funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Historia haijifichi na inaeleza wazi namna wazungu walivyojenga uchumi wao kwa vita na unyonyaji wa hali ya juu.
Baadae sana walivyoshiba mema ya nchi zao na nchi nyingine ndipo walipoanza kutangaza demokrasia.
hata hivyo hulka ya unyonyaji haijaisha japo kwa sasa inafanywa kwa ustadi mkubwa kuepuka chuki.