Kila mtu angewashangaa wazungu kama Lissu angepata tuzo ya SAKHAROV

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Ndani ya EU kuna watu wajinga/corrupt/lobbists wanapenyesha hoja za kijinga kwa wajumbe wa EU ili kufanikisha agenda zao za kijinga. Sema tu wabumge wa EU wengi wao wana akili lazini, wanazipiga chini mwisho wa siku kwa kuogopa kuchekwa na dunia.

Yaani Lissu amefanya nn cha maana kinachostahili kupewa tuzo? Wallah hiyo tuzo ingeshuka thamani na kudharauliwa kama wangempa Lissu.

Hebu fikiria ingekuwaje kama TAL angepata hiyo zawadi. Tungewabeba na mbeleko gani?

Mungu fundi aisei, wakakojoe walale.
 
Dawa ya hao Wabunge wajinga wa EU ni kumhukumu Lissu kunyongwa hadi kufa tuone wataifanya nini Tanzania.
 
Huyo ajuza wenu alishawahi hata kupendekezwa kwenye tuzo ipi wewe malaya? Au mnasubiria tuzo kutoka kwenye lile tapeli lenu la Zimbabwe?
 
Dawa ya hao Wabunge wajinga wa EU ni kumhukumu Lissu kunyongwa hadi kufa tuone wataifanya nini Tanzania.
Bado tunaamini mahakama za Tanzania zinazingatia haki. Kumhukumu binadamu afe ili kuona reaction za wabunge wa ulaya sio haki.
 
Ndani ya EU kuna watu wajinga/corrupt/lobbists wanapenyesha hoja za kijinga kwa wajumbe wa EU ili kufanikisha agenda zao za kijinga. Sema tu wabumge wa EU wengi wao wana akili lazini, wanazipiga chini mwisho wa siku kwa kuogopa kuchekwa na dunia.

Yaani Lissu amefanya nn cha maana kinachostahili kupewa tuzo? Wallah hiyo tuzo ingeshuka thamani na kudharauliwa kama wangempa Lissu.

Hebu fikiria ingekuwaje kama TAL angepata hiyo zawadi. Tungewabeba na mbeleko gani?

Mungu fundi aisei, wakakojoe walale.
Wagekupa wewe ingependeza sana
 
Ukiwa mpumbavu hujui kama wewe ni mpumbavu, ukiwa bwabwa huwezi kujua, ni wewe sasa
 
1792724762314.png
... busara zitumike hukumu la LISSU!
FREE LISSU!
 
Ndani ya EU kuna watu wajinga/corrupt/lobbists wanapenyesha hoja za kijinga kwa wajumbe wa EU ili kufanikisha agenda zao za kijinga. Sema tu wabumge wa EU wengi wao wana akili lazini, wanazipiga chini mwisho wa siku kwa kuogopa kuchekwa na dunia.

Yaani Lissu amefanya nn cha maana kinachostahili kupewa tuzo? Wallah hiyo tuzo ingeshuka thamani na kudharauliwa kama wangempa Lissu.

Hebu fikiria ingekuwaje kama TAL angepata hiyo zawadi. Tungewabeba na mbeleko gani?

Mungu fundi aisei, wakakojoe walale.
Lissu ni mhanga wa risasi 16
 
Lissu kufika top 3 ameprove kitu!Yaani unawania tuzo Moja na ICC,hiyo ni heshima iliyotukuka!
 
Lissu kashindanishwa na kaingia fainal na taasisi kubwa Dunia!!, huyo bibi kidude wenu aliyeifikisha Tz kuwa no 6 kwa ubora wa wananchi kuishi kwenye Dimbwi la Umaskini!!, angetoboa hata hapo!.
 
Back
Top Bottom