wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyendo

    Prof. James Small: Wazungu hawana ustarabu, wana utamaduni wa vita

    Wazungu hawana Ustarabu, wana utamaduni wa vita
  2. 6 Pack

    Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

    Niaje waungwana? Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza kuishi milele, bila kujua kwamba zama zinabadilika na akili za watawaliwa nazo pia zinabadilika. 1...
  3. Gol D Roger

    Waarabuni hutumia Islam to colonize countries kama vile wazungu walivotumia Ukristo

    Uislamu ni "Trojan-horse" wa ukoloni wa Kiarabu. Mwanzilishi wa dini hiyo alikuwa Mwarabu. Kitabu chao kitakatifu kiko katika lugha ya Kiarabu. Lugha unayopaswa kujifunza na kutumia katika sala nayo ni Kiarabu. Mwelekeo ambao unapaswa kuomba ni Uarabuni. (Ambao hata hivo hauko sahihi...
  4. UMUGHAKA

    Wabongo wengi hawafanikiwi Majuu kwasababu ya Tabia wanazotoka nazo Bongo wanadhani na wazungu wanatabia hizo

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni. Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka...
  5. olimpio

    Sakata la Ngorongoro ni kweli wazungu wana mapenzi ya dhati na Tanzania?

    Nimewaza sana baada ya kuona bunge la umoja wa nchi za ulaya umepiga kura kwa wingi kabisa kulaani serikali ya Tanzania kuwaondoa kwa hiari wamaasai Ngorongoro . Hamaki yangu kubwa ilisimamia hapa 1. Je, ni kweli wanatupenda sana hawa wazungu kuliko ndugu zao wanaoteseka huko Ukraine ? Nchi...
  6. Tajiri Tanzanite

    Afrika tutapata maendeleo endapo tutawapa wazungu nafasi ya Urais na Mawaziri

    Hapo vip!! Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli. Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za wazungu walikuwa wapo chini kimaendeleo kuliko hizi nchi zetu za Afrika mfano sirilanka,maleysia n.k...
  7. M

    Tujikumbushe vita vya pili vya dunia. Kumbe wazungu wanaweza kutwangana hivi?

    VITA VYA PILI VYA DUNIA. Wakati Ujerumani iliposhambulia Poland, nchi hiyo ilikuwa na mikataba ya kulindana na Uingereza na Ufaransa. Hivyo ilibidi Uingereza na Ufaransa zitangaze hali ya vita dhidi ya Ujerumani. Serikali za Australia, New Zealand, Nepal, Afrika Kusini na Kanada zilishikamana...
  8. kijanamtanashati

    Wazungu waja na Smart Toilet au Choo Janja

    Wazungu wameamua kutuletea smart toilet. Ukikaa ktk iki choo huna haja ya kujikamua ata kama nnya ikiwa ngumu mitambo inakukamua unastukia mzigo umeshashuka chini. Baada ya apo unasafishwa unapigwa msasa na kukaushwa maji. Amna tabu ya kuanza kushika maji au kujishika. Mambo yote yakiisha...
  9. hermanthegreat

    Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

    Kuna girl mmoja wa kizungu hapa, foreigner hajui hata Kiswahili, naona anaingia kwenye 18 zangu. Naombeni tips wakuu, vitu gani zaidi niepukane navyo ili nimnase mazima huyu mrembo. Natanguliza shukrani.
  10. Buyaka

    Picha: Wazungu washindwa kuchomoa ndege iliyotua majini. Sisi tulivuta kwa kamba maisha yakaendelea

    Dege la kivita limetua majini nchini Marekani toka Novemba 20, wiki mbili sasa. Ni baada ya rubani kupitiliza runway ya uwanja kama Precision ya Bukoba Sasa wanasema wanahitaji mamilioni ya dollar kuichomoa, na ukisoma hiyo article bado wanajadili njia muafaka ni ipi Sisi tulivuta kwa kamba...
  11. benzemah

    Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  12. kavulata

    Ujasiri huu wa Watanzania kwa wazungu umepotelea wapi?

    Henry Kissinger, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kaja Tanzania kupatana na Rais Nyerere kuhusu jambo. Alikutana na mabango mengi. Leo hii leo hii leo hii mzungu kutoka Marekani mwenye cheo hiki akija tena Tanzania ole wake atakaenyanyua bago, ujasiri wetu umeenda wapi?
  13. sky soldier

    Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

    Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika. Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi...
  14. MK254

    Mwanamke akamatwa kwa kutega bomu Poland, haya wazungu waanza kuvuna walichopanda

    Mwanamke akamatwa kwa kosa la kutega bomu kwenye nchi ya Poland. Bahati nzuri kule mifumo ya kiusalama iko imara sana, sio rahisi ufanikishe ugaidi. Wazungu waliachia hawa watu wajazane na kuzaliana huko kwao.... ==============================...
  15. matunduizi

    Kwa nini Wazungu hutumia Uislam kutengeneza magaidi badala ya dini nyingine?

    Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio. Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu. Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili...
  16. To yeye

    Hivi jamani tunawaamini wazungu kweli?

    Labda Tanzania ndiyo taifa teule?
  17. R

    Msimu wa mafua: Waafrika tunalaumu wazungu kuchelewesha maendeleo, tunashindwaje kugundua dawa ya mafua baada ya miaka 60 ya uhuru wa nchi zetu?

    Msimu wa mafua: Mafua ni ugonjwa wa tropics in most cases. Tunawalaumu wazungu kwa kila underdevelopment tuliyo nayo. Sasa ni miaka zaidi ya 60 tangu nchi nyingi za kiafrika zipate uhuru wake. Tunashindwaje kugundua dawa ya mafua ambayo yanasumbua sana wananchi wetu? =========== A cold is a...
  18. Bossprota

    Jinsi Wazungu Fake Wanavyo waliza Watanzania

    MATAPELI WANAOJIFANYA WAZUNGU Naeza toa Elimu kidogo kuhusu hizi mambo jinsi utakavyo lizwa na hawa wazungu wa Nigeria Kenya na UDSM &UDOM Wameingia sahivi😂😂😂😂 Hawa matapeli wanakuingiza chaka kimkakati saaana iko hivi: Kwanza jua unapotextiwa hautextiwi pekeako mpo wengi haswa limit ni 500...
  19. Wakili wa shetani

    Wazungu wanaziponda sana hizi nyumba. Kumbe ndiko tulikojifunza kujenga "mapiramidi!"

    Kuna hizi nyumba wazungu/Wamarekani wanazichamba balaa. Utacheka wakianza kuzichamba. Wanaziita Mcmansions(Poor man mansions). Ni zile nyumba kubwa, zina manjonjo mengi na zaidi paa linachukuwa sehemu kubwa ya nyumba. Nimegundua hizi nyumba zetu za kisasa ni viMcmasnions vidogo. Ujenzi wetu...
  20. KING MIDAS

    Kwanini wazungu wameshindwa kutokomeza kunguni Ulaya?

    Ukistaababu kunguni wa UDOM utayaona mazito ya barani Ulaya hasa Ufaransa ambako kunguni wametamalaki hadi ndani ya vyumba vya ikulu. Wazungu ndio wanajiona mababa wa sayansi. Waundaji na watengenezaji wa silaha hatari za kumwangamiza binadamu ndani ya sekunde moja tu. Lakini pamoja na umwamba...
Back
Top Bottom