Simba kukutana na Orlando Pirates, Yanga kukutana na Waarabu

Simba kukutana na Orlando Pirates, Yanga kukutana na Waarabu

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Screenshot_20261028_152358_YouTube.jpg


Wazee Yanga ana kibalua
 
Mnavyojipa moyo, kama unaufuatilia mpira,kwenye michuoni hii ya CAF championship na Confederation, mwenye hafadhali Singida. Yaani wewe na beki yako ya Kibabage/Chilambo na middle zako hizo Chama na Kagoma ukawasumbue Berkane na Orlando tupo hapa na uzuri JF inatunza risiti. Azam,Yanga,Msimbazi labda tutegemee bahati,ila kiuwezo sizani.
 
Nasubiri wanaojita wanakwenda kufyeka kichaka cha ranking,
Calculator zitaanzwa kuuzwa tena kwa wingi.
 
Back
Top Bottom