Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
- Thread starter
- #21
Mpira una maajabu mengi brother... tunza hii kumbukumbuMnavyojipa moyo, kama unaufuatilia mpira,kwenye michuoni hii ya CAF championship na Confederation, mwenye hafadhali Singida. Yaani wewe na beki yako ya Kibabage/Chilambo na middle zako hizo Chama na Kagoma ukawasumbue Berkane na Orlando tupo hapa na uzuri JF inatunza risiti. Azam,Yanga,Msimbazi labda tutegemee bahati,ila kiuwezo sizani.