Hivi wazungu na Waasia huwa wanatuchukuliaje sisi waafrika.

kulagha nenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2026
Posts
690
Reaction score
1,375
1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu.
2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini kwake kawaacha wananchi masikini wakutupwa. Mfano rais wa Cameron
3.Yaani Kuna nchi kiongozi wake anawaambia wapinzani wake hii ni nchi ni mali yangu na familia yangu kama na wewe unataka nenda msituni uje unipindue ndo nita kuachia. Na waananchi wanaona hiyo ni sawa TU.
4.Tunaomba misaada kwao huku viongozi wetu wanatembelea magari ya milioni mitano wakati huko tunakoomba misaada wao viongozi wao wanatembelea viji gari na baiskeli
5 . Tunawaopeleka wagonjwa India, Kwanini hao wahindi wasijenge hizo hospitali Africa. Wakaleta vifaa vyao na wakatuambukiza utaalamu wakatoa ajira kwa waafrika. Hivyo vifaaa vya matibabu Kwa nini tusivinunue nasisi tukawanavyo.Hivi hao wahindi wanatutaonaje. yaani wanatuchukuliaje
6.Miaka zaidi ya sitini Bado waafrika tunahangaikia chakula wakati wenzetu wanawaza kwenda anga za mbali. Shule hazina vyumba vya madarasa ya kutosha ,madawati na matundu ya vyoo .watoto wanakaa chini

7.Chaguzi ndo vituko usijeshangaa idadi ya kura inazidi idadi ya wapiga kura au watu wasijitiokeze kupiga kura na Bado kiongozi akatangazwa kashinda Kwa kishindo karibu asimlia zote au zote.

Mimi najiuliza wenzetu WA Rangi nyingine huwa wanatuonaje au wanatuchukuliaje ?
Misukule
Binadamu
Au sokwe waliochamka
 
Naamini IQ ya mtu inaweza kuongezeka ama kupungua tokana na mazingira.
Waafrika kwa ujumla wake wana aikyu ndogo, nafikiri sababu inayochangia kuwa na hali hiyo ni kwenye mazingira ambayo hayachochei watu kuwa wabunifu au kutumia akili nyingi.
Watu wana uhakika wa kula na kulala pasipo kutumia akili nyingi ndio maana kuna hali ya kuridhika na hali waliyonayo.

So yeah unachosema ni sahihi mazingira yana shape uwezo wa mtu na mazingira ya mwafrika yanam shape awe tabulalasa.
 
Ukiwa na mawazo haya utaitwa gaidi, wachokonozii, utaitwa mpinzani, utaitwa mpinga maendeleo

Pumzika kwa amani Joseph kony, Jonas savimbi, Laurent nkunda bila kusahau waasi walio hai m23 na kamanda wangu Bosco ntaganda the terminator
 
Waafrika kwa ujumla wake wana aikyu ndogo, nafikiri sababu inayochangia kuwa na hali hiyo ni kwenye mazingira ambayo hayachochei watu kuwa wabunifu au kutumia akili nyingi.
Watu wana uhakika wa kula na kulala pasipo kutumia akili nyingi ndio maana kuna hali ya kuridhika na hali waliyonayo.

So yeah unachosema ni sahihi mazingira yana shape uwezo wa mtu na mazingira ya mwafrika yanam shape awe tabulalasa.
Mazingira yetu yamechochea kwa kiasi kikubwa kuwa vilaza.
Wazungu wameishi kwenye barafu hali iliyowafanya wawe wabunifu sana kukabiliana na mazingira pamoja na kupigana vita
 
BWANA MDOGO UYASEMAYO NI KWELI ILA NI HATUA TU, KADIRI TUNAVYOENDA MAMBO YANABORESHWA, UNAJUA KUNA MAGONJWA MAKUBWA AMBAYO ZAMANI ILIBIDI TWENDE INDIA TUNAMALIZA MUHIMBILI? MFANO FIGO, MOYO.HATA HAWO MAFISADI MIAKA 20 IJAYO KUTAKUWA NA KANUNI ZA KUWATIA PINGU, CHINA ILIPATA UHURU LINI VIPI LEO PICHA LAKE LIKOJE?
 
1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu.
2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini kwake kawaacha wananchi masikini wakutupwa. Mfano rais wa Cameron
3.Yaani Kuna nchi kiongozi wake anawaambia wapinzani wake hii ni nchi ni mali yangu na familia yangu kama na wewe unataka nenda msituni uje unipindue ndo nita kuachia. Na waananchi wanaona hiyo ni sawa TU.
4.Tunaomba misaada kwao huku viongozi wetu wanatembelea magari ya milioni mitano wakati huko tunakoomba misaada wao viongozi wao wanatembelea viji gari na baiskeli
5 . Tunawaopeleka wagonjwa India, Kwanini hao wahindi wasijenge hizo hospitali Africa. Wakaleta vifaa vyao na wakatuambukiza utaalamu wakatoa ajira kwa waafrika. Hivyo vifaaa vya matibabu Kwa nini tusivinunue nasisi tukawanavyo.Hivi hao wahindi wanatutaonaje. yaani wanatuchukuliaje
6.Miaka zaidi ya sitini Bado waafrika tunahangaikia chakula wakati wenzetu wanawaza kwenda anga za mbali. Shule hazina vyumba vya madarasa ya kutosha ,madawati na matundu ya vyoo .watoto wanakaa chini

7.Chaguzi ndo vituko usijeshangaa idadi ya kura inazidi idadi ya wapiga kura au watu wasijitiokeze kupiga kura na Bado kiongozi akatangazwa kashinda Kwa kishindo karibu asimlia zote au zote.

Mimi najiuliza wenzetu WA Rangi nyingine huwa wanatuonaje au wanatuchukuliaje ?
Misukule
Binadamu
Au sokwe waliochamka
Tunafananishwa na nyani wa kila aina ili mradi tufanane nao kwa sababu ya tabia za viongozi wetu wapumbavu.
 
mi nadhani tusilaumiwe alaumiwe mhenga mmoja hivi ambaye alimcheka Nuhu alivyomkuta yuko bwiii alafu uchi wa mnyama, hali iliyopelekea Nuhu mtu wa Mungu kutoa bonge la laana "na alaaaniwe Kanaani, atakuwa mtumwa wa wenzake"

Mimi ata sijui kaburi la Nuhu lipo wapi niende nikatoe kafara, kuvunja hii laana.
 
Mazingira yetu yamechochea kwa kiasi kikubwa kuwa vilaza.
Wazungu wameishi kwenye barafu hali iliyowafanya wawe wabunifu sana kukabiliana na mazingira pamoja na kupigana vita
BONGO MTU NJAA IKIMBANA ANAWEZA KUVIZIA HATA MISIBA YA WATU AKAPATA MSOSI. WAKATI WENZETU HAYO MAMBO HAYAPO LABDA KWA JAMII ZA WATU WENYE ASILI YA AFRIKA.

MUSEVENI ALIWAHI KUSEMA ULAYA UKIWA MJINGA HUWEZI KUISHI LAZIMA UTAKUFA KUTOKA NA MAZINGIRA YAO KUWA HOSTILE, WAKATI HAPA AFRIKA HATA UKIWA CHIZI BADO UNA UHAKIKA WA KUISHI KWA AMANI.
 
Mwafrika ni kituko.
Mwafrika popote alipo anabaki na undezi wake wa kisokwe.
Cha kushangaza bara la Afrika lina vyuo vikuu vingi lakini vyote vimekosa wahitimu wenye ubunifu wa kupambana kitalaam ili kuzifuta changamoto zinazomkabili mtu mweusi.
Ukimwi, Ebola, Surua, Pepopunda, Kifaduro, Malaria nk.
Magonjwa hayo yanaangamiza mamia ya waafrika lakini hakuna mkakati wa pamoja wa kisomi toka bara hili wenye dhati ya kuyafuta kabisa magonjwa hayo.
Mwafrika anawaza madaraka tu ili aingie humo akwapue.
 
1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu.
2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini kwake kawaacha wananchi masikini wakutupwa. Mfano rais wa Cameron
3.Yaani Kuna nchi kiongozi wake anawaambia wapinzani wake hii ni nchi ni mali yangu na familia yangu kama na wewe unataka nenda msituni uje unipindue ndo nita kuachia. Na waananchi wanaona hiyo ni sawa TU.
4.Tunaomba misaada kwao huku viongozi wetu wanatembelea magari ya milioni mitano wakati huko tunakoomba misaada wao viongozi wao wanatembelea viji gari na baiskeli
5 . Tunawaopeleka wagonjwa India, Kwanini hao wahindi wasijenge hizo hospitali Africa. Wakaleta vifaa vyao na wakatuambukiza utaalamu wakatoa ajira kwa waafrika. Hivyo vifaaa vya matibabu Kwa nini tusivinunue nasisi tukawanavyo.Hivi hao wahindi wanatutaonaje. yaani wanatuchukuliaje
6.Miaka zaidi ya sitini Bado waafrika tunahangaikia chakula wakati wenzetu wanawaza kwenda anga za mbali. Shule hazina vyumba vya madarasa ya kutosha ,madawati na matundu ya vyoo .watoto wanakaa chini

7.Chaguzi ndo vituko usijeshangaa idadi ya kura inazidi idadi ya wapiga kura au watu wasijitiokeze kupiga kura na Bado kiongozi akatangazwa kashinda Kwa kishindo karibu asimlia zote au zote.

Mimi najiuliza wenzetu WA Rangi nyingine huwa wanatuonaje au wanatuchukuliaje ?
Misukule
Binadamu
Au sokwe waliochamka
Wanatuona "ziro brain" zaidi ya zuzu.
 
BWANA MDOGO UYASEMAYO NI KWELI ILA NI HATUA TU, KADIRI TUNAVYOENDA MAMBO YANABORESHWA, UNAJUA KUNA MAGONJWA MAKUBWA AMBAYO ZAMANI ILIBIDI TWENDE INDIA TUNAMALIZA MUHIMBILI? MFANO FIGO, MOYO.HATA HAWO MAFISADI MIAKA 20 IJAYO KUTAKUWA NA KANUNI ZA KUWATIA PINGU, CHINA ILIPATA UHURU LINI VIPI LEO PICHA LAKE LIKOJE?
Picha lake ni kuwa pamoja na tiba hizo kuja kwetu
Kwanza lazima procedures zitoke kwao
Pili lazima kuwe na mweupe hataka kama sio kwenye tukio lakin lazima awepo wa kutoa muongozo..
Hebu tupeni au chomeni moto procedures zao halafu mtengeneze zenu vifaa vyenu dawa zenu kama mtaweza.
 
Tunafananishwa na nyani wa kila aina ili mradi tufanane nao kwa sababu ya tabia za viongozi wetu wapumbavu.
Raia wa ovyo waliopo barani Afrika ndiyo wanaozalisha viongozi wapumbavu.
Tungekuwa na akili kama binadamu wengine tusingekuwa na viongozi wezi wanaoficha pesa za wizi kwenye mabara mengine.
 
Mfumo huu hauendani na mwafrika basi, kaangalie wale wa kimila wanavyoishi kwa umoja.. Mfumo uliopo ni wa kibepari na 🎯 ndiyo makucha ya mwafrika.
 
Back
Top Bottom