IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,737
- 3,301
Leo tunaadhimisha kumbukumbu ya Hayati Samora Machel, Rais wa kwanza wa Msumbiji, huku tukimkumbuka Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliweka misingi ya nchi na umoja kama Baba wa Taifa.
Maono haya yanajenga picha ya kiongozi ajaye ambaye atakamilisha ndoto za maendeleo na ukombozi wa kiuchumi kwa Tanzania, Jumuiya ya Afrika Mashariki, na bara zima la Afrika.
1/ Nchi yetu imepita katika mikono ya viongozi wakuu walioacha alama zao. Lakini, historia inajiandaa kumzaa kiongozi mmoja wa kipekee—Rais ajaye ambaye hatakuwa tu mtawala, bali "Baba wa Wananchi". Tofauti na Mwalimu Nyerere aliyebeba dhana ya utaifa, huyu atabeba maisha, mifuko, na utu wa kila mwananchi wa kawaida.
2/ Vuta picha ya kiongozi mwenye uwezo wa kipekee wa kiutendaji, anayeweza kuchukua ndoto, mipango, na maono ya marais wote waliomtangulia tangu uhuru, na kuyakamilisha yote ndani ya Mjumuisho wa Mwaka Mmoja tu wa utawala wake. Ni kasi ya ajabu inayochochewa na uzalendo uliotukuka.
3/ Ndani ya siku 365, maono ya Nyerere ya viwanda vya ndani na kujitegemea yatafufuka kwa teknolojia ya kisasa. Kasi ya miundombinu ya awamu zilizofuata itafikia kilele chake, na mifumo ya uwazi na uwajibikaji itakuwa sheria kamili. Kila tone la jasho la watangulizi wake litapata taji la ushindi ndani ya mwaka huo mmoja.
4/ Kiongozi huyu ajaye atafanya kile kinachoitwa "Ukombozi wa Pili". Baada ya ukombozi wa kisiasa tuliouona zama za Samora Machel na Nyerere, kiongozi huyu ataleta ukombozi kamili wa kiuchumi, kifikra, na kiteknolojia kwa Tanzania.
5/ Wigo wa ukombozi wake hautabaki ndani ya mipaka yetu. Atakuwa muhimili mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akiunganisha masoko, miundombinu, na sarafu, huku akiondoa mipaka ya kikoloni ili kufungua fursa za kibiashara kwa wananchi wote wa ukanda huu.
6/ Kwa kiwango cha bara la Afrika, kiongozi huyu atasimama kama sauti ya wanyonge na mhubiri wa kweli wa Uafrika (Pan-Africanism). Ndoto ya Nyerere ya kuona Afrika yenye nguvu, inayojitegemea na yenye sauti moja duniani itatimizwa naye kupitia diplomasia ya kiuchumi na kijeshi.
7/ Baada ya Nyerere kuchukua cheo cha "Baba wa Taifa" kwa kujenga umoja na amani yetu, huyu ajaye ataitwa na kukubalika kama "Baba wa Wananchi" kwa sababu atagusa maisha ya mtu mmoja mmoja, akiondoa umaskini na kurejesha heshima ya Mwafrika. Wakati wake unakuja, na historia ipo tayari kuandikwa.
Summary
DICTATOR MWEMA MWENYE FAIDA
Maono juu ya Rais ajaye: Kutoka 'Baba wa Taifa' hadi 'Baba wa wananchi' na ukombozi wa Bara la Afrika
Maono juu ya Rais ajaye: Kutoka 'Baba wa Taifa' hadi 'Baba wa wananchi' na ukombozi wa Bara la Afrika
USEAS NA USAF
Maono juu ya Rais ajaye: Kutoka 'Baba wa Taifa' hadi 'Baba wa wananchi' na ukombozi wa Bara la Afrika
KAZI ZA KWANZA KWANZA
kazi za kwanza
muendelezo wa atakayofanya 1.
muendelezo wa atakayofanya 2.
muendelezo wa atakayofanya 3.
muendelezo wa atakayofanya 4.
muendelezo wa atakayofanya 5.
muendelezo wa atakayofanya 6.
muendelezo wa atakayofanya 7.
muendelezo wa atakayofanya 8.
MAANDIKO YAMEMUANDIKAJE?
Unaweza pia pitia pia hapa.
Yesu atazaliwa au amezaliwa chini ya mlima Kilimanjaro; Maono niliyoyapata kwa miaka sasa na yameruhusiwa kusomwa kote

STRICT ECONOMIC CONTROL
STRICT ECONOMIC CONTROL
- Kudhibiti bei ya kila kitu kwa ajili ya faida kwa wananchi bila kuathiri soko
- Kuanzisha resorce special trust fund ambayo faida ya ziada itaenda kwenye eco-diversify
- Kukuza akiba ya benk kuu kwa export
- Kushusha inflation----pegging the currency
- Monentary discipline kuikuza kwa kiwango kikubwa na uimara kutochapisha fedha kiholela
- Kutengeneza taasisi imara sana kuwahi kushuhudiwa
- Import substitution kujitegemea chakula na bidhaa..viwanda kuzalisha kila kitu kuanzia madawa hadi magari ili...
kazi za kwanza
kazi za kwanza
Yote haya yatafanywa na huyo atakayekomboa nchi hii
Yote haya yatafanywa na huyo atakayekomboa nchi hii
- Militarization of the country kuondoa tatizo la ajira huko mbele nitaelezea atawezaje hili. Usaili mzito na kwa program maalumu..mamillion ya vijana
- Urudishaji wa rasilimali zilizoibwa tanzania kwanzia mafuvu zana hadi mijusi mikubwa
- Uratibu wa kila kitu cha msingi chini ya serikali
- Wizara za kistartejia baada ya kuangalia zilizopo dunia nzima na kuandaa mpango maalumu wa wizara
- Kuzuia uchafuzi wa mazingira na kuanzisha miradi mikubwa ya TARI na TSF
- Kuratibu malazi kote Tanzania amna mtu atakayelala...
muendelezo wa atakayofanya 1.
muendelezo wa atakayofanya 1.
- Kuta/fance Tanzania nzimaa baharini kutatengenezwa kutandefu mno dhidi ya tsunami etc.
- Vijana pot military watasimamia kila baada ya maeneo kuvugwa kwa wanyama wa kistratejia na samakinyuki etc
- Vikosi 20 vya siri 3..I,3…N,3…A,2….E,2…T,1…O,1…C,1…Z,1…H,1…K,1…M,1…B=20
- Kutengenezwa kwa visiwa vipya na beach za kutengenezwa
- Ukuta maeneo ya kimkakati aua fence Nparks,Game reservena maeneo yote pendekezwa hii itaondoa poaching na migogoro ya wanyama na binadamu
- Milima bunkers
- Ulinzi maeneo yote muhimu ya chemic hemi na vyanzo vya maji...
muendelezo wa atakayofanya 2.
muendelezo wa atakayofanya 2.
- kila kaya tanzania isiyo na simu kupatiwa
- kila kaya Tanzania isiyo na redio kupatiwa
- mwisho wa nyumba za udogngo na nyasi
- kila kaya kuwekewa umeme kwa lazima
- ufuatiliwaji wa lazima wa wajawazito kuondoa utapiamlo na vifo vya watoto
- primary kufanywa lazima na mikopo kuhamishwa toka mikopo ya vyuo hadi primary
- usafiri kila kijiji wa anga zile arena kwa helicopter na ardhini
- gharama za vyakula na usafiri kushushwa sana na kushushwa kwa bei za petrol
- kupunguza asilimia za umaskini vijijini na mijini hadi 0-1/2%
- kujilinda kwa...
muendelezo wa atakayofanya 3.
muendelezo wa atakayofanya 3.
- Kuzalishwa na kuuzwa kwa bei kubwa kwa wanyama walio hatarini kutoweka spishi za mamali33 ndege 30.samaki 19 invertebrate 46
- Baadhi ya wanyama wa porini watauzwa kama watoto kwa wingi kwa wananchi tutaanza na nyumbu 500k
- Uoteshwaji wa miti ya kimkakati kama mining,mikongo,mikwaju,mipingo.misunobari na cypruss ect
- Jeshi la space kuanzishwa
- Kuchangia miradi mikubwa kama ISS space station
- Asilimia 50 ya madini yanayozalishwa yatanunuliwa na kuwekwa endelevu kwa miradi ya kimkakati
- Serikali itaprint hela ya coins ya dhahabu na itakuwa na...
muendelezo wa atakayofanya 4.
NEW NEW
NEW NEW
- Kuanzishwa makampuni ya Defense na viwanda vya defense ambazo zitatengeneza na kuuza technolojia mbali mbali za mifumo ya ulinzi duniani wakianza na silaha za kisasa kama laser na kuendelea. Hii itakuwa kutoka sekta binafsi kabisa na ikiwezekana na kuwana veterans
- Tanzania kuwa na mifumo mbadala ya CIPS na SPFS ya urusi na china kama mbadala wa SWIFT
- Tanzania kujenga mahandaki makubwa kwenye miamba migumu kote Tanzania yenye uwezo wa kuhifadhi watu 100k kila handaki na kuwa na mifumo maalumu ya Biscuits na Bulgur wafers zenye uwezo...
muendelezo wa atakayofanya 5.
muendelezo wa atakayofanya 5.
POST SCARCITY ECONOMY
POST SCARCITY ECONOMY
- Kuendesha Kilimo kwa AI na Robot-mashamba makubwa.kuanzisha chakula kinachozidi idadi ya watu.lima.mwagilia.kuvuna kwa Robotsa na Self driving tractor
- Kuanzisha nishati ya bei nafuu kama nilivyoelezea kule juu.Miradi Umeme+solar na all alternative kwa ajili ya cheap industry operation
- Uzalishaji wa ndani wa kidigital-3D printing-spea ya vifaa vya ujenzi,samani kwa malighafi ya ndani-kupunguza garama na kugusa mifumo ya kijamii
- Elimu bura itakuwa ya kidigitali-AI.Quantum computing+science of Gene kwa vijana wote...
muendelezo wa atakayofanya 6.
muendelezo wa atakayofanya 6.
New
New
- Fikra za kiongozi huyo zitakuwa ni sharia za nchi
- Bunge na vyombo vyote vitapitisha azimio la KUONDOA UKOMO WA MADARAKA na kuruhusu RAIS WA NCHI kuwa RAIS MAISHA YAKE YOTE
- Tanzania kuwa MBABE wa Michezo duniani.
- Mipango mikubwa ya RAIS huyo itakuwa inazinduliwa kila mwaka ya kuifanya Tanzania Kuwa taifa Kubwa katika Kila Nyanja na Sector na jambo jema
- Kitakuwa moja kati ya moyo na Mapafu ya nchi kitakachokuwa na wananchi 9million kuendelea na watakaa maeneo ya mipaka yote kila baada...
muendelezo wa atakayofanya 7.
muendelezo wa atakayofanya 7.
New
New
- Mifumo ya chess kutambua vipaji kama Russia
- Kufanya rasilimali kuwa bei ya kawaida ndani ya nchi infinity km russiana middle east prof jiang
- Kukuza manufacturing km china prof jiang
- Kufanya uchumi wa knowledge kma Europe,Canada,,Australia prof jiang
- Kukuza finance km USA prof jiang
- Ground work plan ya maana kubwa km Singapore
- Kukuza viwanda na manufacturing Singapore
- Kufanya solid financial na legal system Singapore
- Stable na largely clean gov Singapore
- Efficient in public transport system Singapore
- World class...
muendelezo wa atakayofanya 8.
muendelezo wa atakayofanya 8.
MUENDELEZO
MUENDELEZO
- NATIONAL BANKING CYBER SECURITY DIRECTIVE..marufuku kwa Magnetic Strips kanda nyeusi-kila ATM itakuwa na Anti-SKIMMING.AI cameras.Mtu anayesimama muda mrefu na mtu anayejaribu kufungua ATM
- Kuanzishwa kwa PENETRATION TESTING BOT ukaguzii wa ghafla na Ethical Hacking Tests
- UBO kuanzishwa ULTIMATE BENEFICIAL OWNERSHIP kila mmiliki kutaja wanufaika
- UWO UNEXPLAINED WEALTH ORDERS mtu hana biashara wala ghorofa bank ana 10billion watapewa siku 7 kudhibitisha chini ya kiapo mali zao na alivyopata bila hivyo serikali itataifisha 100%...
MAANDIKO YAMEMUANDIKAJE?
MAANDIKO YAMEMUANDIKAJE?
- Math 12:18 tazama mtumishi wangu niliyemteua,mpendwa wangu anipendezaye moyoni,nitaiweka roho yangu juu yake naye atatangaza hukumu yangu kwa mataifayote.hatakuwa na ubishi wala kupiga kelele,wala sauti uake haitasikika barabarani. Mwanzi uliopondeka hatauvunja,wala utambi ufukao moshi hatauzima,mpaka atakapoifanya hukumu ya haki itawale. Kwake yeye mataifa yatakuwa na matumaini.
- Isaya 42:1-4 “tazameni mtumishi wangu ninayemtegemeza mteule wangu ambaye moyo wangu umependezwanaye, nimeiweka roho yangu juu yake naye atayaletea mataifa haki. Hatalia...
Unaweza pia pitia pia hapa.
Yesu atazaliwa au amezaliwa chini ya mlima Kilimanjaro; Maono niliyoyapata kwa miaka sasa na yameruhusiwa kusomwa kote