Ningelipata nafasi ya urais,ningekaeibisha wazungu kuhamia nchini.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Binafsi huwa siiamini mentality ya mtu mweusi,iliyojaa uroho na ulafi mkali,namaanisha hata umuone mtu msomi kiasi gani na smart kiasi gani,ni lazima awe mwizi,mpiga deal mroho wa mali asiyetosheka,akili ya mtu mweusi haimtumi katika kuona basics nne za mwalimu nyerere,

Mtu mweusi na tabia zake za kutaka aonekane yeye ni zaidi ya wote,mtu mweusi ataiba mpaka atakwenda kununua nyumba ughaibuni na bado hatatosheka,atanunua maghorofa na maghorofa huko ughaibuni hii ndiyo akili ya mtu mweusi.

By nature culture za wenzetu weupe hazipo namna hiyo, akishakuwa na nyumba ndogo nzuri,gari dogo maisha ya uhakika kwa siku kwa siku, bima ya afya,uhakika wa maisha yauhakika ya uzeeni,inatosha,atatumia akiba yake kutalii afrika na duniani basi inatosha,

Akili za vichuguu za waafrika na uroho wa mali ni shida kwa bara hili, ona kabila wa DRC amekuwa rais kwa miaka 10, amechuma kweli,ni tajiri mkubwa lakini bado akili ya uroho inamtuma ya kwamba bado hajafaidi vizuri arudi tena,This is afrika!

Nimeshuhudi nchi nyingi zenye watu mixture wahindi Seychelles,south afrika Boers kidogo zinasogea na kunakuwepo na discipline japo walewale wallaniwa wanataka kuivuruga nchi yao iliyojengwa na Boers kwa miaka mingi,hizo ndizo akili za mtu mweusi,

Mtu mweusi by nature ni mission town hata umwone anasuit ya umaeidadi kiasi gani.

Aidha labda tuanze kuwaingiza wahindi ambao tunao hapa kwenye mamlaka hatua kwa hatua kidogo jamii hii huwa na discipline ya hali ya juu sana hasa katika (fedha+planing)

Sisi waswahili ni wezi kabisa nikiwepo mimi mwenyewe...

#Nitaendelea...
 
Wazungu wana mafisadi pia, wana wakwepa Kodi, mifumo katiba na sheria ndo zinawalazimisha kuridhika. Tofauti ya wao na sisi ni nyakati, hapa tulipo unakuta wao walishapita wakatinduana wakawekeana mifumo.
 
Wazungu hawa zaidi ni kuwapa mashamba/ huwa wapo seriuos sana.
Yes uzuri wa ngozi nyeupe wanaonekana kupenda sana mazingira. Ukiwapa maeneo watawekeza kwenye kutunza eneo. Wakati waswahili watakata miti ili wajenge magenge ya kuuzia visheti wao wanatumia gharama kuitunza.
 
Inshu ni nchi kuwa na katiba imara na sheria imara kila race ina ubinafsi.
Sheria zinaweza kusimamiwa na zikageuka Sharia,infact tunazo sheria nzuri sana shida ni kwamba,yupi safi wa kuzisimamia? Yupi safi? Utakuja kugundua hapa issue ni uzalendo,upenzi na uaminifu kwa taifa lako,
Huwa nacheka sana kusema labda heche anaipenda sana Tanzania,au lissu au lema,sisi waafrika ni watu wa ajabu sana hatutosheki na kuiba.
 
Hivi wazungu waliondoka wote Tanganyika? wahindi na waarabu wamejaa tele kila mkoa wapo!, Mbona sioni wazungu raia wa Tanzania kama tunavyoona wahindi na waarabu? Wakoloni wajerumani/waingereza waliondoka wote kurudi kwao?
 
Hivi wewe ni Minora au majora?Ulafi ni Silka ya Binadamu wala usifikiri wazungu sio walafi na wabinfsi.Kama unawapenda Wafuate huko kwao
 
Mambo waliyoyafanya wazungu sasa tuna uwezo wa kuyafanya wenyewe. Kwenye mpango mkakati mpya ninaopanga ku uroll out mwezi huu, ujulikanao kama 'rolling out the future', nimeishauri serikali kuuza akiba ya dhahabu za hadi trilioni tano kwa mwaka kwa miaka mitatu ijayo ili kutekeleza baadhi ya miradi ya maendeleo.
Pamoja na miradi mingine, nimependekeza kujenga majengo mapya ya utawala kwenye main campuses za vyuo vyote vikuu hapa nchini, kwa kutumia ramani ya jengo la wizara ya kilimo lililojengwa kwenye mji wa serikali Mtumba.
Vyuo vitakavyonufaika ni kama UDSM, SUA, Mzumbe, OUT, Muhimbili, Ardhi, MUST, Ushirika- Moshi, UDOM n.k. (Majengo yote ya utawala yajengwe na kampuni za kimataifa esp Wachina).
Nimependekeza pia chuo kikuu Zanzibar kupata mgao wa Tsh bilioni sitini (as proceed from gold sales), ili kutumia hadi bilioni 20 kujenga jengo jipya la utawala, kutumia hadi bilioni 20 kujenga mabweni mapya na kutumia hadi bilioni 20 kujenga lecture halls na tutorial rooms'.
Mpango huu ukipita, UDSM watalazimika kubomoa ile bar ya UDASA ili kupata eneo la kujenga jengo jipya la utawala, SUA watalazimika kubomoa uwanja wa basket na kujenga jengo jipya, Muhimbili na Ardhi watalazimika kubomoa baadhi ya majengo ya kizamani ili kupisha ujenzi wa majengo ya utawala, OUT watalazimika kununua uwanja wa mpira wa Biafra (kwa gharama yeyote) ili kujenga jengo jipya la utawala.
Mzumbe watalazimika kujenga jengo karibu na bara bara ya Changarawe- Mlali, mahali ambako pia majengo ya chuo kipya cha Mzumbe yatajengwa.
Chuo cha Ushirika Moshi pia kipo kwenye mpango wa muda mrefu wa kujengwa upya, hivyo jengo la utawala lisijengwe karibu sana na majengo ya sasa ambayo siku za usoni yanaweza kugeuzwa kuwa majengo ya shule ya sekondari baada ya ujenzi wa chuo kipya kukamilika.
MUST wao wana eneo la kutosha pale mbele hivyo sidhani kama watalazimika kubomoa baadhi ya majengo. UDOM pia wana eneo la kutosha.
images (2).jpeg
 
Hivi wazungu waliondoka wote Tanganyika? wahindi na waarabu wamejaa tele kila mkoa wapo!, Mbona sioni wazungu raia wa Tanzania kama tunavyoona wahindi na waarabu? Wakoloni wajerumani/waingereza waliondoka wote kurudi kwao?
Hoja yako ni nzuri sana,hakika suala hili linafikirisha sana, wazungu wakaondoka wakabakia hawa wabinafsi,wachoyo,je nini kilitokea hapa?
Tunaweza kujifunza kwa mzungu aliyebakia mmoja ambaye alikuwa kinondoni na aliweza kuifanya iwe very superio,sijui aliitwa Bryson jina limenitoka!
1000023057.jpg
 
Tatizo tunadhani sisis tukika wenyewe kama Wanatumbi tunatoboa....... hapana!!!

Angalia Dar watu walivyochanyangika na maendeleo yaliyopo leo... Wakwere, Wazaramo wamakimbizwa na kufundishwa akili ya maendeleo!

Angalia Wachaga walivyoamsha makabila mengine hapa Tanzania!

Angalia Mauritius...30% ya watu ni Wahindi, 20% Wazungu, 20% Wachina na kama 30% hivi ni Waafrika... leo wako mbali wameendlea ile mbaya!

Angalia Malaysia 30% Wachina na 60% Malay.. na wako mbali sana!

Haya mawazo ya kukaa wenyewe sisi kama Wamatumbi yamepitwa na muda... tuamke turuhusu pia race zingine!
 
Binafsi huwa siiamini mentality ya mtu mweusi,iliyojaa uroho na ulafi mkali,namaanisha hata umuone mtu msomi kiasi gani na smart kiasi gani,ni lazima awe mwizi,mpiga deal mroho wa mali asiyetosheka,akili ya mtu mweusi haimtumi katika kuona basics nne za mwalimu nyerere,

Mtu mweusi na tabia zake za kutaka aonekane yeye ni zaidi ya wote,mtu mweusi ataiba mpaka atakwenda kununua nyumba ughaibuni na bado hatatosheka,atanunua maghorofa na maghorofa huko ughaibuni hii ndiyo akili ya mtu mweusi.

By nature culture za wenzetu weupe hazipo namna hiyo, akishakuwa na nyumba ndogo nzuri,gari dogo maisha ya uhakika kwa siku kwa siku, bima ya afya,uhakika wa maisha yauhakika ya uzeeni,inatosha,atatumia akiba yake kutalii afrika na duniani basi inatosha,

Akili za vichuguu za waafrika na uroho wa mali ni shida kwa bara hili, ona kabila wa DRC amekuwa rais kwa miaka 10, amechuma kweli,ni tajiri mkubwa lakini bado akili ya uroho inamtuma ya kwamba bado hajafaidi vizuri arudi tena,This is afrika!

Nimeshuhudi nchi nyingi zenye watu mixture wahindi Seychelles,south afrika Boers kidogo zinasogea na kunakuwepo na discipline japo walewale wallaniwa wanataka kuivuruga nchi yao iliyojengwa na Boers kwa miaka mingi,hizo ndizo akili za mtu mweusi,

Mtu mweusi by nature ni mission town hata umwone anasuit ya umaeidadi kiasi gani.

Aidha labda tuanze kuwaingiza wahindi ambao tunao hapa kwenye mamlaka hatua kwa hatua kidogo jamii hii huwa na discipline ya hali ya juu sana hasa katika (fedha+planing)

Sisi waswahili ni wezi kabisa nikiwepo mimi mwenyewe...

#Nitaendelea...
Tuungane kwanza kukiondoa chama chako cha mapinduzi ndiyo tuwakaribishe hao wazungu unaowataka. Bila ya kuiondoa ccm madarakani haya yote uliyo yaandika hayatekelezeki. (Maelezo yangu hayahusi nchi nchi nyingine kama ulivyo iongelea DRC)
 
Punguza kuangalia MOVIE.

Nenda shule.
 
Tuungane kwanza kukiondoa chama chako cha mapinduzi ndiyo tuwakaribishe hao wazungu unaowataka. Bila ya kuiondoa ccm madarakani haya yote uliyo yaandika hayatekelezeki. (Maelezo yangu hayahusi nchi nchi nyingine kama ulivyo iongelea DRC)
CCM = CCCP
Nimemaliza!...
Wachina watakapo weza kuiondoa CCCP basi na ccm itaweza kuondoka.
 
Ukiiangalia kwa jicho la karibu utagundua CCP (Chinese Communist Party) malengo na maono yake ni tofauti kabisa na yale ya ccm.

Wenzenu wametanguliza maslahi ya nchi yao mbele (uzalendo kwa nchi yao)! Nyinyi ccm maslahi yenu ya kwanza ni chama chenu (kukilinda kwa gharama yoyote ile), matumbo yenu na familia zenu!

Mngetanguliza maslahi ya nchi mbele msingepingwa na tabaka la chini na lile la kati kwenye jamii.
 
Sikubishii mkuu,ndiyo nimesema kila mtu kichwani ni akili ya wizi, sasa shida ni who shall fit the post?,mzalendo halisi,labda wewe utaniambia lissu,but kwa upande wangu namwoma lissu ni uendelezo tu wa wizi ule ule,shida ni kwamba,chochote kile ukionacho kina weza kubadilika, TRUST NO BODY!.(TUMESHINDWA KWENYE UZALENDO WA KWELI) YOU CAN PREACH AS A SAINT,BUT YOUR ARE A DEVILS AT A HIGHEST!
 
Tungekuwa tunajitambua tungeachana na hii mihemko ya kisiasa, kidini, kikabila, nk. Badala yake tungeongea lugha moja tu ya kujenga misingi na mifumo imara ya Taifa kupitia Katiba na uanzishwaji wa sheria mbalimbali.

Bahati mbaya sana hatuaminiani! Hivyo tutaendelea kuuana, kufungana, kuchukiana, kubaguana, kutengana, nk kwa manufaa ya wachache. Wenzetu Wachina, Wazungu mfano Wamarekani; uzalendo kwa nchi yao ndiyo kipaumbele.
 
Mleta mada pole, naona wengi wanasema kuwa kila race ina ubinafsi na uroho, wasamehe tu. Hapo ndio uzidi kujua sisi hadi kiakili tumedumaa saaana.

Kila asomaye post yako hii, atakubaliana na wewe kwa 100%.
 
Back
Top Bottom