Video: wazungu wakivunja maduka na kuiba UFARANSA

Video: wazungu wakivunja maduka na kuiba UFARANSA

Hii sio nzuri kwa kweli maana vijana wengi ndio wahusika, sijui inatoa picha gani kwa kijana wa Kitanzania aliyepoteza matumaini na kupigwa na maisha.

Watawala wayachukulie haya mambo kwa hekima sana, hata hapa kwetu yanaweza kutokea.
 
Mpaka sasa wameuliwa wangapi? Hao wanaovunja manuka kuiba mali za watu na kuchoma moto, wameshauliwa wangapi?
Na huko ufaransa huwa wanawachoma moto vibaka na wezi kama mnavyo fanya nyinyi huku?
 
Tuambieni pia wameuawa wangapi ....!!? Maana kwenye MO 29 mmehalalisha mauwaji kwa vile vijana walichoma vituo vya mafuta na mwendokasi.
Hapa ni Tz na huko ni ufaransa hivyo unatakiwa uishi sehemu kutokana na jamii husika Kwa sababu huko ufaransa pia huwa hawachomi vibaka na wezi mitaani kama mnavyo fanya nyinyi huku na wala hilo hujawahi kuliona ni tatizo.
hivi huo upuuzi unao endelea hapo unaweza kwenda ukaufanya china au kwenye nchi yeyote ya Asia ukabaki hai?
 
Kumbe nao Njaa kali,waje tuwape msaada wa mahindi na ndizi matoke
 
Kama Tandale vile.
Social media imetufumbua macho.
Sio waarabu , hawa ni wazungu hasa.
Wazungu wa mbagala kwa manyani zamani wakituaminisha kwamba mzungu ni mstaarabu, kumbe maisha tu yalikua hayajampiga.
Sijasikia hata mtu kupigwa risasi za mpira!
 
Kwani Bangladeshi, Nepal na Sir Lanka siyo Asia...!!
 
Kama Tandale vile.
Social media imetufumbua macho.
Sio waarabu , hawa ni wazungu hasa.
Wazungu wa mbagala kwa manyani zamani wakituaminisha kwamba mzungu ni mstaarabu, kumbe maisha tu yalikua hayajampiga.
Haya maandamano yamechochewa na kufadhiliwa na nchi za Africa na ndio zilizowalipa pesa waandamanaji waipinduwe serikalinya Macron.
 
Ingekuwa bongo rais haramu angeamuru wapigwe risasi za kichwa na kufumuliwa utumbo umwagike chini kwenye lami na maiti kutupwa kwenye mfereji wa maji taka kisha baada ya siku mbili maiti kuokotwa na kwenda kuzikwa maporini kupoteza ushahidi
Wangewaua vibaya sana hata wasiohusika wangepigwa risasi za kichwa
 
Sijasikia hata mtu kupigwa risasi za mpira!

Maandamano ya kule ni Wananchi malalamiko yao yanaeleweka

Sasa ya Tanzania yalikuwa ya Samia must go Aleluyaaaaa
Yapo ki Aleluyaaaaa sio Wananchi wote Ndiomana yamezimika kama Mshumaaa!!!!!
 
Ukweli utabaki Ukweli Maandamano yangekuwa ya Wananchi wote yangeelea zaidi

Lkn yale ni Demokrasia yenye Udini ndani yake Samia must go Aleluyaaaaa!!!!
 
Maandamano ya kule ni Wananchi malalamiko yao yanaeleweka

Sasa ya Tanzania yalikuwa ya Samia must go Aleluyaaaaa
Yapo ki Aleluyaaaaa sio Wananchi wote Ndiomana yamezimika kama Mshumaaa!!!!!
Aaaha kwa hio hio ndio maanaa ya kuwapiga risasi za kichwa sio?
 
Kumbe nao Njaa kali,waje tuwape msaada wa mahindi na ndizi matoke

Kwasasa Chadema kama bado wanategemea Wazungu wenyewe ndio kwao kinawaka na UVCCM wanaenda kukiwasha kukinukisha vibayaa sana

Tanzania hatuchezewi kabisa

Tunakinukisha kwao kisha tutawapa Mihogo na Magimbi !!!
 
Ukweli utabaki Ukweli Maandamano yangekuwa ya Wananchi wote yangeelea zaidi

Lkn yale ni Demokrasia yenye Udini ndani yake Samia must go Aleluyaaaaa!!!!
Na amani yenye udini ndani yake, masheikh ndio wenye kusisitiza amani sana wakati huu wa Samia kuliko ile must go ya Magu.
 
Aaaha kwa hio hio ndio maanaa ya kuwapiga risasi za kichwa sio?

Maandamano ya utengano ni mabaya sana

Yale Maandamano ni mabaya Sababu yamebeba Udini utengano
Wa kiimani

Wangeshinda manake kungetokea janga kubwa la mauaji ya Kidini

Kwaiyo risasi zimelejesha umoja wa kitaifa

Kipindi cha Benjamin William Mkapa
Napo kulitokea Maandamano ya Kidini kiimani nayo yangeshinda tunajua kungetoa maafa ya Kidini

Kwaiyo napo risasi zilitumika kuwaunganisha Watanzania leo tupo wamoja zaidi ✍️
 
Na amani yenye udini ndani yake, masheikh ndio wenye kusisitiza amani sana wakati huu wa Samia kuliko ile must go ya Magu.

Sijui umri wako ndugu yangu
Wala siyo tatizo kuwaona Mashekh kuungana na Serikali!!!!

Napo kipindi cha Benjamin William Mkapa
Wakati Waislamu wanafanya fujo na Maandamano ya Kidini

Fahamu Viongozi wa Kikristo walikuwa upande wa Serikali tena Fahamu Viongozi wa kislam bado ni wastaaraabu sana!!!

Kipindi kile cha Maandamano ya Waislamu kudai Katiba mpya lkn moyoni hawamtaki Mkristo Benjamin William Mkapa

Hawa Viongozi wa Kikristo walikuwa wakitoa matamko kutaka Vyombo vya Usalama kuchukua hatua kubwa dhidi ya Waislamu wenye kuleta machafuko❗✍️
 
Wafuasi wa CUF wengi Waislamu waliuwawa Mashekh walikamatwa wengine walifungwa na Benjamin William Mkapa ✍️

Lkn mwisho wa siku Watanzania walielewa kwanini nguvu ilitakuwa kurejeshwa Umoja wa Watanzania wote

Waislam wameacha kutaka kujiingiza kwenye Siasa na Udini kwa pamoja ndiomana
Waislam walimpokea vizuri Rais Mkristo rip JPM

Tanzania ya Watanzania wote Waislam na Wakristo

Hakuna Dini itapewa nafasi kubwaa Nguvu za Serikali kuu

Demokrasia ya Dini hapana
Kwapamoja tuseme Hakuna

Viongozi wadini wajikite kiroho

Wasifanye makosa kama yale tena!!!!!
 
Na amani yenye udini ndani yake, masheikh ndio wenye kusisitiza amani sana wakati huu wa Samia kuliko ile must go ya Magu.
Kipindi cha Rip JPM
Waislam hawakumsumbua
kabisa

Waislam walimsumbua Benjamin William Mkapa
Wkt mkuu wa Jeshi la Polisi ni IGP Omary MAHITA Jiji la Dar es Sallam lilitetemeka hili hakuna mfano

Chadema wamefanya fujo pembezoni

Lkn CUF katikati ya Mji mji ulikuwa kutwa ni Mabomu

Wenye kuelewa watakwambia

Ile Mo29 cha mtoto dhidi ya kipindi cha Benjamin William Mkapa dhidi ya CUF jijini Dar es Sallam

Jiji zima liliwaka MOTO :FIRE:✍️
 
Back
Top Bottom