Video: wazungu wakivunja maduka na kuiba UFARANSA

Video: wazungu wakivunja maduka na kuiba UFARANSA

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Kama Tandale vile.
Social media imetufumbua macho.
Sio waarabu , hawa ni wazungu hasa.
Wazungu wa mbagala kwa manyani zamani wakituaminisha kwamba mzungu ni mstaarabu, kumbe maisha tu yalikua hayajampiga.
 

Attachments

  • 56e039e01cd384affbecbc6023e8d387_1792409599449.mp4
    5.4 MB
Kama Tandale vile.
Social media imetufumbua macho.
Sio waarabu , hawa ni wazungu hasa.
Wazungu wa mbagala kwa manyani zamani wakituaminisha kwamba mzungu ni mstaarabu, kumbe maisha tu yalikua hayajampiga.
Lakini nyie wafuasi wa Samia mtu akija kuchukua mkate kwenye duka lenu mnaamulisha Polisi waue.
 
Hakuna hata mmoja aliyekufa japo kuna majeraha madogo madogo kwenye purukushani za kukimbia. Huyo ni mmoja tu aliyeumia kwenye mkono
Mavi ya mzungu hayanuki, yakikaushwa unaweza kuyapika
 
Kama Tandale vile.
Social media imetufumbua macho.
Sio waarabu , hawa ni wazungu hasa.
Wazungu wa mbagala kwa manyani zamani wakituaminisha kwamba mzungu ni mstaarabu, kumbe maisha tu yalikua hayajampiga.
Mpaka sasa wameuliwa wangapi? Hao wanaovunja manuka kuiba mali za watu na kuchoma moto, wameshauliwa wangapi?
 
ndio maana nikaja na uzi.

 
Waache watumie uhuru wako Kidemokrasia kuandamana ni Haki yao ya Msingi kabisa!!!

Wasitumie nguvu kupambana
nao
Kuandamana ni Sehemu ya Haki
Wakianza kuwauwa tunawaekea Vikwazo!!!
 
Kama Tandale vile.
Social media imetufumbua macho.
Sio waarabu , hawa ni wazungu hasa.
Wazungu wa mbagala kwa manyani zamani wakituaminisha kwamba mzungu ni mstaarabu, kumbe maisha tu yalikua hayajampiga.
NADHANI HAO NI MAJAMBAZI WENYE NJAA ZAIDI YA WALE WEZI WA CHADEMA OCT.2025, DAH! :1Head:
 
Kama Tandale vile.
Social media imetufumbua macho.
Sio waarabu , hawa ni wazungu hasa.
Wazungu wa mbagala kwa manyani zamani wakituaminisha kwamba mzungu ni mstaarabu, kumbe maisha tu yalikua hayajampiga.

Tuambieni pia wameuawa wangapi ....!!? Maana kwenye MO 29 mmehalalisha mauwaji kwa vile vijana walichoma vituo vya mafuta na mwendokasi.
 
Kama Tandale vile.
Social media imetufumbua macho.
Sio waarabu , hawa ni wazungu hasa.
Wazungu wa mbagala kwa manyani zamani wakituaminisha kwamba mzungu ni mstaarabu, kumbe maisha tu yalikua hayajampiga.
Paris pana mateja wengi sana. Pana wahuni wa kila aina hadi wanaochezesha kamali za karata tatu
 
Back
Top Bottom