mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna jeshi jirani litakalowaweza watutsi kufikia 2050, Tukio la mwaka jana kuwazidi mbinu Jwtz na majeshi mengine limeonyesha walivyozidi kuimarika.

    Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi. Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lema: CHADEMA tubadili mbinu, njia ya chuki haitusaidii

    "Njia ya mbele hii ni ngumu kuliko hii ya sasa ila wananchi wanaweza kuzuia hiyo njia isiwaumize viongozi wao, wananchi wako tayari? Sasa nikizungumza hivyo kwenye mikutano wanaanza ooh Lema umeanza kuwa muoga, sio kuwa kuoga pengine nimeanza kuwa na hekima, nimegundua kuwa njia ya chuki...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbadala itakayokusaidia dhidi ya watekaji

    Ikitokea umeingia kwenye rada za watekaji na hii ni kwakua lazima mara nyingi muhanga awe anajua kwakua watekaji mara nyingi sio wendewazimu wamfuate mtu hivihivi bila sababu. Sasa ukishayatindinganya na ukaona umepewa onyo la meseji au kufuatwa fuatwa na sura usizozielewa basi mbinu hii...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kushangaza na Mafunzo ya Utajiri Kutoka kwa MO Dewji: Mbinu 5 Zinazoweza Kubadili Mtazamo Wako wa Kifedha

    Mambo ya Kushangaza na Mafunzo ya Utajiri Kutoka kwa MO Dewji: Mbinu 5 Zinazoweza Kubadili Mtazamo Wako wa Kifedha 1. UTANGULIZI Kuelewa siri za utajiri wa kweli na endelevu barani Afrika ni safari inayowatatiza wengi. Mara nyingi, tukitazama wafanyabiashara wakubwa, macho yetu huona matokeo ya...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Lissu kugoma kula ni dhaifu sana kulinganisha na mahasimu wake walivyo makatili. Wanafurahia hiyo mbinu

    Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti . Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu Mod usiunganishe uzi
  6. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Vigogo wa Kisiasa, Kidini na Kijeshi Kuhusu Tatizo la Umachiavelli wa Kitaasisi Tanzania: Muda wa Kuchukua Hatua ni Sasa

    Sasa ni mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, tukio ambalo lilitakiwa kuwa kielelezo cha sauti ya wananchi, lakini badala yake likageuka kuwa kilele cha kile ninachokiita Umachiaveli wa Kitaasisi. Mbinu za Machiavelli sio wazo geni katika siasa zetu. Lakini sasa limefikia kiwango cha...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa kigeni wabadilisha mbinu kuendesha biashara Kariakoo

    Wafanyabiashara wa kigeni wanaotuhumiwa kukiuka vizuizi vya Tanzania vinavyowazuia raia wa kigeni kuendesha baadhi ya biashara, wanadaiwa kubadilisha mbinu ili kuendelea kubaki katika soko lenye faida la Kariakoo. Wengine wanaripotiwa kutumia majina ya Watanzania kupata leseni za biashara, huku...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tumia mbinu hizi kuepuka kutekwa

    Katika Video hii,Twaha Mwaipaya anaongelea mbinu za kukwepa kutekwa
  9. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kujifunza mbinu za kujihami za ngao - self defense

    Tmbelea katika mitandao yetu ya kijamii, ikiwemo fFacebookYou tube
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwaipaya: Tumia mbinu hizi kuepuka kutekwa

    Copy and paste Msikilize kwa makini
  11. A

    JamiiForums Tanzania Bila shaka kila mpenda haki anajua kuwa 29 Oktoba, 2026 itakuwa ni siku ya kuwakumbuka mashujaa wetu

    Bila shaka kila mpenda haki anajua kuwa tarehe 29/10/2026 itakuwa ni siku ya kuwakumbuka mashujaa wetu waliopambana kwa ajili ya ukombozi wa Tanganyika lakini bahati mbaya wakauwawa na hii serikali ya kikoloni Ili kuwaenzi hawa wazalendo yafaa tupeane mbinu za kisasa za kukinukisha ili wakoloni...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kumrudisha mzungu Tanzania na nchi za Africa ni kutatuta wawekezaji

    Haiwezekani mtu aje kuwekeza Matrilioni ya shilingi asiwe interested na Siasa!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee aliyekuwa na maono makubwa kuhusu miundo mbinu ya barabara ni Jakaya Mrisho Kikwete, Magufuli ndiyo aliturudisha nyuma!

    Nchi yetu barabara kuu km za 1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001) 2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002) 3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane. Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli; 1. Uwanja wa ndege wa...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za kupata hela, aya mambo ya hoya hoya yanatupotezea muda.

    Unauza bidhaa gani au unatoa huduma ipi kwa bei rafiki?
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mhalifu afichua mbinu ya kuwalewesha Watu kwa Dawa za Kulevya na kuwaibia

    Video inayosambaa mitandaoni inamuonesha mshukiwa aliyekamatwa akieleza kwa maafisa wa DCI jinsi yeye na wenzake wanavyowalaghai wananchi wasio na habari kuhusu dawa za kulevya na kisha kuwaibia. Katika video hiyo, mshukiwa anaonekana akiwa amefungwa pingu huku akionyesha kifurushi kinachodaiwa...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za CHADEMA za kukoleza uchochezi na kuvunja sheria, halafu kukimbilia kulalama wanapobanwa na vyombo vya dola

    👉 Chadema wamekuwa bingwa wa kutumia mikutano ya hadhara kama majukwaa ya kupiga kelele, matusi na kuchochea uvunjifu wa amani badala ya kujenga hoja za kisera. 👉 Chama hiki kimejenga utamaduni wa kuamini kuwa viongozi wake hawatakiwi kuhojiwa au kuchunguzwa na vyombo vya dola pindi...
  17. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Dokezo la Usalama wa Kimkakati: Wito wa Kupunguza Mbinu za Kimabavu na Njia Mbadala za Mabadiliko Kuelekea 2029

    Mheshimiwa Msomaji, Husika na mada iliyotajwa hapo juu. Nina heshima kubwa kuwasilisha rasmi kwako Jalada la Usalama wa Kimkakati kuelekea Tanzania 2029, lililoandaliwa na Baraza la Kufikirika la Ushauri Kuhusu Utawala Bora na Usalama wa Kimkakati. Jalada hili limetayarishwa kufuatia tathmini...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Watoza ushuru wanakutana huko Arusha kupeana mbinu mbalimbali.

    Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 46 wa Chama cha Wasimamizi wa Kodi cha Jumuiya ya Madola (CATA) utakaofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 5 hadi 9 Oktoba, 2026. Mahali: Arusha (katika Hoteli ya Gran Melia). Tarehe: Oktoba 5 hadi 9, 2026. Mgeni Rasmi: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hodi! Naombeni mbinu ya kujizuia kumwaga mshindo!

    Nifanyeje niweze kujikontrol na kumalizia kwa dakika ninazotaka Mimi?!!! Msaada tafadhali🙏🙏
  20. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mabosi wengi kudate na wafanyakazi ni mbinu ya kikachero

    Maisha yanaenda kasi sana Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum 1.Hupata taarifa za pamoja juuu ya utendaji wa wafanyakazi wote kwa asilimia mia Moja 2.Mara nyingi Hawa mabosi hujua tabia ya...
Back
Top Bottom