wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Technophilic Pool

    Waarabu na wazungu waliondoa dini zetu za asili ili tuabudu Nyota/Mwezi na Sanamu za bikra maria

    Nimeona hii picha imenisikitisha
  2. Mpigania uhuru wa pili

    Wazungu walikataa mfumo wa ndoa wa asili sasa wameangukia kwenye ushoga

    Kinachotokea ulaya hakijaja kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya watu kukataa mfumo wa asili wa ndoa ya mwanaume na mwanamke Asilimia kubwa ya mafeminist ni wasagaji na asilimia kubwa ya wanaume wanaokataa ndoa wanahatari ya kuangukia kwenye ushoga Kuvunjika kwa maadili kulikokithiri zama hizi...
  3. MKATA KIU

    Walituambia Umeme wa maji umepitwa na wakati, huku wao wanajenga na kupanua mabwawa yao. Wazungu wasanii sana

    Nimekumbuka mwaka 2018 jinsi magufuli alivyokuwa anapingwa kujenga bwawa la umeme. Ila wazungu hao hao wa marekani na canada wao wanajenga mabwawa mapya na kuboresha mabwawa ya zamani kwenye nchi zao. Kama umeme wa maji umepitwa na wakati, kwa nini wao wanajenga mabwawa ya umeme zama hizi
  4. Eli Cohen

    Waafrika vitu vingine tuachie wazungu tu 🤣🤣

    Lazima waote hawa usiku
  5. D

    Wazungu Wanamtumia Paul Kagame kuiba madini ya DRC halafu baadae watamuua

    Sisi waafrika tumelaaniwa na sidhani kama Mwenyezi Mungu alituumba na akili sawasawa. Ona Paul Kagame anavyotumiwa na nchi za Magahribi kuiba na kuua wacongo. Ninavyojua mimi wanamtumia ti wakiwa wanamtegesha tu kwamba madini yakiisha tu wanammaliza Kagame mwenyewe. Au Kagame akishtuka tu...
  6. Down To Earth

    Computer ya IBM mwaka 1947: Wazungu wametoka mbali sana.

    Huyu ni Computer engineer, hapa anafanya wiring mwaka 1947 safari ya wazungu katika suala la Tech wametoka mbali sana
  7. kwisha

    Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
  8. MamaSamia2025

    Nyimbo za wasanii wa Kibongo za baada ya wapenzi kuachana zimejaa maneno makali ya jazba tofauti na za wazungu

    Soma mashairi ya wimbo SITAKI DEMU wa Juma Nature na ule wa Doing just fine wa Boyz II Men uone tofauti. Title: Sitaki demu Artist: Juma Nature (Verse 1) Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala Aaah bwana eh usinifate bwana We si ukalale...
  9. ndege JOHN

    Mlioishi Ulaya na Amerika, eti huko wazungu wanakula kuku wa kienyeji au wa kisasa?

    Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli. Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna...
  10. Boss la DP World

    Kwanini civil war za wazungu ziliitwa world war?

    Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni. Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za huku africa zinaitwa civil war licha ya kusababisha maafa makubwa pengine kuliko hata hizo world war...
  11. gstar

    P. Diddy na kesi ya unyanyasaji wa Kingono

    Tarehe 16-09-2024 SEAN LOVE COMBS maarufu kama P DIDDY alikamatwa huko MANHATTAN jijini NEW YORK akihusishwa na makosa kadhaa ambayo ni kumiliki kundi kubwa la uharifu kusafirisha wanawake kingono Na kufanya biashara haramu. Ila ajabu P DIDDY alipofika mahakamani alisimama na kupinga waziwazi...
  12. D

    Kwanini Wazungu ndo huwa wanatoa scholarship ya kusoma na siyo Waafrika? Mmeshawahi kujiuliza?

    Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani. Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo...
  13. Komeo Lachuma

    Ni ngumu sana kujitoa katika makucha ya Wazungu. Wapo everywhere

    Nipo sehemu flani hivi executive. Nimekaa na mpenzi wangu tuna enjoy mlo wa mchana. Kilichonishtua ni ustaadhi wa kiarabu kaja na vitoto vyake viwili. Haviongei kiarabu. Vinashindana na vitoto vingine vinne vya kihindi kuongea Kizungu. Siyo Kiarabu siyo Kihindi. Kizungu. Nimechoka kabisa...
  14. Yoda

    Kwanini Mzee Kikwete ni maarafu sana nje ya nchi hasa kwa Wazungu?

    Hakuwa reformist(mwanamageuzi) katika nchi, Sio intellectual au mwanafalsafa kama Nyerere na Kingereza chake ni cha kawaida tu ila wakati wote amekuwa kipenzi cha viongozi wa siasa magharibi, wafadhili matajiri, mashirika na taasisi zao mbalimbali katika shuguli zao nyingi hususani za Africa...
  15. Lord denning

    Tuvunje Wizara ya Ardhi na Tamisemi tuwape Wazungu

    Kielelezo cha kufeli kwa Mtanzania au kufeli wa Serikali ya Tanzania ni kwenye Wizara mbili 1. Wizara ya Ardhi 2. Wizara ya Tamisemi. Kila nikienda majiji makubwa kuanzia Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Arusha na hadi Dodoma nasikitika kwa kuona Nchi hii imefeli kwa sehemu kubwa sana kwenye...
  16. Mhafidhina07

    Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
  17. Its Pancho

    Undani wa biashara ya utumwa je ni waarabu au wazungu ndiyo chanzo? Soma hapa

    I salute you kinsmen.! Naona kumekuwa na mjadala wa vuta nikuvute kwa pande mbili hasa kwenye muelekeo wa kidini zaidi . Mwelekeo huu ukihusu zaidi waarabu na wazungu na kujikuta tukikaa makundi ya ukristo na uislamu.! Hii haifai wakuu lazima tuwe neutral na tujadili ukweli sio kuruka ruka na...
  18. matunduizi

    Wazungu waliwezaje kutuzidi ujanja sisi wanadamu wa rangi tofauti kwa muda mrefu?

    Dunia inawazungu wachina kwa jamii zao, wahindi kwa jamii zao, waarabu kwa jamii zao walatino kwa jamii zao na sisi weusi kwa jamii zetu. Wakuu wazungu tangu waliposhika kijiti wanaushawishi kwenye kila mtu na kila jamii dunia nzima. Licha ya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia bado sioni...
  19. chiembe

    Hivi kwa nini matege na makengeza yanapatikana sana kwa wakazi wa Afrika? Sijaona kwa wazungu

    Hili nimekuwa nikijiuliza sana, wadau, kuna mwenye ufahamu?
  20. Mhafidhina07

    je wazungu wanamatambiko?

    wadau nimeona sehemu nyingi katika dunia hii tambalale wanakuwa ni watu wenye kufanya sala na ibada za kiasili/matambiko hususani asia,afrika na amerika ,je wenzetu wa reasoning/ulaya wanayo haya mambo? uchawi na matambiko mengine
Back
Top Bottom