mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Utaratibu na Mbinu za kupata Ubunge kupitia ticket ya CCM mwaka 2025,Jimbo la Same Mashariki,Huko Kilimanjaro

    Utangulizi Kufanikiwa kupata ubunge mwaka 2025 kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni lengo la wengi, lakini linahitaji mipango, mikakati, na uelewa wa mazingira ya kisiasa. Hapa chini ni hatua, vikwazo, na mbinu za kufanikisha lengo hili. 1. Uelewa wa Utaratibu wa Uchaguzi a...
  2. M

    Yanga hii ndio Simba ileeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu, mbinu za medani za Simba zimeibwa na Yanga

    Nna uhakika kabisa kama wameweza kusajili wachezaji wa simba waliotemwa nna uhakika hata mbinu zilzokuwa zinatumiwa na Simba ileeeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu imeibwa na hawa jamaa. Kiukweli wana makafara mazito mazito ambayo hayazuiliki, mbinu zote za Simba wamechukua wao, wanakimbiza kama...
  3. Braza Kede

    Unatumia mbinu gani kudhibiti staff wako wasikuibie?

    Chukulia unafanya biashara ambayo sio muda wote unakuwepo hapo wewe mwenyewe ila umeajili watu wengine ndio wapo hapo muda wote kuhudumia wateja. Unafanyaje ili staff uliowaajili kusimamia biashara wasikupige matukio? NB1: Chukulia unawalipa vizuri kulingana na hali ya soko, japo nayo sio...
  4. J

    Mbinu 7 ambazo shetani hutumia kuwaweka watu mbali na Mungu katika dunia ya sasa

    Kwenye dunia ya sasa, shetani anapambana sana kuwaweka watu mbali na Mungu. Na anatumia mbinu na mitindo ya maisha ya dunia ya sasa kufanikisha hilo: 1. Kuvutia watu kwa maisha ya kidunia na mali: Shetani hutumia tamaa za ulimwengu, kama utajiri, umaarufu, furaha za nje, na starehe za mwili...
  5. kyagata

    Hapo ofisini kwenu ukiwa umefulia ukifika muda wa lunch huwa unatumia mbinu gani kuzuga ili watu wasikushtukie kuwa umefulia?

    Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri. Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
  6. S

    Mkakati wa Blue Ocean (Bahari ya Bluu): Shindana Upya, Fungua Soko Mpya

    Blue Ocean Strategy ni nini? Blue Ocean Strategy (Mkakati wa Bahari ya Bluu), ulioanzishwa na W. Chan Kim na Renée Mauborgne, ni mbinu ya ubunifu wa biashara na ukuaji. Badala ya kushindana kwenye masoko yaliyojaa (red oceans), mkakati huu unalenga kuunda masoko mapya yasiyo na ushindani (blue...
  7. Mtukutu Mkuu

    Mnatumia mbinu gani Kwenye hii hali

    Habari ya muda wazee Kuna mshikaji kankomba ushauri nimekosa jibu la kumpa Yeye anamke wake ila Mimba iliharibika baada ya muda Kidogo mke jamaa akataka show wakati wa tendo jamaa aliniambia uke ni mgumu hivyo anashidwa Kabisa kupitisha uume nilitaka nimshauri atumie vilainishi(ila Sina uzoefu...
  8. ngara23

    Mbinu za kuishi mitaa ya kihuni, uswahilini

    Wanasemaga kambi popote Kuna watu hawawezi kuishi hata siku mbili tu maeneo yaliyopinda, wanaogopa wahuni na vibaka, sijui panya road Nishawahi kuishi Dar nikiwa na familia yangu huko Mbagala na lilikuwa kipindi cha panya road, hakuna muhuni alisumbua Hapa nitawapa mbinu kadhaa 1. Unapoombwa...
  9. Bravoozi3

    Utatumia mbinu gani kukwepa ndoa ya kimasihara?

    ikitokea Umemleta demu ghetto ukidhani atakaa siku moja mara ghafla anakata wiki nzima, hujakaa sawa anafuata kwao mabegi na baadhi ya vyombo, mara ghafla anaanza kukuuliza mtoto wetu wa kwanza tutamuita nani?, wakati huna hata mpango wa kuoa, je utalikiambia ghetto lako au utatumia mbinu gani...
  10. S

    Madai ya Lissu kulipiwa fomu na Sativa ni mbinu za kisiasa tu hazina ukweli wowote

    Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu...
  11. Dabil

    Mbinu ipi inafaa kuwafunga vilabu vya kiarabu vinavyopoteza mda?

    Vilabu vya kiarabu hasa North Africa vimekuwa vya hovyo sana,naweza kusema wenye mpira mzuri ni Al Ahly tu, kupaki basi sio tatizo ni mbinu ya kujilinda hasa unapozidiwa,lakini kupoteza mda kuanzia kipindi cha kwanza ni ujinga, waarabu wanapenda kujiangusha angusha hata kama...
  12. Master20

    Mbinu za kumpata demu yeyote unayemtaka

    Ndugu yangu leo nimeamua kukuletea mbinu nne za kumpata mwanamke yeyote unayempenda bila hata kumtamkia kama unampenda. twenzetu!! 1. Mpe hela 2. Mpe tena hela 3. Endelea kumpa hela 4. Endekeza hivyo hivyo kumpa hela ukipita mwezi hajakukubalia niite mbwa!! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  13. DeMostAdmired

    JAMANI KUNA WATU WANA MBINU YA KUKWEPA KULIPA MADENI HAPA MJINI

    Huyu Boss nilimshushia mzigo wa kama 2.4m wiki ilopita tuaahidiana baada ya siku 3 ataclear. Juzi nimeenda ofisini kwake, alikuepo yeye na mkewe, ile napaki ka pikpik kangu pembeni naingia ofisini waliponiona tu wakaanza kutupiana maneno kama ya ugomvi vile ugomvi so wa kitoto maneno makali...
  14. puker

    Wazee wa Kubet njoo tukumbushane mbinu tulizotumia lakini Mhindi Bado AKATUCHAPA!

    Betting ni kitu kitu addiction ya ajabu sana. Kila siku tunachezea kichapo lakini Bado hatukomi. Sasa Kuna Ile time, umeshachambua Games lkn Hali Iko pale pale, unaanza kwenda prediction zako😁, ukiamini pengine mambo yanaweza kuwa tofauti🍾... twende kazi ngoja nitoe zangu😋 Mm nilishawah...
  15. Surya

    Msaada wa mbinu ya kuruka Mtego

    Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba.. Karuka, na kudai tuwe marafiki. Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane. Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na...
  16. jingalao

    Mbinu ya kijasusi - kutengeneza chuki dhidi ya Serikali ili kuacha ombwe la kiuongozi!

    Tunaposheherekea miaka 63 ya Uhuru ni vyema kama Taifa kutafakari katika maeneo kadhaa ambayo ni muhimu. 1-Tanganyika ilipata uhuru bila kumwaga damu yaani vita. 2-Kupitia Waasisi wetu hususani Mwalimu Nyerere tuliona njia bora ni kudai Uhuru wetu kwa njia ya kidiplomasia. 3-Hata baada ya kupata...
  17. KENZY

    Usitumie hii mbinu kwenye mapenzi utakuja kufa!

    Waswahili wanasema "Kata mti panda mti!". Huu msemo usiulete kwenye mapenzi utakuja kufa ulimi nje!. Baada yakubwagana na mpenzi wangu chapchap kuuponya moyo,roho na nafsi yangu nikaamua kutafuta mpenzi harakaraka ili ku cover nafasi iliyoachwa wazi!. alikuwa binti fulani hivi ndembendembe...
  18. Mganguzi

    Polisi wetu mtuhumiwa hakamatwi kwa uvamizi, badilisheni mbinu za ukamataji

    Nitoe Rai kwa jeshi la polisi pamoja na yote upepo unaopita kwa sasa kwenye nchi yetu sio mzuri! Badilisheni namna ya kumkamata mhalifu kinyume chake wananchi wataanza kujihami kwa siraha yoyote nife ama ufe wewe ! Kwa sababu Hali sio shwari! Mnaenda kumkamata mtu kwa kumvamia mnataka aamini...
  19. ngara23

    Huwa unatumia mbinu Gani kumuomba mwenza wako msamaha

    Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume Huwa tunaomba msamaha Kwa vitendo sio Kwa kusema na mwanamke ataelewa kabisa kwamba Kwa matendo haya naombwa msamaha...
  20. S

    Ripoti inayoelezea mbinu za Marekani kuidhoofisha Urusi iitwayo Rand Corporation 2019

    Leo katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Rand Corporation 2019. Hii ni ripoti yénye kuelezea mbinu ambazo Marekani na washirika wake wanaweza kutumia kwa ajili ya kuidhoofisha Urusi pamoja na uwezekano wa kila mbinu kutimiza lengo hilo. Kilichonishtua zaidi ni kuona kwamba yale...
Back
Top Bottom