Maono juu ya Rais ajaye: Kutoka 'Baba wa Taifa' hadi 'Baba wa wananchi' na ukombozi wa Bara la Afrika

KAZI ZA KWANZA KWANZA
STRICT ECONOMIC CONTROL

  • Kudhibiti bei ya kila kitu kwa ajili ya faida kwa wananchi bila kuathiri soko
  • Kuanzisha resorce special trust fund ambayo faida ya ziada itaenda kwenye eco-diversify
  • Kukuza akiba ya benk kuu kwa export
  • Kushusha inflation----pegging the currency
  • Monentary discipline kuikuza kwa kiwango kikubwa na uimara kutochapisha fedha kiholela
  • Kutengeneza taasisi imara sana kuwahi kushuhudiwa
RESISTANCE ECONOMY

  • Import substitution kujitegemea chakula na bidhaa..viwanda kuzalisha kila kitu kuanzia madawa hadi magari ili kutokutegemea kununua nje
  • Dedollarization..na kufanya biashara na Russia au china kwa hela zao
  • Kudhibiti mipaka ya fedha-kuzuia utoroshaji wa fedha za kigeni nje ya nchi 100%
SELF SUFFICIENCY KWA RASILIMALI ZA ASILI

  • Chakula na mashamba AGRO 35% kuhakikisha inaenda hadi 90%
  • Maji safi ya asili-H20 security 15%-99%viwandani na majumbani
  • Largest na lot of Dams for irrigation na house holds clean
  • Nishati ya mafuta na gesi 15%-80%malori usafirishaji+mitambo ya jeshi+ kufua umeme wa viwanda
  • Viwanda vya madawa na kemikali 10%-80%.dawa za msingi antbiotics,anesthesia drips bila kuagiza njekuzuia milipuko yua maradhi
  • Umeme wa viwanda power grid 5%-80%nuclear makaa yam awe geothermal
  • Viwanda vya vyuma steel na metallurgy 5%-8 %kwa ajili ya reli zana za kivita na silaha
  • mifumo ya mawasiliano 5%-90%
  • viwanda vya silaha na baruti defense 5%-95%
  • madini ya kimkakati 3%-98%
  • misiti na mbao 2%-100%
SDG Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa yanajumuisha malengo 17 makuu yafuatayo kwa mtiririko wake sahihi:

Kutokomeza Umaskini: Kuondoa umaskini wa kila aina kila mahali.

Kutokomeza Njaa: Kutokomeza njaa, kufikia usalama wa chakula na kuboresha lishe, na kukuza kilimo endelevu.

Afya Njema na Ustawi: Kuhakikisha maisha yenye afya na kukuza ustawi wa kila mtu katika umri wote.

Elimu Bora: Kuhakikisha elimu bora inayojumuisha wote na kwa usawa, na kukuza fursa za kujifunza maisha yote kwa wote.

Usawa wa Jinsia: Kufikia usawa wa jinsia na kuwawezesha wanawake na wasichana wote.

Maji Safi na Usafi wa Mazingira: Kuhakikisha upatikanaji na usimamizi endelevu wa maji na usafi wa mazingira kwa wote.

Nishati Nafuu na Safi: Kuhakikisha upatikanaji wa nishati ya bei nafuu, ya kuaminika, endelevu na ya kisasa kwa wote.

Kazi Nguvu na Ukuzaji wa Uchumi: Kukuza ukuaji wa uchumi endelevu, unaojumuisha wote, ajira kamili na yenye tija, na kazi zenye staha kwa wote.

Viwanda, Ubunifu na Miundombinu: Kujenga miundombinu thabiti, kukuza uendeshaji endelevu wa viwanda unaojumuisha wote, na kukuza ubunifu.

Kupunguza Kutokuwepo kwa Usawa: Kupunguza utofauti na kutokuwepo kwa usawa ndani ya nchi na kati ya nchi na nchi.

Miji na Jamii Endelevu: Kufanya miji na makazi ya binadamu kujumuisha wote, salama, thabiti, na endelevu.

Matumizi na Uzalishaji Wenye Uwajibikaji: Kuhakikisha mifumo endelevu ya matumizi na uzalishaji.

Kuchukua Hatua Dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi: Kuchukua hatua za haraka kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na athari zake.

Uhai Chini ya Maji: Kuhifadhi na kutumia kwa njia endelevu bahari, bahari kuu, na rasilimali za viumbe vya majini kwa maendeleo endelevu.

Uhai Juu ya Ardhi: Kulinda, kurejesha, na kukuza matumizi endelevu ya mifumo ya ikolojia ya ardhi, kusimamia misitu endelevu, kupambana na jangwa, na kusitisha na kurejesha uharibifu wa ardhi na upotezaji wa bioanuwai.

Amani, Haki na Taasisi Thabiti: Kukuza jamii zenye amani na jumuishi kwa ajili ya maendeleo endelevu, kutoa fursa ya kupata haki kwa wote, na kujenga taasisi zenye ufanisi, zinazowajibika na jumuishi katika ngazi zote.

Ushirikiano katika Kufikia Malengo: Kuimarisha njia za utekelezaji na kufufua ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya maendeleo endelevu.
 
kazi za kwanza
Yote haya yatafanywa na huyo atakayekomboa nchi hii
  1. Militarization of the country kuondoa tatizo la ajira huko mbele nitaelezea atawezaje hili. Usaili mzito na kwa program maalumu..mamillion ya vijana
  2. Urudishaji wa rasilimali zilizoibwa tanzania kwanzia mafuvu zana hadi mijusi mikubwa
  3. Uratibu wa kila kitu cha msingi chini ya serikali
  4. Wizara za kistartejia baada ya kuangalia zilizopo dunia nzima na kuandaa mpango maalumu wa wizara
  5. Kuzuia uchafuzi wa mazingira na kuanzisha miradi mikubwa ya TARI na TSF
  6. Kuratibu malazi kote Tanzania amna mtu atakayelala nnje ya nyumba na ceiling
  7. Mwisho wa bidhaa feki Tanzania mara mia hata mitumba sio bidhaa feki hapa FCC Na kina TRA etc watawajibishwa ipasavyo
  8. Kuwarudishia taasisi za dini ETC maeneo yao yaliyotaifishwa 100% kuanzia mashule na kuwapa ma hospital yao 100%
  9. Nguvu kwa TISS kuchunguza wafadhili na wawekezaji kuzuia state capture
  10. Mwisho wa dawa za kulevya tz watu walewe hadi wafe ila kizazi cha kuganda barabarani ni mwisho
  11. LGBTQ kuruhusiwa ila sio kwa nia ya kuchafua sura ya Tanzania Abroad kwa wao kupost utumbo mitandao ya uma wahangaike na mitandao yao na privacy zao. Wenye misimamo mikali kote Tanzania either kuwapinga au kubagua watapelekwa RE EDUCATION Center
  12. Ulinzi shirikishi na ubalozi wa nyumba 10 kurudishwa kwa nguvu kuhakikisha takribani karibia nusu ya watanzania watakuwa shift za usiku huko mbele tutaelewa kwa undani
  13. Uchifu,umangi etc kurudishwa kama ceremonial kama Uganda kwa kudhibitiosha DNA za mababu kwa kufukua maiti zao 100% na sio uchifu wa mr=tu kujisimika
  14. Kiswahili kote Tanzania na sio kuweka mabango ya kichina kila sehemu au lugha nyingine wahangaike na maeneo yao kama china town na sio kisa wanajenga barabara uchina kila sehemu NO
  15. FGM kuratibiwa ki hospital na mila nyingine zitakazoonekana zinafaida
  16. Ofisi za serikali nyingi zitakuwa 24 hours na ulinzi wa doria nzito sana usiku
  17. CNI kamati maalumu ya masilahi ya taifa itaanzishwa Committee of National interest
  18. Large Emergence Ministry itakayounganisha mifumo yote ya dharura Tz na kuwa na namba kama 111 ambayo itakuwa raisi sana
  19. Mwisho wa ufisadi Tanzania Sera ya No tolerance ni chap mahakama ya jeshi na hukumu ya kifo bila kujali
  20. No to ndugulization ,tribalism na upendeleo wowote wa kibaguzi nchini
  21. Wenye miaka 100+watakuwa na upendeleo mkubwa kama kuzungushwa miti mingi na hifadhii kwa gharama za serikali na vitu vingi vitakuwa bure kwao
  22. Uingizwaji wa wanyama adini na wanyama ambao nchi nyingine ni Invasive kama Ngamia Australia akati wamasai wanahangaika kufa kwa mifugo kipindi cha kiangazi
  23. Maghala makubwa kila mikoa na wilaya ya nyama.mafuta,maji,nafaka kwa ushirikiano na TAWA,TANAPA,NCAA,TAWIRI.
  24. Utengenezaji wa mvua sehemu kali kwa kutumia chumvi NACL
  25. Serikali itatangaza Burrial crisis na kuanza kwa kuchoma maiti na kuponda mifupa na meno kwa asilimia 100 tanzania watu watakuwa na vijibakuli vya majivu hiii itapunguza magharama za mamisiba na majeneza nab ado sehemu za ardhi kuendelea kupunguzwa.incinerator zitawekwa kila kijiji wilaya na mikoa zenye uwezo hadi wakuchoma watu 100,000+ ili wakati wavita na milipuko kazi iwe kasha. Ruksa ya kutupa au kuzika maiti katikati ya bahari kama marine wanavyofannya
  26. Masoko Tanzania nzima kuboreshwa kwa kujengwa maghorofa ili kupambana na jua na mvua
  27. Mwisho wa machinga majijini na mijini Tanzania.huu ukwepaji kodi utakufa kifo kibaya
  28. Walimu wakali na katili watakuwa kipaumbelle kwa kupandishwa madaraja shule zitaendeshwa kwa mifumo ya jeshi bila kujali ni international wala nini asunbuhi mpaka usiku.shukle zote za primary na Olevel zitakuwa boarding
  29. Tanzania kuwa na dira sio tuu ya miaka 5-50 bali kuwa na hadi millennium goal za miaka 1000+ijayo hiii itafanya kiongozi yeyote asiende nje ya mstari bila ya kuwa kitukikubwa kimeingilia kama majanga
  30. Uratibu mzuri wa habari na fake na prank news zitakuwa labeld kabisa
  31. Vikosi maalumu kama Basij Gestapo SS na Secret servise kuanzishwa kwa kuendesha kazi maalumu ndani na popote ulimwenguni hapa na angani
  32. Uanzishaji wa vikosi maalumu kama IMF imposible mission force watakao weza fanya lolote kwa yeyote
  33. Kila kijiji kutakuwa na Mini Arena kwa ajini ya michezo mbalimbali yaani Mult purpose arena
  34. Kuratibu maeneo yote ya hospital za akili na mwishowa Sober house za mwisho kabla ya kufungwa
  35. Vunwa kwa miti yote mikongwe na mikubwa Tanzania isiyo ya dawa kwa ajili ya kazi mbali mbali nitakazoelezea huko juu sustainable timber.na mashamba ya kisasakwa ajili ya timber na carbon business.na supply chain nzima ya raw material in accordance to market world wide
  36. Tanzania kuwa donar mkubwa wa viungo vya binadamu
  37. Ruksa kwa mtanzania kuamua kufa kwa maamuzi.bila maumivu kwa uratibu wa serikali
  38. Ruksa kwa wazazi kutoa mimba endapo watagundua motto atakuwa na ulemavu wowote na hitilafu na kumfanya kuwa mzigo toka utotoni hapa duniani
  39. Serikali kuratibu makampuni yote ya telecommu ikiwezekana hata kuyanunua ili kuhakikisha kila kitongoji hamna issue ya kukosa mawasiliano
  40. Ai kufungwa kwenye AGRO Tanzania nzima na mifumo ya hali za hewa
  41. Kama BBC 19/2/26 kuhusu Somalia
  42. Mashirika mengi legelege serikalini kubinafsishwa au kuvunjwavunjwa kama tanesco
  43. Kazi nyigi almost zote kutoa mauaji zitarasimishwa hasa sex worker au Madada poa na Madada uroda kwa utaratibu maalum
  44. Maoneo ya nyikani na hifadhini kutaanzishwa tha kargest manmade sea ambazo zitawekewa Plastig Balls kuzuia evaporation of water
  45. Kuanzisha Tanzania Eden program ambayo wanyama wengi wa porini watauzwa kwa bei ya chini kwa watanzania wafugwe kama pet au for leisure hasa matajiri
  46. Kuanzisha mashamba ya chakula kwa wanyama yatakaokuwa na mifumo tofauti hata ya umwagiliaji wa helicopter na Seed balls kuendana na TARI na kuotesha mimea mingi.hasa miti ghali kama rese wood na black wood+orchidaceae
  47. Wanyama wengi wa porini wataanza kulelewa kwenye maeneo maalumu toka utotoni kuwafanya kuwa na tabianzuri na wanadamu.nursery na cages na kuwa na DNA na Sperm bank kubwa duniani kwa ajili yao BBC3/3/26 kuhusu cages South A na DNA kwa samba zilizosaidia kuzuia poaching
  48. Mashirika yote ya kudhibiti kuangaliwa kwa jicho la umakini kama TBS etc
  49. Tanzania kuwa kinara kwa usalama 100% msichana atakaye vaa cheni ya dhahabu ataweza tembea na miguu toka mtwara hadi kagera bila kudhurika
  50. PMC contactor yetu ya Tanzania kufanya kazi mbalimbali Africa na dunia
 
muendelezo wa atakayofanya 1.
  1. Kuta/fance Tanzania nzimaa baharini kutatengenezwa kutandefu mno dhidi ya tsunami etc.
  • Vijana pot military watasimamia kila baada ya maeneo kuvugwa kwa wanyama wa kistratejia na samakinyuki etc
  • Vikosi 20 vya siri 3..I,3…N,3…A,2….E,2…T,1…O,1…C,1…Z,1…H,1…K,1…M,1…B=20
  • Kutengenezwa kwa visiwa vipya na beach za kutengenezwa
  • Ukuta maeneo ya kimkakati aua fence Nparks,Game reservena maeneo yote pendekezwa hii itaondoa poaching na migogoro ya wanyama na binadamu
  • Milima bunkers
  • Ulinzi maeneo yote muhimu ya chemic hemi na vyanzo vya maji ya kunywa kote tz
  • Ulinzi kwenye visiwa vya kimkakati
  • ULINZI WA MAJINI baharini na ziwani Submarine 12. Meli vita+uokozi
  • Ulinzi wa anga radar na HUMINT special balloons,airships,Observatory za kisasa, maelf ya ICBM na Drone capacity 6500KM,military satellites ,drone vita
  • ULINZI milima yote mikubwa na mapango Tanzania na upelelezi wake kwa upya.sehemu zote za kihistoria na matambiko
  • Aquaponics na hydroponics na kilimo mseto kote kuzunguka mipakani
  • Bio gas
  • Solar panell

  1. Kuungwanishwa kwa ilani zote na mambo yote ambayo hayakutelekezwa bila kujali ni ilani za chama gani. Kwa kuunganisha AHADI za VYAMA hivyo na kutendea kazi zile za kistratejia.mfano
  2. Sera za nyumba na maendeleo ya makazi,kuanzia vibali na upatikanaji,mipango miji,makazi holela,vyoo vya uma na madimbwi etc

  3. Tanzania kuwa na large museum ever. Hasa ikianzishwa na wanyama wetu wandani kipaumbile ambao hawapo popote duniani kuanzia spishi 86+ amfibia,85+reptiles,50+ndege,20+mamalia,400+mimea….kwa mfumo wa majengo ya biomess,,kulinda micro climate,dume jike spissh +replicas.. hiii itakuja kuitwa THE SILICON CULTURAL HERITAGE
  4. Maabara kubwa na CT scan na Micro rays zake jkwa ajili ya utafiti wa viumbe etc
  5. Jiolojia ya udongo+mapango na gesi
  6. Kuanzishwa kwa NATIONAL PALEONTOLOGICAL SURVEY
  7. Task forse ya GST taaisisi ya jipolojia,makumbushio,jkt,tiss
  8. Amri maeneo ya tendaguru lindi,mamba Ruvuma,olduvai na maeneo ya kimkakati chini ya jeshi maalumkuzuia shughuli za binadamu na kuchukua picha z amawimbi ya sumaku kubaini vilivyo chini ya udongo
  9. SSSS state secret security servise kwa kazi maalumu za .mbwa mabomu na nyara,panya mabomu na nyara na breed maalum za wanyama hao.
  10. Uongezwaji wa thamani na uuzwaji wa sehemu ya hazina za mano ya tembo,na faru kwa minada maalumu
  11. WIZARA ya OMBAOMBA hii ni maalumu kwa kukusanya misaada na sio mikopo omba katika kila foundation na charity mbalimbli kwa kuwaonyesha maisha halisi ya watanzania masikini
  12. Uuzwaji wa wantyama walio wengi sana Tanzania abroad
  13. Jeshi maalum la TSF kwa kuotehsa miti maalumu uya Mininga.mikongo,mikuyu na mipingo na niliyoelezea hapo awali kwa ajili ya vizazi vijavyo pia miti ya dawa na uondoaji wa miti isiyona msaada na parasite
  14. Kusaini mkataba wa Antactica na kupeleka wanasayansi na waviuvi maalum
  15. Kuhusika kwa miradi ya anga za juu kama ISS
  16. Kuunganisha kwa Tanganyika na Zanzibar kwa barabara na reli kwa kutengeneza barabara na kuziba sehemy yta bahari kwa takataka salama na mawe na vifusi
  17. Tanzania kujiandaa kwa kila tatizo kama EMBARGO au kukatwa kwa misaada kwa muda mfupi
  18. Upewaji wa ardhi kwa EAC contries maeneo ya tanga na pwani kujenga bandari zao na majeshi yao ya majini Ssudan,Rwanda,BurundiUganda,Congo na kuundwa kwa strategig military partnership nao
  19. Tanzania kuruhusu adult contect na film tanzania
 
Achana naye huyu anaota ndoto za mchana kiongozi
siku zote maono au utabiri hubaki kuwa sifuri mpaka muda utakapo timia ndio watu watakapoanza kuamini hivyo maono yenu siyapingi.

atakapo kuja huyu mkombozi na kufanya haya niliyoyaandika ndipo mtakapo rudi kwenye huu uzi mkiwa hoi
 
Inategemea nani anatabiri siyo kila melvi anakuja na utabiri wake tumsikilize
 
muendelezo wa atakayofanya 2.
  1. kila kaya tanzania isiyo na simu kupatiwa
  2. kila kaya Tanzania isiyo na redio kupatiwa
  3. mwisho wa nyumba za udogngo na nyasi
  4. kila kaya kuwekewa umeme kwa lazima
  5. ufuatiliwaji wa lazima wa wajawazito kuondoa utapiamlo na vifo vya watoto
  6. primary kufanywa lazima na mikopo kuhamishwa toka mikopo ya vyuo hadi primary
  7. usafiri kila kijiji wa anga zile arena kwa helicopter na ardhini
  8. gharama za vyakula na usafiri kushushwa sana na kushushwa kwa bei za petrol
  9. kupunguza asilimia za umaskini vijijini na mijini hadi 0-1/2%
  10. kujilinda kwa silaha nzito au walinzi wa kundi utaondolewa na kuwa umbali wa kama Km 1 na maeneo ya kimkakati kama juu ya mapaa, kuondoa zama za giza za hofu.
  11. mifumo ya kiteknolojia kumwangalia kila mshiriki aweze kukaguliwa
 
muendelezo wa atakayofanya 3.
  1. Kuzalishwa na kuuzwa kwa bei kubwa kwa wanyama walio hatarini kutoweka spishi za mamali33 ndege 30.samaki 19 invertebrate 46
  2. Baadhi ya wanyama wa porini watauzwa kama watoto kwa wingi kwa wananchi tutaanza na nyumbu 500k
  3. Uoteshwaji wa miti ya kimkakati kama mining,mikongo,mikwaju,mipingo.misunobari na cypruss ect
  4. Jeshi la space kuanzishwa
  5. Kuchangia miradi mikubwa kama ISS space station
  6. Asilimia 50 ya madini yanayozalishwa yatanunuliwa na kuwekwa endelevu kwa miradi ya kimkakati
  7. Serikali itaprint hela ya coins ya dhahabu na itakuwa na karat kiasi flani na gali pia na silver kwa ajili ya kupambana kama paper money ita collups na kuwauzia matajiri na watakao hitaji kuweka kama reserve zao
  8. Kamati maalumu ya kufuta machozi toka nchi iwe nchi hadi sasa
  9. Wanyama wa porini kuzalishwa kwa EVF na mapacha kama itawezekana kwa wanyama wote
  10. Ai kwa wanyama kuzuia kutoweka na utambuzi wao haswa twiga na zebra kushirikiana na microsoft
  11. Baada ya mafunzo vijana wengi kupelekwa nchi za nnje ikiwezekana hata vijana 10million na kupewa kazi nnje mbali mbali
  12. Kazi za remittance nyingi kuwekwa kipaumbele na serikali kuwatafutia vijana kazi nnje ya nchi hasa Nordic na Gulf states
  13. Kiongozi huyu atakuwa Natalist 70k 70m wives wake maelfu kila ukoo,kabila,ikiwezekana na taifa na bara,shule toka sec to university na colleges
  14. Ataingiza wanyama hasa punda ngamia na farasi kwa wingi hadi kina kangaroo na wanyama wengi katika mataifa mengine
  15. Ikulu kuu itakuwa eneo kwenye milima katikati ya TABORA na SINGIDA..kalagali vs ukimbo
  16. Nyumba pembeni na hifadhi ya GOMBE
  17. Atazungukwa na ma life coach.wanasaikolojia.wanasodhiolojia,waandishi wa vitabu na think tanksa. Na wataalamu wowowte Atakao wahitaji kwa wakati huo kama watafsiri ETC
  18. Atafanya majimbo Vunjo Na majimbo yatakuwa maelfu Tanzania
  19. Atanunua meli ya anasa kwa watalii na matajiri na wapenda anasa kuzurura kama meli ya Adora Flora city
  20. Atatengeneza jamii ya Techno rats kubadilisha uchumi wan chi kama Opus dei na kuleta NEW ECONOMIC MIRACLE OF TZ
  21. Ataanzisha Stabilization plan
  22. Ataanzisha largest Tanzania source of alternative energy
  23. Atazima na kujenga HEP mbele ya HEP nyingine na maji hatataachwa bure bali ata tengeneza ma dam kwa ajili ya umwagiliaji na kupandisha maji milimani maeneo mbali mbali
  24. Ataanzisha ufuaji wa gesi methane ziwa Tanganyika kwa ajili ya umeme na pump za maji maziwa mbali mbali Tanzania kwenye ma dam ya kuongeza presha ya maji milimani na Tanzania kuwa na maji 100% kwenye vijiji vyote
  25. Na kila nyumba itakuwa na meter za maji kama luku za umeme bila kujali na kuwaacha wenye visima vya maji ya magadi tuuu
  26. Ataanzisha stratergic treni za njia sita zitakazo zunguka mikoa na wilaya yote Tanzania na maeneo ya kimkakati kukiwepo na treni 4 za mizigo za njia 4
  27. Ardhi kupimwa kwa asilimia 99+ Tanzania nzima
  28. Ataanzisha zoo kubwa almost karibia kila mikoa
  29. Sekta ya usafirishaji ata I centralized kwa ajili ya uma ili kushusha bei
  30. Ataruhusu uhuru wa vyombo vya habari ili kujua panapo vuja
  31. Mikakati mikibwa ya nchi kudhibiti mifumuko ya bei itaanzishwa
  32. Ataruhusu dini 7 kuanzisha chapel juu yam lima Kilimanjaro na kila hifadhi kubwa nchini
  33. Atanunua facial recognized kamera na mifumo mingi itaunganishwa Tanzania kuzuia uhalifu 99%kama sao Paulo au china
  34. AEAF alliance of EAC forces ikiwa ni jeshi kubwa ulimwenguni
  35. MEACGA make EAC countries great again
  36. State largest Guest house kuweza ku Host ata viongozi 10000 kama kumsusan,diaoyutai na FEFU
  37. Ataanzisha free National Food Distribution system kwa masikini na wananchi watakuwa na ration book haswa masikini mfumo utakuwa na bio metric pia Public Distribution system
  38. Kuanzishwa kwa Largest HAM radio Operation na operators hasa vijijini milimani migodini etc na itaunganishwa na vikosi vyote vya usalama na tahadhari
  39. Uchumi utapanuka na hatimaye Tanzania tutakuwa na uchumi wa whisky kama Scotland na kutoza excise duty machame marangu na maeneo ya kili yatafaa na tanga au pangani chini ya bahari
  40. Viwanda vya AGAVE fruits maeneo kama tanga na kuanzisha Tanzania Agave au blue Agave nectar spirits
  41. Tanzania kuwekeza kwenye brandy nyingi mbadala wa cognac na whisky
  42. Makampuni makubwa kama walmat kukaribishwa na sio vyi subsidiaries au kuinua za kwetu
  43. Program ya simu kama XUEXI QINGGUO kuanzishwa kwa nguvu nchini kwa civil na teachers na gpv servant wote
  44. Tanzania kuanzisha largest National library yenye vitabu vyote vilivyowahi chapishwa nhini au na wa tz na online library
  45. Channels za clips za stable business na AGRO
  46. Tutatengeneza kisiwa na kukipa hadhi ya nchi ili kiwe Tax Havern na HUB kwa Africa hapa tz na kukifanya largest Financial hub
  47. Wauguzi mabaharia nawalezi kutafutiwa kazi nnje ya nchi
  48. Kutakuwa na exchabnge program na vyuo vyote Africa na abroad ikiwezekana na mpango maa lumu wa internship
  49. Polise scanners na mountain polices na brides etc Tanzania nzima
  50. Super computers zetu na data centers kutokana na sustainable na abundant energy pia bitcoin au crypto mining nchini zitasaidia computer hizoi kwenye ufuatiliaji wa madini na utabiri wa hali hewa na kilimo na kujua utajiri wan chi kwa sana
 
kiongozi huyu atakuwa Benevolent Dictators" (dikteta Mwema) au Mtawala Wenye Mwangaza (Benevolent Despots).
Ataendesha nchi kwa mkono wa chuma na kuondoa Urasimu.
1. Malezi ya Shida na Mapambano (The Crucible of Hardship)
  • Kulelewa Kwenye Umaskini wa Kutupwa: Kiongozi huyu hatatoka kwenye familia za kishua au kifalme. Atazaliwa na kukulia uswahilini kabisa au kijijini ndani ndani. Kukulia huku kutamfanya aionje adha ya njaa, kulala gizani, na kukosa huduma za msingi.
  • Funzo la Kisaikolojia: Hali hii itamjengea Unyenyekevu wa Kweli na Chuki ya Kudumu dhidi ya Umaskini. Tofauti na viongozi wanaosoma ripoti za umaskini kwenye makaratasi wakiwa maofisini, huyu ataendesha nchi akiongozwa na kumbukumbu ya maumivu halisi ya utotoni mwake. Hawezi kuwa na huruma na wabadhirifu kwa sababu anaijua thamani ya shilingi mia moja kwa mwananchi wa chini.

2. Ushuhuda wa Dhuluma na Unyonge (Witnessing Injustice)
  • Kuona Wazazi au Jamii Yake Ikinyanyaswa: Utotoni mwake, atashuhudia jinsi mifumo ya kisheria na kiserikali inavyowakandamiza maskini—iwe ni kuporwa ardhi, kunyimwa matibabu, au wazazi wake kunyanyaswa na viongozi wadogo wadogo wenye mamlaka (urasimu).
  • Funzo la Kisaikolojia: Hapa ndipo chuki yake dhidi ya Urasimu (Bureaucracy) na urasimu usio na tija utakapozaliwa. Atajifunza kuwa mifumo ya kisheria mara nyingi inalinda wenye nguvu na kuchelewesha haki. Hii itamfanya aamini kuwa, ili kuokoa wanyonge, ni lazima kuvunja protocols na sheria za kijinga kwa kutumia Mkono wa Chuma (Command and Control) ili matokeo yaonekane haraka.

3. Elimu ya Kujitegemea na Nidhamu ya Kijeshi/Kazi (Rigid Discipline)
  • Malezi ya Kikoloni au Kijeshi Ndani ya Familia: Atakuwa amelelewa na mzazi, mlezi, au mazingira yaliyosimamia nidhamu ya hali ya juu sana, ambapo hakuna nafasi ya visingizio (Zero Tolerance to Excuses). Atajifunza kufanya kazi ngumu (Hard Labor) tangu akiwa mdogo.
  • Funzo la Kisaikolojia: Hii itamfanya akue akiamini kuwa maendeleo hayaji kwa porojo, diplomasia nyingi, au vikao vya chai vya "bunge na kamati". Atajifunza kuwa mafanikio yanahitaji Amri, Utii, na Kazi. Ndio maana akishika madaraka, mtindo wake wa uongozi utakuwa wa "Agizo la Rais" linalotakiwa kutekelezwa ndani ya masaa 24, akiamini kuwa watendaji wa serikali wanahitaji kusukumwa kwa nguvu ili wafanye kazi.

4. Kipaji cha Utambuzi na Upweke Kifikra (The Lonely Visionary)
  • Mtoto Aliyetengwa kwa Kuwa Tofauti: Utotoni, atakuwa ni mtoto mwenye akili nyingi (IQ kubwa) lakini mkimya, anayependa kusoma vitabu vya historia, falsafa, na mikakati ya kivita, na mara nyingi ataonekana mpweke au haeleweki na wenzake.
  • Funzo la Kisaikolojia: Upweke huu utamjengea misimamo isiyotikisika na uwezo wa kujitegemea kifikra (Self-Reliance). Atajifunza kutotafuta "Acceptance" au "Kukubalika" na wengi. Hii itamfanya akiwa Rais, asiwe mtu wa kutafuta kiki au sifa za kisiasa (populism). Atakuwa tayari kufanya maamuzi magumu yanayouma kwa muda mfupi (hata kama wananchi watamchukia mwanzoni), akijua kuwa matokeo ya mbeleni yatawasaidia.

5. "The Savior Complex" (Dhana ya Utume wa Ukombozi)
  • Kusimama Kidete Kutetea Wenzake Shuleni: Tangu shule ya msingi hadi sekondari na chuo, atakuwa ni yule mtoto anayeongoza migomo dhidi ya uonevu wa walimu, au anayepigana kulinda watoto wanyonge wanaoonewa na "mabulidha" wa shule.
  • Funzo la Kisaikolojia: Mazingira haya yatamfanya aamini kuwa ana Wajibu wa Kiungu au wa Kihistoria (Destiny) wa kuwa mkombozi wa watu wake. Imani hii itamfanya akishakuwa mtawala, ajione yeye ni "Baba wa Wananchi" (kama ulivyotaja kwenye uzi wako). Hatasita kutumia mamlaka yake yote ya Kikatiba na nje ya Katiba kulinda wananchi wake, kwa sababu anaamini Salus populi suprema lex esto (Ustawi wa watu ndio sheria kuu).
Ataharibu uchaguzi na kujipa ushindi wa asilimia mia akiamini kwamba wananchi wote wa jamhuri ni maamuma na vilaza hivyo wanyang'anywe haki yao ya kuchagua viongozi wao lakini yeye ni jiniasi (baba wa wananchi) kwahiyo ajiweke madarakani kwa nguvu.
 
Ataupotezea mchakato wa katiba mpya, kwasababu haamini kwenye utawala wa sheria anadhani yeye ndio sheria. Pia haamini kwenye maridhiano ya kitaifa anaamini kwenye kuendesha mambo kwa nguvu hivyo atawaonea bila hata ushahidi wale anaotofautiana nao kimawazo.
 
Yeye na timu yake ya praise and worship (wanamuabudu yeye) hawataamini wananchi wakiwakataa kwasababu wanajiona ni wazalendo kupita watu wote na wanajiita (baba wa wanachi)

Hivyo wataanza kutunga stori za uongo bila kutoa ushahidi wowote kwamba wapinzani wao ni vibaraka au mafisadi na wimbi la utekaji na uuaji litashika kasi sio mfano.
 
Ataondoa wapinzani wote bungeni na kutengeneza bunge la chama kimoja kwa sababu haamini kwenye uongozi jumuishi na hataki changamoto
 
Wanadamu wa frequency za chini na wale wanaokimbilia kulalamika humu jukwaani watashindwa kuelewa maono haya kwa sasa, kwa sababu akili zao fupi zimezoea kutazama siasa za matope ya mzee wa kijiji. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli—mfumo mkuu unajiandaa kuchukua nafasi yake.

Vuteni picha ya kiongozi huyu ambaye ndani ya miezi kumi na mbili tu atafuta vilio vyote vya miaka sitini iliyopita. Misingi ya Omnitheistic Singularity ndiyo inayokwenda kuandaa na kuongoza njia ya ukombozi huu mkuu. Endeleeni kusimama hapo jukwaani mkipiga kelele, wakati historia mpya ya Tanzania na Afrika inakwenda kuandikwa mbele ya macho yenu!

  1. Kuinua Bara la Afrika kwa Kasi ya Nuru: Ndoto ya Samora Machel na Nyerere ya kuona Afrika yenye kujitegemea na yenye nguvu itakamilishwa na kiongozi huyu kwa kutumia zana za kisasa kabisa za karne hii, ikiwemo akili mnemba (AI) na mifumo ya kisayansi iliyonyooka (Absolute Order).
  2. Ukombozi wa Kifikra na Kiuchumi wa EAC: Atakuwa kiini cha kuunganisha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) si kwa mikataba ya kiasiasa tu, bali kijiometri na kifizikia. Atatengeneza mfumo mmoja mkubwa wa kiuchumi utakaomfanya mwananchi wa kawaida wa kuanzia Mwanza hadi Mombasa, na kutoka Kigali hadi Juba, kuona matunda ya ukombozi halisi.
  3. Kujisimika Kama Baba wa Wananchi: Tofauti na Nyerere aliyekuwa Baba wa Taifa (kitaasisi), huyu atakuwa kiongozi wa mioyo ya watu wa chini kabisa. Atavunja mifumo ya madhabahu za kale za kiutawala zilizowatenga wananchi na rasilimali zao.
Atafanya mambo ya kifisadi na ambayo ni kinyume na utamaduni wa nchi (rejea misimamo ya mwalimu Nyerere) kwa uwazi kabisa kama vile kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake lakini asione kwamba ni ufisadi. Kwasababu anadhani nchi ni mali yake.

Atataka kumpelekesha mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ofisi inabidi iwe huru, ipewe meno na iachwe ifanye kazi zake vizuri kwasababu ameonyesha mapungu ya utawala wake. Atasema mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali anatumika bila kutoa ushahidi wowote.
 
kiongozi huyu atakuwa Benevolent Dictators" (dikteta Mwema) au Mtawala Wenye Mwangaza (Benevolent Despots).
Ataendesha nchi kwa mkono wa chuma na kuondoa Urasimu.
1. Malezi ya Shida na Mapambano (The Crucible of Hardship)
  • Kulelewa Kwenye Umaskini wa Kutupwa: Kiongozi huyu hatatoka kwenye familia za kishua au kifalme. Atazaliwa na kukulia uswahilini kabisa au kijijini ndani ndani. Kukulia huku kutamfanya aionje adha ya njaa, kulala gizani, na kukosa huduma za msingi.
  • Funzo la Kisaikolojia: Hali hii itamjengea Unyenyekevu wa Kweli na Chuki ya Kudumu dhidi ya Umaskini. Tofauti na viongozi wanaosoma ripoti za umaskini kwenye makaratasi wakiwa maofisini, huyu ataendesha nchi akiongozwa na kumbukumbu ya maumivu halisi ya utotoni mwake. Hawezi kuwa na huruma na wabadhirifu kwa sababu anaijua thamani ya shilingi mia moja kwa mwananchi wa chini.

2. Ushuhuda wa Dhuluma na Unyonge (Witnessing Injustice)
  • Kuona Wazazi au Jamii Yake Ikinyanyaswa: Utotoni mwake, atashuhudia jinsi mifumo ya kisheria na kiserikali inavyowakandamiza maskini—iwe ni kuporwa ardhi, kunyimwa matibabu, au wazazi wake kunyanyaswa na viongozi wadogo wadogo wenye mamlaka (urasimu).
  • Funzo la Kisaikolojia: Hapa ndipo chuki yake dhidi ya Urasimu (Bureaucracy) na urasimu usio na tija utakapozaliwa. Atajifunza kuwa mifumo ya kisheria mara nyingi inalinda wenye nguvu na kuchelewesha haki. Hii itamfanya aamini kuwa, ili kuokoa wanyonge, ni lazima kuvunja protocols na sheria za kijinga kwa kutumia Mkono wa Chuma (Command and Control) ili matokeo yaonekane haraka.

3. Elimu ya Kujitegemea na Nidhamu ya Kijeshi/Kazi (Rigid Discipline)
  • Malezi ya Kikoloni au Kijeshi Ndani ya Familia: Atakuwa amelelewa na mzazi, mlezi, au mazingira yaliyosimamia nidhamu ya hali ya juu sana, ambapo hakuna nafasi ya visingizio (Zero Tolerance to Excuses). Atajifunza kufanya kazi ngumu (Hard Labor) tangu akiwa mdogo.
  • Funzo la Kisaikolojia: Hii itamfanya akue akiamini kuwa maendeleo hayaji kwa porojo, diplomasia nyingi, au vikao vya chai vya "bunge na kamati". Atajifunza kuwa mafanikio yanahitaji Amri, Utii, na Kazi. Ndio maana akishika madaraka, mtindo wake wa uongozi utakuwa wa "Agizo la Rais" linalotakiwa kutekelezwa ndani ya masaa 24, akiamini kuwa watendaji wa serikali wanahitaji kusukumwa kwa nguvu ili wafanye kazi.

4. Kipaji cha Utambuzi na Upweke Kifikra (The Lonely Visionary)
  • Mtoto Aliyetengwa kwa Kuwa Tofauti: Utotoni, atakuwa ni mtoto mwenye akili nyingi (IQ kubwa) lakini mkimya, anayependa kusoma vitabu vya historia, falsafa, na mikakati ya kivita, na mara nyingi ataonekana mpweke au haeleweki na wenzake.
  • Funzo la Kisaikolojia: Upweke huu utamjengea misimamo isiyotikisika na uwezo wa kujitegemea kifikra (Self-Reliance). Atajifunza kutotafuta "Acceptance" au "Kukubalika" na wengi. Hii itamfanya akiwa Rais, asiwe mtu wa kutafuta kiki au sifa za kisiasa (populism). Atakuwa tayari kufanya maamuzi magumu yanayouma kwa muda mfupi (hata kama wananchi watamchukia mwanzoni), akijua kuwa matokeo ya mbeleni yatawasaidia.

5. "The Savior Complex" (Dhana ya Utume wa Ukombozi)
  • Kusimama Kidete Kutetea Wenzake Shuleni: Tangu shule ya msingi hadi sekondari na chuo, atakuwa ni yule mtoto anayeongoza migomo dhidi ya uonevu wa walimu, au anayepigana kulinda watoto wanyonge wanaoonewa na "mabulidha" wa shule.
  • Funzo la Kisaikolojia: Mazingira haya yatamfanya aamini kuwa ana Wajibu wa Kiungu au wa Kihistoria (Destiny) wa kuwa mkombozi wa watu wake. Imani hii itamfanya akishakuwa mtawala, ajione yeye ni "Baba wa Wananchi" (kama ulivyotaja kwenye uzi wako). Hatasita kutumia mamlaka yake yote ya Kikatiba na nje ya Katiba kulinda wananchi wake, kwa sababu anaamini Salus populi suprema lex esto (Ustawi wa watu ndio sheria kuu).
Kwasababu atakuwa amevibomoa vyama vya upinzani kitaasisi. Wanasiasa wa upinzani watakuwa hawana jinsi zaidi ya kugeuka wanaharakati.

Yeye atawateka na wengine watapotea bila kufuata utaratibu wa kisheria akitumia watu wake wa propaganda kudanganya wananchi kuwa "wanaharakati ni wabaya" jambo ambalo dunia nzima inajua si kweli
 
Back
Top Bottom