wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. lee Vladimir cleef

    Wamarekani na wazungu wasituingilie mambo yetu ya ndani, sisi ni Taifa huru

    Kauli hii Ni maarufu Sana kwa VIONGOZi wa awamu hii ya tano muhula wa pili."Mabeberu wasituingilie katika mambo yetu ya ndani, kwani sisi ni Taifa huru, uchaguzi ulikua huru na wa haki, Kama mtu hajaridhika aende Mahakamani" Haya maneno yanasemwa Sana na Watawala kutoka CCM ya kizazi hiki. Ila...
  2. my name is my name

    Hivi haya mawazo ya wazungu au ngozi nyeupe wanapenda anal sex yametoka wapi?

    Mara nyngi naona humu watu wana mawazo km haya, tena sio humu tu karbia watu wngi weusi wana mawazo haya hasa watanzania ati wazungu wanapenda sana anal sex. Wanamini km msichana akiwa na relationship na mzungu au ngozi nyeupe lazma atakua anafanya anal. Wanachukulia kama vile hakuna ngozi...
  3. babu M

    Wazungu akili inapogoma!

  4. S

    Wazungu wajichimbia Tanzania -Hongera CCM tumeanza kuipita Ulaya

    Nakumbuka enzi zile ,nikimaliza lasaba natafuta meli ! Baharia ndio moja ya kazi za zama zile za geza ulole ,baada ya hapo ikaingia krosiboda na hata kuingia nchi za wazung baadae ndio ikafikia kujiripuwa ,ni kubakia ulaya na kuanza kujituma tukitumai maisha yatanoga na kweli yamenoga na wengi...
  5. Sa 7 mchana

    Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

    Habari zenu wakuu. Moja kwa moja naomba niende moja moja kwenye mada. Naomba kuuliza hivi wazungu nao hurogana katika small scale yani man to man? Diasporas naomba mtusaidie hili. Habari zao za Ushirikiana tunazozile kubwa kubwa kama Freemason, Blue Order nk. Maana kinachoonekana nikuwa...
  6. zagarinojo

    Tulikuwaga na ndoto za kuoa wazungu ila sasa basi Afrika tuna warembo...

    Hello wana MMU. Ujana bwana una mambo mengi mengine ya kitoto kabisa. Umeshawahi kusikia kuhusu Skin Surgery au Plastic Surgery? Wakati tunaingia ujanani wengine tulikuwa tunakebehi wadada wetu wa Afrika kuwa sio warembo na tulipokuwa tunaona Wazungu wajicream, na wamepiga make up tukajua hawa...
  7. Mshana Jr

    Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    naweka hii post hapa kama ahadi kwa mdau mmoja aliyefuatwa pm na picha za kutisha za mwanaume mwenzake aliye uchi huku kajibinua makalio akimuomba jamaa amshughulikie. Huyu ndugu siku yake iliharibika kabisa na akaona kama ni mkosi na nuksi kubwa kabisa kuombwa na mwanaume mwenzake amuingilie...
Back
Top Bottom