wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. GoldDhahabu

    Lini Afrika tutaacha kuwategemea Wazungu kuwasaidia watu wetu?

    Hao watoto wasingepata msaada kama hao Wazungu wasingewabaini?
  2. Meneja Wa Makampuni

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali. Source ya hii habari...
  3. GoldDhahabu

    Wakati mwingine, wanaosema "Mungu wabariki Wazungu" wako sahihi

    Hope angelikuwa wapi leo kama asingeonwa na Mzungu kutoka Denmark? Ilitokea huko Nigeria mwaka 2016. Mzungu kutoka Denmark alimwokota mtoto wa kiume mitaani aliyekondeana sana kwa kukosa huduma muhimu. Si kwamba huyo mtoto hakuwa na wazazi wa damu, bali alitelekezwa kutokana na shinikizo la...
  4. G

    Wazungu wapewe maua yao na si lawama, Utumwa ulikuwepo Dunia nzima, Wao ndio walikuwa wa kwanza kuanzisha harakati za kuufuta

    Tunaanza na hapa kwetu Afrika, utumwa ulikuwepo hata kabla ya waarabu na wazungu kuja, hapo badae soko la watumwa wa kiafrika lilikuwa kubwa na kutufanya sisi kwa sisi waafrika tuanze kuuzana kwa wageni, hivyo nasi tulishiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye utumwa Warabu walikuwa na watumwa na...
  5. BARD AI

    Watu weusi (Black African) wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata Magonjwa ya Moyo kuliko Wazungu

    Leo katika pitapita zangu Mtandaoni nimekutana na taarifa ya kushtua kidogo kwamba Watu wenye asili ya Afrika (Waafrika Weusi) wanakuwa hatarini zaidi kupata Magonjwa ya Moyo ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu kuliko Watu weupe (Wazungu). Hili jambo lina ukweli kiasi gani?
  6. Mhaya

    Naendelea kusisitiza, kuna vitu vingi sana vya kujifunza kupitia filamu (movies)

    Hizi muvi unazoaziangalia ndio zimekupa picha kwamba CIA ni lidude likubwa sana. Hizi muvi ndizo zinakupa maarifa kuona kila kitu kinawezekana. Kupitia muvi, wanaeneza uchoko, na kwa bahati mbaya watoto wako wakiziangalia, baadaye wanakuwa machoko. Kila propaganda duniani, huanzia kwenye muvi...
  7. tamsana

    Picha: Maoni ya mdau kuhusu tofauti ya wazungu na waafrika katika elimu

    Picha inajieleza. Comments za wadau zinahuzunisha zaidi
  8. Mwamuzi wa Tanzania

    Uvumbuzi huu umefanywa na wasomi wazawa

    Madaktari pamoja na wafamasia wetu wamegundua namna ya kuiba dawa na kuzipeleka kwenye maduka yao binafsi bila kushikwa. Wahandisi wetu wa ndani wamegundua namna nzuri ya kuiba pesa za miradi bila kushikwa. Wakuu wa shule nao hawako nyuma wamegundua namna ya kuiba pesa za ruzuku bila kushikwa...
  9. tpaul

    Tusikatae chakula tu, tuikatae pia misaada na mikopo ya fedha kutoka kwa wazungu

    Mchezo wa kukataa mchele kutoka Marekani ni zaidi ya mchezo maarufu wa kombolela unaochezwa na watoto. Mchezo wa kitoto haukeshi. Sote tunafahamu kuwa msaada ni kitu kinachotolewa kwa hisani (goodwill) bila mpokeaji kuhitaji kumpa masharti mtoaji. Taarifa za Bashe (Waziri wa Kilimo) kuukataa...
  10. LAPSE RATE

    Mzungu arekodiwa akieleza jinsi wamejinga kuendelea kuididimiza Afrika

    Inasikitisha ukisikiliza video hii mzungu akieleza namna ya kuididimiza Afrika Kusini mwa jangwa la sahara.
  11. LA7

    Wazungu ni watu wa upendo sana

    Leo hii kuna laptop nimefungua ndani nikakuta vitu Kama ifuatavyo Kule ndani nimekuta vifaa vya nchi kadhaa ikiwamo U.S.A Malaysia China Japan India Singapore Je sisi ngozi nyeusi tutaweza Nini Kama tumeshindwa kufanya tu hata vya kuiga vinavo onekana kwa macho. Tuache unafiki mfano. Mtu...
  12. G

    Tech Hubs za bongo ni miradi ya watu wachache kupiga pesa za misaada (grants) za wazungu ? mbona hatuoni startups zikifanikiwa?

    ni miaka nenda rudi wazungu wanatoa dollar kuzisaidia Tech hubs za Tanzania lakini cha ajabu hatuoni matunda ila utakuta viongozi wa start ups wanatumia simu latest zenye bei mbaya, magari mazuri, apartment ghali, nguo za gharama, n.k. Tetesi ni kwamba Grants zikifika bongo, wakuu wa hubs...
  13. Mr Chromium

    M23 ni private mercenaries wa Marekani na Ulaya. Wazungu wako miaka 100 mbele

    Uzi huu upo kitechnologia zaidi kuliko M23 yenyewe! Wakati dunia inaamuka kuanza kutumia majeshi binafsi nchi za ulaya na USA ziko miaka 100 mbele yetu wakati huo Nchi za africa ziko karne mbili nyuma bado zinadanganywa na Western democracy, Human right, UN na rule of law,I CJ court. Kifupi...
  14. D

    Kwanini Marais wengi Afrika Magharibi wanaoa wanawake wazungu?

    Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua Rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa Juzi tena...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Wazo fyatu: Wazungu waje wachukue rasilimali zao huku Afrika

    Hello men and women of God! Nimekaa hapa nimewaza na kugundua kuwa hizi rasilimali za asili kama madini, wanyama na rasilimali zingine zote za asili hapa Afrika ni zao Wazungu. Sisi tulipewa tuzilinde tu kama vile mtu anayejenga nyumba Chanika na kumwambia mtu kaa usihofu lima mboga mboga ila...
  16. kmbwembwe

    Hivi hawa wazungu kuhusu maadili ya binadamu nani kawaloga?

    Rais wa Ufaransa mkewe ni kikongwe wa umri wa kumzaa yeye. Alikuwa mwalimu wake chuo kikuu. Huyo huyo Rais wa Ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kuwa Waziri Mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo. Hivi ni vituko vya...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Waafrika hatukupaswa kutumia kalenda moja na wazungu. Sisi tuko nyuma ya wazungu kwa miaka 300

    Hii naileta bila salamu! Karne ya 17 na 18 wazungu ndipo walipogundua teknolojia nyingi. Vitu ambavyo wazungu walivumbua Karne ya 17 -18 mpaka sasa Waafrika hatujagundua mithili ya hivyo. Tunapeleka watoto shule Ili waweze kutumia vitu ambavyo wazungu walivumbua miaka zaidi ya 300 nyuma ...
  18. Mjanja M1

    Video: Kijana mweusi aigiza kuwa nyani mbele ya Wazungu

    Kumekuwa na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, na moja kati ya maneno yanayoashiria ubaguzi ni mtu mweusi kuitwa Nyani. Kijana huyu ameonekana kwenye fukwe akiigiza na kufanya matendo ya mnyama Nyani hali iliyopelekea baadhi ya wazungu kucheka. ANGALIA VIDEO HAPA Unahisi kijana huyu...
  19. M

    Rashford kwishaa. Wazungu ni watu wabaya sana

    Mzuka wanajamvi. Hawa wazungu hasa wana habari wanawamaliza sana jamii ya kiafrika hasa kwenye michezo. Wasipokuundia mizengwe ya ubakaji basi watasubiri tu utende kosa flani na kukuathiri kisaikolojia hadi ushindwe kufanikiwa kwenye michezo. Sasa hivi Marcus Rashford (mpemba) mshambuliaji...
  20. Nkaburu

    Kisonono, Kaswende haikuwa magonjwa pekee Kuletwa na Wazungu wa Ulaya

    Salaam Watanzania Wenzangu. NI baelezee. Afrika kulikuwa na magonjwa mengine ya kawaida tu, kama vile Kifua kikuu, Ukoma, Na ugonjwa wa Usingizi. Magonjwa haya hayakusababisha vifo vya halaiki kama magonjwa waliyo kujanayo Wazungu kwasababu hayakuwa yameenea sana au yalikuwa hatari kama yale...
Back
Top Bottom