Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
✍️Cha ajabu nini mkuu. 2016 nilifika Brussels na paris. Hivi kuna cha ajabu hapo.?Mara ya mwisho umefika lini mitaa hio au ndio ile Paris ya Tandale kwa Mama Zamzam?
Very 😊 GOOD!¡!!!Kama Tandale vile.
Social media imetufumbua macho.
Sio waarabu , hawa ni wazungu hasa.
Wazungu wa mbagala kwa manyani zamani wakituaminisha kwamba mzungu ni mstaarabu, kumbe maisha tu yalikua hayajampiga.
Ulijuaje? Ulikuwepo?Hakuna wazungu hapo hao ni wakimbizi wa kiarabu kutoka north Africa ndio wanaiharibu ufaransa