Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.
Kwa muda Sasa toka nihamie kufanya kazi katika bank Moja hapa Kariakoo. Katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja akanialika kwenye party ya vikoba ili niwashauri namna ya kuweka pesa na kupata mikopo.
Sasa nilifika kwenye party Ile nikakuta waume wanne na wasichana umri wa Kati kama 50...
Kimsingi waafrika walikuwa wanawaona Wazungu kama watu wenye akili nyingi ma matajiri sana kuliko wao, lakini vita ya Ukraine imekanusha ujinga huu wa fikra hizi za inferiority/udhaifu dhidi ya Wazungu.
Mpango wa Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya ulipangwa na Marekani kupitia Uingereza...
Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili.
Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd Amini, sipendi kumwita Nduli ila tumuombe tu Mwenyezi Mungu aendelee kuipumzisha roho yake.
Idd Amini...
Kuna viongozi wa Afrika wakiongozwa na Ramaphosa wako Ukraine na Urusi kuwaambia waache kupigana, je, ni sawa kufanya hivyo? wataweza? au walipaswa kuanzia na Sudan, Somalia, DR Congo na Ethiopia kabla ya kwenda Ulaya?
Ni muda muafaka sasa kuachana na malipo ya Dola ya Marekani. By William Ruto.
Rais wa Kenya, William Ruto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa malipo wa...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.
Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
Sijui niseme ni ushamba wa rangi au vp, ila nikisema kwamba hii nchi kuna ubaguzi nako naweza kukaribia.
Kuna wazungu hapa wanafunzi wa waliotoka huko ulaya wamekuja kikazi hapa ofisini, wamefika jumatatu watakuwa hapa kwa wiki mbili. wawili wa kiume na wawili wa kike wapo kwenye rika la 21...
Ukiachana na wale watu maarufu, Ukifatilia kwa karibu maisha ya black American wengi sio ya kistaarabu, ni bora watu weusi wanaoenda kwa kufanya kazi kuliko wale waloizaliwa pale pale, wana mambo ya hovyo na yenye kuaibisha black community.
Nadhani wanatamani bora wangechukua latino.
Siwatetei Wakoloni, lakini, nafikiri kulikuwa na umuhimu wa wao kutawala baadhi ya nchi kwa kipindi hicho, hasa za Kiafrika, kama walivyofanya. Walinufaika na rasilimali za Afrika, lakini Waafrika nao hawakubaki kama walivyokuwa. Wamechangia mabadiliko chanya.
1. Walisadia kutokomeza baadhi ya...
Yaani Mswahili (Mtanzania) akiwa na maisha ya kimasikini/kifukara kama GENTAMYCINE siku akizibahatisha/akizipata tu ghafla utamuona anaanza kubadilika kitabia kwa kuanza kuwa na maringo (majipu), dharau, sanifu na unafki mwingi.
Sijawahi kwenda au kuishi Ulaya (Marekani) na sitarajii kwenda...
Sioni dalili yoyote ya ATCL kujiendesha kwa kwa faida na kushindana na makampuni mengine ukiwa itaendeshwa na Watz, Asilinia kubwa ya Waafrika hasa Wabongo wana weakness ya asili hata aende shule vipi! ndio maana shirika ili linaleta hasara kila mwaka. Napendekeza lifanyiwe overhaul na uongozi...
Katika history nyingi zinazo fichwa fichwa.
History ya watu weusi waliotokea Senegal na Mauritania ya Leo kutawala Sehemu ya Ulaya ilipo nchi ya Spain na Portugal na Ufaransa Leo hii, watu hao waliitwa Moors.
History yao ni ndefu sana, hapa nitakuwa najaribu Ku share kwa picha na maelezo...
Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu kupinga kinachofanywa na serikali na wasiuawe kwa kukukusudia.
Lakini kwenye nchi nyingi za Kiarabu na...
Mchoro wa mtu anayefanya udadavuzi wa fikira
Na Dkt. Ada LOVELACE, Pambazuko Toleo Na. 0031
1. Usuli
Maadili asilia ni kanuni za kuongoza tabia za watu zinazopatikana kutokana na kuangalia maumbile ya watu wenyewe yanataka wafanye nini kusudi waweze kubaki wazima na kustawi hadi ukomo wa juu...
Kwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea .........)
Sisi kama watu weusi cha kufanya sasa kuanzisha mpango kabambe wa kukopa watu kutoka...
Habari wadau.
Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.
Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.
Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.
Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka...
Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa za upinzani ni wale wasio na ufahamu wowote kuhusu maana halisi ya upinzani kwa Tanzania.
Lakini, wale wachache wanaoelewa huwa hawaingii kwenye misukosuko yoyote na watawala.
Watu wengi kwenye siasa za upinzani wanatumika pasipo wao kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.