Kwanini vyama vya upinzani havishindi, na hata vikishinda havishindi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Vyama vya siasa vya Ulaya na Marekani vinapokezana kuongoza nchi zao sio kwa bahati mbaya tu, bali kuna mambo ya msingi ya nchi vimekubali yabaki kuwa hivyo yalivyo kama yalivyoamuliwa huko nyuma na watangulizi wao.

Mfano, Pale UIngereza vyama vyote lazima visiiguse familia ya kifalme, ubepari ndio mfumo wao, Anglican ndiyo dini yao, muungano lazima udumishwe na kiingereza ndiyo lugha yao. Vyama vyote hakuna chenye sera wala msimamo wa kupingana na hayo yaliyoamuliwa na historia yao. Kwahiyo wanachoshindana ni sera zao kwenye mambo mengine lakini sio katika yale ya msingi.

Tanzania na Zanzibar mambo yetu ni tofauti kabisa. Vyama vya upinzani vinabeza kila kitu kilichofanywa huko nyuma na kila kilichofanywa na CCM chama kilicholeta uhuru, tabu yao inaanzia hapo.

Vyama vya upinzani vya juzi tu vinaubeza Muungano, mfumo wa ujamaa na kujitegemea, na Katiba. Yaani hofu ni kubwa kama upinzani utaingia madarakani leo huenda muungano utavunjika na huenda tukaachana na marafiki zetu wajamaa na huenda udini ukarudi Zanzibar, na kila kilichotaifishwa kikarudishwa kwa wazungu na waarabu, nk.

Matamshi na vitendo vya vyama vya upinzani havisapoti historia yetu na kilichofanywa na chama cha ukombozi. Makanisa yanatamani kuwarudisha marafiki zao (wakoloni) wakidhani walionewa kufukuzwa na kutaifishwa mali zao, na misikiti inadhani waarabu ndio watu sahihi wengine ni makafiri.

Chama cha CCM na mfumo mzima wa ulinzi wa taifa hawaviamini vyama vya upinzani na vyama vya upinzani haviaminiki kwa baadhi ya raia. Hali hii ndiyo inayosababisha vyama vya siasa vyetu vikishinda ni kama vimeshindwa na vikishinda ni kama vimeshindwa tu.

Kama vikitaka urahisi wa kuapishwa lazima vyama vyetu vikubali kwamba
1. Muungano huu ndivyo ulivyo, wakubaliane nao na washindane namna ya kuuimarisha tu kama ulivyo.
2. Wakubali Tanganyika hairudi tena, na walioifuta walikuwa na akili pia.
3. Wakubali tu kuwa Tanzania haina dini ila watu wana dini zao
4. Wakubali tu kuwa siasa yetu ni ujamaa na kujitegemea.

Wahubiri na waonekane wakihubiri hivyo, inshallah Ikulu watafika, kinyume cha hapo, kila siku watafanya miafaka juu ya miafaka lakini Ikulu hawaendi. CCM haiwezi kukubali kazi yooooote waliyofanya iwe kazi bure kipumbavu tu na kilevi.
 
Katiba ya Tanzania ni ya mfumo wa chama kimoja
Sio kweli Katiba hiihii ina uwezo wa kuwafanya wapinzani washinde ubunge, udiwani na umeya, ispokuwa urais tu baasi. Ni urais tu ambao tume na mfumo hairuhusu wapinzani washinde/waapishwe kutokana na wasiwasi/hatari ya kuivuruga nchi na wananchi na Taifa.

Kama wapinzani hawataachana na kejeli dhidi ya watangulizi wa Taifa hili na mambo waliyoyafanya kwa jasho jingi na damu nyingi na kuona kama vile hakuna kitu chochote walichokifanya tangu kudai uhuru na kuupata hadi sasa basi safari yao ya Ikulu itakuwa ndefu sana na ngumu sana. Hakuna atakaevumilia kejeli za hivyo; the survival of the fittest itawachelewesha.
 
Tanzania na Zanzibar mambo yetu ni tofauti kabisa. Vyama vya upinzani vinabeza kila kitu kilichofanywa huko nyuma na kilichofanywa na CCM, tabu yao inaanzia hapo.

Vyama vya upinzani vya juzi tu vinaubeza Muungano, mfumo wa ujamaa na kujitegemea, Katiba. Yaani hofu ni kubwa kama upinzani utaingia madarakani leo huenda muungano utavunjika na huenda tukaachana na marafiki zetu wajamaa na huenda udini ukarudi Zanzibar, nk.

Matamshi na vitendo vya vyama vya upinzani havisapoti historia yetu na kilichofanywa na chama cha ukombozi. Makanisa yanatamani kuwarudisha marafiki zao (wakoloni) wakidhani walionewa kufukuzwa na kutaifishwa na misikiti inadhani waarabu ndio watu sahihi wengini ni makafiri.

Chama cha CCM na mfumo mzima wa ulinzi wa taifa hawaviamini vyama vya upinzani na vyama vya upinzani gaviaminiki kwa baadhi ya raia. Hali hii ndiyo inayosababisha vyama vya siasa vyetu vikishindwa ni kama vimeshindwa na vikishinda ni kama vimeshindwa tu.

Kama vikitaka urahisi wa kuapishwa lazima vyama vyetu vikubali kwamba
1. Muungano huu ndivyo ulivyo, wakuliane nao na washindane kuuimarisha tu kama ulivyo.
2. Wakubali Tanganyika hairudi tena
3. Wakubali tu kuwa Tanzania haina dini
4. Wakubali tu kuwa siasa yetu ni ujamaa na kujitegemea.

Wahubiri na waonekane wakihubiri hivyo, inshallah Ikulu watafika, kinyume cha hapo, kila siku watafanya miafaka juu ya miafaka lakini Ikulu hawaendi.
In fact,
pamoja na ukweli mtupu ulioueleza kwenye bandiko lote mahususi mezani,

nadhani ubinafsi, uchu wa vyeo na madaraka, chuki na uhasama, lakini pia kukosa agenda mahususi na migawanyiko miongoni mwa vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, vinawasukuma mbali zaidi na Ikulu ya Tanzania, na kuondoa kabisa uwezekano wao wa kushinda uchaguzi na kukamata, bila wao wenyewe kujua.

By the way,
without a united and vibrant oppositions in Tanzanian politics, CCM will probably prevail into power, maybe until the end of the world 🐒
 
Vyama vya siasa vya Ulaya na Marekani vinapokezana kuongoza nchi zao sio kwa bahati mbaya tu, bali kuna mambo ya msingi ya nchi vimekubali yabaki kuwa hivyo yalivyo kama yalivyoamuliwa huko nyuma na watangulizi wao.

Mfano, Pale UIngereza vyama vyote lazima visiiguse familia ya kifalme, ubepari ndio mfumo wao, Anglican ndiyo dini yao, muungano lazima udumishwe na kiingereza ndiyo lugha yao. Vyama vyote hakuna chenye sera wala msimamo wa kupingana na hayo yaliyoamuliwa na historia yao. Kwahiyo wanachoshindana ni sera zao kwenye mambo mengine lakini sio katika yale ya msingi.

Tanzania na Zanzibar mambo yetu ni tofauti kabisa. Vyama vya upinzani vinabeza kila kitu kilichofanywa huko nyuma na kila kilichofanywa na CCM chama kilicholeta uhuru, tabu yao inaanzia hapo.

Vyama vya upinzani vya juzi tu vinaubeza Muungano, mfumo wa ujamaa na kujitegemea, na Katiba. Yaani hofu ni kubwa kama upinzani utaingia madarakani leo huenda muungano utavunjika na huenda tukaachana na marafiki zetu wajamaa na huenda udini ukarudi Zanzibar, na kila kilichotaifishwa kikarudishwa kwa wazungu na waarabu, nk.

Matamshi na vitendo vya vyama vya upinzani havisapoti historia yetu na kilichofanywa na chama cha ukombozi. Makanisa yanatamani kuwarudisha marafiki zao (wakoloni) wakidhani walionewa kufukuzwa na kutaifishwa mali zao, na misikiti inadhani waarabu ndio watu sahihi wengine ni makafiri.

Chama cha CCM na mfumo mzima wa ulinzi wa taifa hawaviamini vyama vya upinzani na vyama vya upinzani haviaminiki kwa baadhi ya raia. Hali hii ndiyo inayosababisha vyama vya siasa vyetu vikishinda ni kama vimeshindwa na vikishinda ni kama vimeshindwa tu.

Kama vikitaka urahisi wa kuapishwa lazima vyama vyetu vikubali kwamba
1. Muungano huu ndivyo ulivyo, wakubaliane nao na washindane namna ya kuuimarisha tu kama ulivyo.
2. Wakubali Tanganyika hairudi tena, na walioifuta walikuwa na akili pia.
3. Wakubali tu kuwa Tanzania haina dini ila watu wana dini zao
4. Wakubali tu kuwa siasa yetu ni ujamaa na kujitegemea.

Wahubiri na waonekane wakihubiri hivyo, inshallah Ikulu watafika, kinyume cha hapo, kila siku watafanya miafaka juu ya miafaka lakini Ikulu hawaendi. CCM haiwezi kukubali kazi yooooote waliyofanya iwe kazi bure kipumbavu tu na kilevi.
 
Attachments

  • 6405238-eae1ceee959bf6fd97d9fb2eab102cc4.mp4
    9.2 MB
Sio kweli Katiba hiihii ina uwezo wa kuwafanya wapinzani washinde ubunge, udiwani na umeya, ispokuwa urais tu baasi. Ni urais tu ambao tume na mfumo hairuhusu wapinzani washinde/waapishwe kutokana na wasiwasi/hatari ya kuivuruga nchi na wananchi na Taifa.

Kama wapinzani hawataachana na kejeli dhidi ya watangulizi wa Taifa hili na mambo waliyoyafanya kwa jasho jingi na damu nyingi na kuona kama vile hakuna kitu chochote walichokifanya tangu kudai uhuru na kuupata hadi sasa basi safari yao ya Ikulu itakuwa ndefu sana na ngumu sana. Hakuna atakaevumilia kejeli za hivyo; the survival of the fittest itawachelewesha.

Mpinzani anashinda ubunge kwa hisani nyie zama hizi sio za Siasa za janja janja chama cha upinzani kina msomi Mwenyekiti ambae shule yake na ufaulu wake hauna mashaka lazima lazima CCM kuacha siasa za kitapeli na kujikiti kuleta Maendeleo ya wananchi kupinga ufisadi na rushwa na Utekaji kukubali kukosolewa na kufanyia marekebisho wapinzani wanayopigia kelele tofauti hapa bila Dola nchi inaenda upinzani mapema ndo maana CCM kimebaki kua chama dola
 
Tabia za vyama vya upinzani ndizo zinazosababisha Rais aliyeko madarakani atumie nguvu zake kupush mambo yaende hata ikibidi kwa kuwakanyaka vidole wapinzani. Hasa pale chama cha upinzani kinapopinga, kuzuia na kukejeli kila kitu anachokifanya na anachotakakufanya Rais na serikali yake, tena Rais ambae anatafuta kuchaguliwa tena kwa miaka 5 mimgine. Ili kupata utulivu wa kuwahudumia wananchi anamuua kuwaengua wagombea woooooote wa upinzani ambao kazi yao ni kukosoa tu bila kuonyesha namna nzuri ya kuliendea jambo.

Mnamsikia mgombea kwenye kampeni anasema Muungano haufai, katiba haifai, tunataka tanganyika, sijui wale ni makafiri, afadhali ya mkoloni, nk. Hivi nani ataacha lofa kama huyo aapishwe kwenda Ikulu?. Hata marekani pale kuna vitu ambavyo havina mjadala kwa chama chochote na mgombea yeyote hata kama kuna watu wana manung'uniko navyo. Pale marekani kuna majimbo yana manung'uniko yao ya kiuchumi, kiutawala na hata kiuchaguzi unavyoendeshwa lakini hakuna mgombea wala chama atayatamka na akaachwa atamke.

Pale uingereza kuna watu wanaohoji ukoo wa kifalme katika zama hizi, au dini ya Anglikana au muungano, lakini ni marufuku kusema kama unataka kwenda ofisi namba 10 pale ukawe Prime Minister.

Wapumbavu wetu hapa eti Tanzania haina miiko, wakiingia Ikulu wao wanakwenda kusambaratisha kila kitu ndani ya siku 100 za kuapishwa. Watafuta Muungano wa aina hii, wataleta Tanganyika, watafuta mbio za mwenye, watafuta kila kitu. Vyama kama hivyo haviwezi kubadilishana Ikulu na CCM, nchi itayumba sana na kusambaratika, maana CCM ikiingia itafuta vya chadema, chadema ikiingia itafuta vya ACT na CCM, taifa litaparaganyika. Dawa yake ni kuwafungia nje milele kwa nguvu zote kama China na urusi, na uganda, NKorea, na rwanda, na Msumbiji na Afrika Kusini na Zimbabwe, nk walivyowafungia nje maana inawezekana kuwafungia nje.

Vyama vya upinzani kuna madai ambayo lazima waachane nayo ili vyama vishindane tu kwenye yale mambo ya kuwaletea wananchi maendeleo. Sioni namna kukosekana kwa tanganyika kunavyowakosesha wananchi maji safi ya kunywa. Siona namna Muungano wa serikali mbili unavyoweza kuwakosesha mikopo wanafunzi vya vyuo na kushindwa kuwaleta wawekezaji. Ni madai ya hovyohovyo lakini yenye madhara kwao.
 
Sio kweli Katiba hiihii ina uwezo wa kuwafanya wapinzani washinde ubunge, udiwani na umeya, ispokuwa urais tu baasi. Ni urais tu ambao tume na mfumo hairuhusu wapinzani washinde/waapishwe kutokana na wasiwasi/hatari ya kuivuruga nchi na wananchi na Taifa.

Kama wapinzani hawataachana na kejeli dhidi ya watangulizi wa Taifa hili na mambo waliyoyafanya kwa jasho jingi na damu nyingi na kuona kama vile hakuna kitu chochote walichokifanya tangu kudai uhuru na kuupata hadi sasa basi safari yao ya Ikulu itakuwa ndefu sana na ngumu sana. Hakuna atakaevumilia kejeli za hivyo; the survival of the fittest itawachelewesha.
Utakuwa ni ujinga wa hali ya juu uingie madarakani, kisha ubakize udhaifu wa aliyetangulia. Yale yote yenye tija yatabaki na hata kuboreshwa, na yote yasiyo na tija yataondolewa, bila kujali ccm ilayaamini kwa kiwango gani.

Kama mliweka mazindiko yasiyo na tija kwenye nchi hii, hilo mjue itafikia mwisho, penda msipende. Mkiwa nje ya madaraka mtapewa nafasi ya kusema hayo mliyokuwa mnaona ni ya maana, umaana wake ni upi kwa hoja. Nchi itafuata siasa ya aina gani, itakuwa ni maamuzi ya wananchi kwa wakati huo, na sio mawazo na matakwa ya ccm.

Kuhusu katiba kuruhusu wapinzani kushinda, udiwani, ubunge nk, kasoro urais, hili jiandaeni kisaikolojia kuwa haitawezekana maana wakati ni ukuta. Kama mlifungiana kwenye chumba mkalishana huo ujinga basi mjue nao umefikia mwisho kwani wakati ukuta. kuhusu vitu kurudishwa kwa walioporwa, kuna sera ya ubinafshaji, kama mwekezaji akija na tija atapewa, hakuna atakayefanya kazi ya kulinda matakwa ya ccm.
 
Vyama vya siasa vya Ulaya na Marekani vinapokezana kuongoza nchi zao sio kwa bahati mbaya tu, bali kuna mambo ya msingi ya nchi vimekubali yabaki kuwa hivyo yalivyo kama yalivyoamuliwa huko nyuma na watangulizi wao.

Mfano, Pale UIngereza vyama vyote lazima visiiguse familia ya kifalme, ubepari ndio mfumo wao, Anglican ndiyo dini yao, muungano lazima udumishwe na kiingereza ndiyo lugha yao. Vyama vyote hakuna chenye sera wala msimamo wa kupingana na hayo yaliyoamuliwa na historia yao. Kwahiyo wanachoshindana ni sera zao kwenye mambo mengine lakini sio katika yale ya msingi.

Tanzania na Zanzibar mambo yetu ni tofauti kabisa. Vyama vya upinzani vinabeza kila kitu kilichofanywa huko nyuma na kila kilichofanywa na CCM chama kilicholeta uhuru, tabu yao inaanzia hapo.

Vyama vya upinzani vya juzi tu vinaubeza Muungano, mfumo wa ujamaa na kujitegemea, na Katiba. Yaani hofu ni kubwa kama upinzani utaingia madarakani leo huenda muungano utavunjika na huenda tukaachana na marafiki zetu wajamaa na huenda udini ukarudi Zanzibar, na kila kilichotaifishwa kikarudishwa kwa wazungu na waarabu, nk.

Matamshi na vitendo vya vyama vya upinzani havisapoti historia yetu na kilichofanywa na chama cha ukombozi. Makanisa yanatamani kuwarudisha marafiki zao (wakoloni) wakidhani walionewa kufukuzwa na kutaifishwa mali zao, na misikiti inadhani waarabu ndio watu sahihi wengine ni makafiri.

Chama cha CCM na mfumo mzima wa ulinzi wa taifa hawaviamini vyama vya upinzani na vyama vya upinzani haviaminiki kwa baadhi ya raia. Hali hii ndiyo inayosababisha vyama vya siasa vyetu vikishinda ni kama vimeshindwa na vikishinda ni kama vimeshindwa tu.

Kama vikitaka urahisi wa kuapishwa lazima vyama vyetu vikubali kwamba
1. Muungano huu ndivyo ulivyo, wakubaliane nao na washindane namna ya kuuimarisha tu kama ulivyo.
2. Wakubali Tanganyika hairudi tena, na walioifuta walikuwa na akili pia.
3. Wakubali tu kuwa Tanzania haina dini ila watu wana dini zao
4. Wakubali tu kuwa siasa yetu ni ujamaa na kujitegemea.

Wahubiri na waonekane wakihubiri hivyo, inshallah Ikulu watafika, kinyume cha hapo, kila siku watafanya miafaka juu ya miafaka lakini Ikulu hawaendi. CCM haiwezi kukubali kazi yooooote waliyofanya iwe kazi bure kipumbavu tu na kilevi.
 
Attachments

  • 6ca194063178c0ee498d20b8e26dedee.mp4
    366.4 KB
Utakuwa ni ujinga wa hali ya juu uingie madarakani, kisha ubakize udhaifu wa aliyetangulia. Yale yote yenye tija yatabaki na hata kuboreshwa, na yote yasiyo na tija yataondolewa, bila kujali ccm ilayaamini kwa kiwango gani.

Kama mliweka mazindiko yasiyo na tija kwenye nchi hii, hilo mjue itafikia mwisho, penda msipende. Mkiwa nje ya madaraka mtapewa nafasi ya kusema hayo mliyokuwa mnaona ni ya maana, umaana wake ni upi kwa hoja. Nchi itafuata siasa ya aina gani, itakuwa ni maamuzi ya wananchi kwa wakati huo, na sio mawazo na matakwa ya ccm.

Kuhusu katiba kuruhusu wapinzani kushinda, udiwani, ubunge nk, kasoro urais, hili jiandaeni kisaikolojia kuwa haitawezekana maana wakati ni ukuta. Kama mlifungiana kwenye chumba mkalishana huo ujinga basi mjue nao umefikia mwisho kwani wakati ukuta. kuhusu vitu kurudishwa kwa walioporwa, kuna sera ya ubinafshaji, kama mwekezaji akija na tija atapewa, hakuna atakayefanya kazi ya kulinda matakwa ya ccm.
Daa hakuna taifa la aina hiyo duniani, na ndiyo maana vyama vya upinzani havitakanyaga Ikulu hakika nakwambia. Hata kule nchi za Magharibi kuna watu wanachukia ubepari, lakini hakuna mgombea atathubutu kusema mimi nikichaguliwa Uingereza hii itakuwa nchi ya kijamaa ili kuwe na usawa kwenye elimu, matibabu nk kwa watu wote, hatakanyaga Ikulu huyo.

Wewe unadhani kule China hakuna watu wanaouchukia ujamaa ule? Wapo lakini hawafurukuti milele na milele.
 
Hilo sasa ni tangazo la kifo kwa kila atakaeshiriki haramu hayo. Yaani hakuna mtu atakuruhusu wewe ukavunje muungano, ukafarakanishe wananchi, ukavuruge kila kitu cha nchi hii. Kama huamini hilo jaribuni ili mhakikishe.

Dawa pekee ni nyie kukubali kuwa akina Nyerere walifanya kwaajili yetu, kitu pekee cha kubishania ni kuondoa ufisadi, rushwa, upendeleo na sera mbovu zinazochelewesha maendeleo, lakini sio kubadili wimbo wa taifa, bendera, muungano, kuuvunja muungano na itikadi yetu ya kutofaungamana na upande wowote. Nakuhakikishia hakuna atakaeruhusiwa kufanya hayo katika kizazi chetu hiki cha mimi na wewe.
 
Mpinzani anashinda ubunge kwa hisani nyie zama hizi sio za Siasa za janja janja chama cha upinzani kina msomi Mwenyekiti ambae shule yake na ufaulu wake hauna mashaka lazima lazima CCM kuacha siasa za kitapeli na kujikiti kuleta Maendeleo ya wananchi kupinga ufisadi na rushwa na Utekaji kukubali kukosolewa na kufanyia marekebisho wapinzani wanayopigia kelele tofauti hapa bila Dola nchi inaenda upinzani mapema ndo maana CCM kimebaki kua chama dola
Ubunge hauna shida, lakini sio ule ubunge wa kupinga kila kitu na kukosoa kila kitu hadi inakuwa kero.
 
Daa hakuna taifa la aina hiyo duniani, na ndiyo maana vyama vya upinzani havitakanyaga Ikulu hakika nakwambia. Hata kule nchi za Magharibi kuna watu wanachukia ubepari, lakini hakuna mgombea atathubutu kusema mimi nikichaguliwa Uingereza hii itakuwa nchi ya kijamaa ili kuwe na usawa kwenye elimu, matibabu nk kwa watu wote, hatakanyaga Ikulu huyo.

Wewe unadhani kule China hakuna watu wanaouchukia ujamaa ule? Wapo lakini hawafurukuti milele na milele.
Nilikuambia toka siku ile kwenye ule uzi wako wa kizee ww huna ujualo zaidi ya mawazo mgando. Katazame nchi nyingi za ulaya mashariki baada ya siasa za ujamaa kuanguaka ziliingia kwenye siasa zipi, na ni kwa kiwango gani mambo yalibadilika. Mfano mrahisi ni ujerumani ya mashariki baada ya kuvunjwa kwa ukuta wa Berlin, kama walibaki na hizo siasa zao za kijamaa. Mabadiliko yakifika yamefika, huo upuuzi wa ccm nao utafikia mwisho, na mwisho wala hauko mbali.
 
Hujui kitu kubali tu.

Hicho unachokisema hakikuletwa na vyama vya upinzani, kwanza hakukuwa na vyama vya upinzani. hayo mabadiliko ya uelekeo unayosema yaliletwa na kuanguka kwa Soviet union na nchi zilizosambaratika kutoka soviet zikatekwa na nchi za Magharibi kwasababu mbalimbali.

Si unaiona ile Kenya? Jaramogi Odinga Odinga na mwanawe Raila Jaramogi Odinga walikuwa wajamaa. Walifurukutaweeeeeee miaka yote kutaka kwenda Ikulu, lakini hawakukanyaga Ikulu hadi wote walipoamua kujifia zao.

Tanzania hii mtu mwenye mawazo ya kibepari atafurukutaweeeee kutaka kwenda Ikulu, lakini hatakwenda hadi pale atakapoamua yeye mwenyewe kujifia. Walijaribu wengi kama akina kambona na wengine wengi.

Dawa pekee ni kuikubali historia yetu, hata kule Ulaya magharibi vyama vyenye mrengo mkali sana wa kulia (uzawa) na mrengo mkali sana wa kushoto (ujamaa) haviundi serikali hata vikishinda. Hii miiko iko kila nchi.
 
Na kilichoangusha hizo nchi za ulaya mashariki ni pamoja na kuzuia demekrasia ya vyama vingi. Nguvu kubwa ya kuangusha nchi hizo ni za wale waliokuwa na mawazo kinzani dhidi ya serekali. Hao waliokuwa na ukinzani na serekali, ni walionyimwa kuwa na vyama vya upinzani.

Huyo Jaramogi na mtoto wake wao walikuwa wajamaa ama wajaluo? Usichanganye ujamaa na ukabila, inaonekana akili yako kila mpinzani hapa afrika ni mwenye mtazamo wa kibepari. Toka huko ndani ya box.

Achana na mifano ya ulaya ww maana huna ujualo huko, akili yako ww ni ya siasa za kijamaa na ukale. Huko ulaya unatia aibu tu ukipataja.
 
Ujinga wa CCM unashangaza sana, karne hii wanaficha kichwa kwenye mchanga halafu mwili wote uko nje wakidhani hawaonekani, inatafakarisha uteuzi na unaitwa uchaguzi siku hizi.

Na kilichoangusha hizo nchi za ulaya mashariki ni pamoja na kuzuia demekrasia ya vyama vingi. Nguvu kubwa ya kuangusha nchi hizo ni za wale waliokuwa na mawazo kinzani dhidi ya serekali. Hao waliokuwa na ukinzani na serekali, ni walionyimwa kuwa na vyama vya upinzani.

Huyo Jaramogi na mtoto wake wao walikuwa wajamaa ama wajaluo? Usichanganye ujamaa na ukabila, inaonekana akili yako kila mpinzani hapa afrika ni mwenye mtazamo wa kibepari. Toka huko ndani ya box.

Achana na mifano ya ulaya ww maana huna ujualo huko, akili yako ww ni ya siasa za kijamaa na ukale. Huko ulaya unatia aibu tu ukipataja.
una siasa za kusubiri maelekezo, hujui mbio za akina Raila unapuyanga mkumbo. Hujui Raila alikuwa na passport ya Tanzania. Sio size yangu, baki tu kimya ujifunze kwa wengine.
 
Hoja yako ni ipi hapa, passport ya Raila ama?
 
Back
Top Bottom