kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
- Thread starter
- #21
Kwanini tusiitumue sayansi ya kusafiri kwa ungo kushangaza ulimwengu
Ukiangalia ubunifu wa meli, ndege, train na magari unaona namna wenzetu walivyotumia vizuri maarifa yao kumpunguzia changamoto za usafiri binadamu.Kwanini tusiitumue sayansi ya kusafiri kwa ungo kushangaza ulimwengu
More likely shameless beggarsWanatuona kama the luxury beggars.
Wananchi wa kawaida hawana utimamu kiasi cha kuonekana wanajielewa kuwazidi hao viongozi unaowaita wapumbavu.Tunafananishwa na nyani wa kila aina ili mradi tufanane nao kwa sababu ya tabia za viongozi wetu wapumbavu.
Wananchi wa ovyo waliopo barani Afrika ndiyo wanaozalisha viongozi wapumbavu.Ukiangalia ubunifu wa meli, ndege, train na magari unaona namna wenzetu walivyotumia vizuri maarifa yao kumpunguzia changamoto za usafiri binadamu.
Waafrika tuna hiyo taaluma lakini Mainjia wa usafiri wa ungo hawataki kabisa kuweka hadharani maarifa hayo ili angalau nasi tupate cha kuchangia kwenye maendeleo ya Dunia.
Hayo maswali unamwuliza nani!1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu.
2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini kwake kawaacha wananchi masikini wakutupwa. Mfano rais wa Cameron
3.Yaani Kuna nchi kiongozi wake anawaambia wapinzani wake hii ni nchi ni mali yangu na familia yangu kama na wewe unataka nenda msituni uje unipindue ndo nita kuachia. Na waananchi wanaona hiyo ni sawa TU.
4.Tunaomba misaada kwao huku viongozi wetu wanatembelea magari ya milioni mitano wakati huko tunakoomba misaada wao viongozi wao wanatembelea viji gari na baiskeli
5 . Tunawaopeleka wagonjwa India, Kwanini hao wahindi wasijenge hizo hospitali Africa. Wakaleta vifaa vyao na wakatuambukiza utaalamu wakatoa ajira kwa waafrika. Hivyo vifaaa vya matibabu Kwa nini tusivinunue nasisi tukawanavyo.Hivi hao wahindi wanatutaonaje. yaani wanatuchukuliaje
6.Miaka zaidi ya sitini Bado waafrika tunahangaikia chakula wakati wenzetu wanawaza kwenda anga za mbali. Shule hazina vyumba vya madarasa ya kutosha ,madawati na matundu ya vyoo .watoto wanakaa chini
7.Chaguzi ndo vituko usijeshangaa idadi ya kura inazidi idadi ya wapiga kura au watu wasijitiokeze kupiga kura na Bado kiongozi akatangazwa kashinda Kwa kishindo karibu asimlia zote au zote.
Mimi najiuliza wenzetu WA Rangi nyingine huwa wanatuonaje au wanatuchukuliaje ?
Misukule
Binadamu
Au sokwe waliochamka
Tujiulize woteHayo maswali unamwuliza nani!
Mimi naamini mwafrika ni binadamu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri.
Hayo mengine ni matokeo ya kuwa na uwezo mdogo wa kufikiria na kutatua changamoto hizo hasa zile kubwa kubwa.