mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Hii nchi imegawanywa kuanzia kipindi cha Magu, Samia anaendeleza dhambi hiyo kuhusu ujenzi wa miundo mbinu

    Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo...
  2. Waufukweni

    LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

    Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Lissu amewataka Watia nia...
  3. L

    Nimekuwa mtu mwema nimeishia kudharaulika naombeni mbinu za kuwa na roho mbaya nisiye na hisia

    Habari zenu jamii forum kama kichwa cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kuwa mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma wala upendo. Nimekuwa mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na...
  4. Kidagaa kimemwozea

    Ulitumia mbinu gani kupata milioni 100

    Ndugu kijana ulitumia mbinu gani kupata TSH milioni 100? Tunaomba mbinu vijana wenzio wajifunze.
  5. mdukuzi

    Mbinu wanazotumia wapinzani kukwepa mtego wa kukutwa na vidhibiti wanapopekuliwa na polisi majumbani mwao

    Mwanasiasa wa mwisho kukutwana vidhibitinyumbani ni Seif Sharif Hamad mwanzoni mwa miaka ya 80 huko. Mwanasiasa aliyefikia ngazi ya njuu nchini huwa na makazi mikoa mitatu,Dodoma,Dar es salaam na kijijini kwao kwa asili. Kwa hapa Dar es Salaam wanasiasa wengi wana makazi zaidi ya moja,makazi...
  6. Q

    Tupeane mbinu za kutongoza

    Mada hii inahusikana na kutongoza na mbinu zake
  7. The25824

    Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
  8. Mhafidhina07

    Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
  9. S

    Naombeni mbinu za kuushinda umaskini

    Wadau wa jamiiforums habari? Kàma kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Kama ni kupambana nimejitahidi sana ili kuondokana na umaskini lakini hali bado tete. Naombeni mnipe tips za kushinda hii hali inayokera. Maana kuna mda nashindwa ku-offer chochote kwa familia. Umaskini unakera.
  10. W

    Unatumia Mbinu gani kuimarisha Usalama wako Mtandaoni?

    Imarisha Usalama wako Mtandaoni kwa kufanya yafuatayo; a. Sasisha (Update) Kivinjari chako kila linapotoka toleo jipya. Unaweza kuruhusu Kivinjari kiweze kujisasisha 'automatically' b. Tembelea tovuti zenye alama ya ‘kufuli’ au zenye 'HTTPS' c. Pakua majalada (files) au Programu Tumizi (Apps)...
  11. G

    Wazazi sikiliza kwa makini: Mwanaume aliyehukumiwa kwa kosa la kulawiti watoto ahojiwa na kueleza mbinu anazotumia kurubuni watoto

    IMETAFISIRIWA Jack Rynolds alitumikia kifungo kwa miaka zaidi ya 12 gerezani kwa kosa la kulawiti wavulana wadogo hasa wenye miaka 11 hadi 14, hapa anatoa ushuhuda wake kwa vigezo vonavyotumika zaidi kuchagua aina ya wavulana na mbinu. === Tafsiri siyo ya moja kwa moja; Swali la mwandishi...
  12. K

    Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

    Hiyo Mbinu ya Wamasai wa Ngorongoro waliyotumia Leo itaisumbua mno Serikali. SERIKALI italazimika kuangalia upya sera yake ya kuwahamisha hao Wamasai vinginevyo utalii kwa maeneo ya Serengeti na Ngorongoro utaathirika sana. Na watalii watasaidia sana kusambaza taarifa za kilio cha Wamasai hao...
  13. mkolaj

    Mbinu gani nitumie kumnasa binti anayenisumbua?

    Ndugu wanajf, naomba tupeane ujuzi, Kuna binti Moja nimetokea kumpenda, nimemwambia kuwa namuelewa nae akakubali ila shida ninapomwambia swala la kummega ananipa kalenda daily. Naomba munipe ujuzi na mbinu ya kumshawishi huyu binti ili nimle. Naomba michango yenu tafadhali
  14. A

    DOKEZO Mama Ntilie na wauza chips, wauza pweza wanaharibu miundombinu ya mwendokasi. Mabwana afya wasimamie na watoe maelekezo

    Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro ya hizi bara bara hali inayopelekea kujaa na muda mwingine kutoa harufu mbaya sana. Bwana afya wa...
  15. Roving Journalist

    Wadau mbalimbali wakutana Arusha katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) kujadili Mbinu za Kisasa za Ununuzi ili Kudhibiti Rushwa

    https://www.youtube.com/watch?v=Ii1HHXakCro Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ulioanza Agosti 6, 2024 jijini Arusha unaendelea ambapo unajadili kuhusu Matumizi ya Mbinu za Kisasa kwenye Ununuzi wa Umma ili Kudhibiti Rushwa na Ubadhirigu, Kuhuisha Ununuzi wa Kielektroniki, Ubia...
  16. GENTAMYCINE

    Tafadhali mlio nje ya Tanzania mtatumia Mbinu gani kuangalia katika Simu haya Matukio ya tarehe 3, 4 na lile Kubwa la 'Kufa Jitu' la tarehe 8?

    Ni matukio ambayo GENTAMYCINE sitaki kabisa kuyakosa hasa hasa lile la tarehe 8 August, 2024 litakalokufa Jitu huko.
  17. Muisraeli

    Mgawanyiko wa makanisa, ni mbinu ya shetani?

    Kanisa likikuwa moja hapo awali, ilikuwaje tukapata mgawanyiko.? Mfano:Pentekoste, Orthodox na roman catholic, wasabato, nk. Mwenye uelewa atujuze.
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Tauhida Gallos Atoa Wito kwa Wajasiriamali Kushirikiana na Kubuni Mbinu

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS: WAJASIRIAMALI SHIRIKIANENI NA KUBUNI MBINU Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Mhe.Tauhida Gallos amewataka wajasiriamali kushirikiana na kubuni mbinu mbalimbali zitakayoweza kuwaletea maendeleo katika familia zao. Mhe. Tauhida ameyasema hayo huko Mazizini mara...
  19. Donkey

    Mbinu gani Mwalimu atumie Ili kuelewa somo hili

    Mwalimu atumie mbinu gani mwanafunzi kuelewa somo hili. Msaada wa haraka unahitajika.
  20. F

    Chadema tushukuru kwamba CCM wameanza kuropoka hadharani mbinu zao za kushinda chaguzi. Nape ni mkweli tusimlaumu, tatizo ni mfumo CCM.

    Badala ya kuona kuwa Nape amekosea kusema aliyosema, tumwone Nape kama mtu aliyesema ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Ni kweli kwamba matokeo ya kura hutegemea nani anahesabu kura na mara nyingi sana matokeo hupangwa kabla hata ya kura kupigwa. Tatizo sio Nape bali ni mfumo CCM. Mnakumbuka...
Back
Top Bottom