningekaeibisha wazungu kuhamia nchini.

    Binafsi huwa siiamini mentality ya mtu mweusi,iliyojaa uroho na ulafi mkali,namaanisha hata umuone mtu msomi kiasi gani na smart kiasi gani,ni lazima awe mwizi,mpiga deal mroho wa mali asiyetosheka,akili ya mtu mweusi haimtumi katika kuona basics nne za mwalimu nyerere, Mtu mweusi na tabia zake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Roma ni kanisa organized kwasababu kuna wazungu, kadri kanisa linavyokosa wazungu upigaji hushamiri, vyeo vya kujuana

    Unaweza kuona ni kama maajabu kwa kanisa la Roma kuwa very organized. Wana shule zinazotoa elimu bora na zinazongoza kitaifa, wana vyuo vizuri, wana taasisi zinazotoa huduma bora kwa afya, sehemu walizopo watu wengi wameelimika na kuna maendeleo, hii ndio maana halisi ya kuwa taasisi ambayo ipo...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kila mtu angewashangaa wazungu kama Lissu angepata tuzo ya SAKHAROV

    Ndani ya EU kuna watu wajinga/corrupt/lobbists wanapenyesha hoja za kijinga kwa wajumbe wa EU ili kufanikisha agenda zao za kijinga. Sema tu wabumge wa EU wengi wao wana akili lazini, wanazipiga chini mwisho wa siku kwa kuogopa kuchekwa na dunia. Yaani Lissu amefanya nn cha maana kinachostahili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Video: wazungu wakivunja maduka na kuiba UFARANSA

    Kama Tandale vile. Social media imetufumbua macho. Sio waarabu , hawa ni wazungu hasa. Wazungu wa mbagala kwa manyani zamani wakituaminisha kwamba mzungu ni mstaarabu, kumbe maisha tu yalikua hayajampiga.
  6. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Wazungu wasionewe huruma, acha wavune walichopanda

    Hawa watu wakiongozwa na shetani mkuu ( USA ) na kibaraka wake Israel wamekuwa wakiendesha vitendo vya kikatili, na unyama wa hali ya juu dhidi ya Iran na mataifa mengine yanayopinga kushikiwa akili na Marekani. Waliiwekea Iran vikwazo vikali vya kiuchumi kuliko nchi yoyote hapa duniani, ili...
  7. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Tanzania Wazungu wakija huku... Sisi tulio huku.

    Wao wanapenda sana kiswahili na kujiita majina ya kiswazi 1. Mika Mwamba 2. Mzungu Kichaa 3. Richard Mabala Sasa njoo kwa sisi Wandengereko. 1. Ommy Dimples 2. Harmonize 3 . Diamond n.k
  8. J

    JamiiForums Tanzania Watu Weusi na Waislam tunaenda kutawala Dunia, Wazungu na Wachina hawazaliani tena, wamechoka

    Hii ndio Hali ya Dunia inakoekekea. Japo ndio wavumbuzi wa teknolojia za kisasa zilizorahisosha maisha hapa duniani lakini kwa sasa hawazaliani tena. China, Korea na Japan ni karibia wazee tupu, baada ya vizazi viwili watakuwa wamepungua kwa zaidi ya nusu China wapo bilioni 1.4 sasa hivi ila...
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kisa cha panya wa Hanoi na mamilioni ya dola za Wafaransa. Wazungu walijiona mabwege wasio na akili kabisa.

    Mwaka 1902, mji wa Hanoi nchini Vietnam ulishuhudia moja kati ya mipango ya kijinga, ya kuchekesha, na iliyoacha kovu la aibu katika historia ya ukoloni wa Ufaransa—jaribio la kutokomeza panya kwa kuwalipa wananchi kwa kila mkia wa panya walioleta! 🐀💥🇫🇷🇻🇳 Kisa hiki kilianza wakati wakoloni wa...
  10. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mafundisho ya dini tunayopatiwa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa mafundisho haya haya?

    Hivi haya mafundisho tunayopewa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa hivi hivi au kwa wazungu wanapewa mafundisho yao mengine japo dini moja. Kuna vitu ukivisikiliza kwa masheikh au wachungaji haviingii kabisa akilini na mbaya zaidi ukihoji uweze kuelewa na kuondolewa shaka...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawai kuona wazungu humu ?

    wakuu kwema inamaana hakuna wazungu single humu
  12. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Waafrika wameanza kuzipuuzia dini za Wazungu na Waarabu

    Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Wazungu walijiendeleza kwa mbinu zote kabla ya kuanza drama za demokrasia

    Historia haijifichi na inaeleza wazi namna wazungu walivyojenga uchumi wao kwa vita na unyonyaji wa hali ya juu. Baadae sana walivyoshiba mema ya nchi zao na nchi nyingine ndipo walipoanza kutangaza demokrasia. hata hivyo hulka ya unyonyaji haijaisha japo kwa sasa inafanywa kwa ustadi mkubwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye swala la uzazi wa Mpango Wazungu walijichanganya, Vizazi vyako na familia zao zimeparanganyika. Ingawa.....!!

    Ukweli usemwe Tu, Mimi sio muumini wa kuzaa watoto wengi wanaozidi Uwezo wa kuwatunza na kuwalea. Nimekuwa Wakili( Advocate) wa kuzaa kwa mpangilio na kuhimizia familia kuhakikisha wanafanya kazi ili kulea watoto wao kwa uzuri na kujenga Taifa Bora. Nimezunguka Nchi kadhaa duniani kama 10 tu...
  15. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kuanguka kwa Sayansi ya Misri ya Kale: Je, Ni Sababu za Kidini, Kisiasa, au Wazungu Walituibia Historia Yetu?

    Wakuu salamu, Kuna ukweli mchungu sana kuhusu Ustaarabu wa Misri ya Kale (Ancient Egypt) ambao mara nyingi haufundishwi mashuleni. Misri haikupotea kwa sababu majengo au mahruba (pyramids) yalibomolewa. Kilichopotea ni kitu chepesi lakini cha thamani zaidi: Mnyororo ulio hai wa watu waliokuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu na Waasia huwa wanatuchukuliaje sisi waafrika.

    1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu. 2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini...
  17. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu nao wanaanguka mapepo kama huku kwetu?

    Wenye uzoefu semeni neno?
  18. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu huko kwao kuna supu ya utumbo?!

    Kama haipo ya utumbo na ya kongoro basi bora nibaki Afrika. Supu ya utumbo, maharage na chapati 2 mchambuko na maharage ya kumimina aah wee
  19. Red black

    JamiiForums Tanzania Ili Africa ipate maendeleo ni either wazungu wote wahamie huko Africa then waafrica muhamie US,Ulaya..nk

    Nje ya hapo Africa kupata maendeleo ni nadri sanaa. Wazungu wakikabidhiwa bara la Africa kama ambavyo livyo hivi sasa within 10yrs litakuwa very attractive and beautiful place to live.
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wazungu wakiendelea kukaza hivi hivi hadi mwisho inaweza kutuchukua muda gani kuingia katika total economic crisis?

    Economists, Planners, Financial analysts, Insiders, Strategists, JFers, Karibuni.
Back
Top Bottom