Kwanini vyama vya upinzani havishindi, na hata vikishinda havishindi?

Kwanini vyama vya upinzani havishindi, na hata vikishinda havishindi?

Hata hujui kitu aloo. Sera za KANU na waliokiangusha zilikuwa zinafanana kabisa, infact siasa zao zilikuwa zinafanana kabisa.

Sera za KATU zilikuwa ubepari, ardhi kunyakuliwa na wachache, ukabila na kuacha kutaifisha mali za wakoloni. Hata vyama vilivyoiangusha KANu hakuna kitu wamebadili kuhusu ardhi, ukabila na ubepari.
Hapa kwetu wapinzani wanadunda kwakuwa wanatangaza kutaka kubadilisha kila kitu wakifika Ikulu.

Wewe huna unachokijua kwenye siasa za ndani na regional politics, unafuata mkumbo tu.

Unadhani ni kwanini Raila hata akiungana na nani alikuwa haendi Ikulu?

Wewe ndio hujui kitu , unaamini KANU iliangushwa sababu ya ubepari na ukabila?

Kampeni za kuiangusha KANU zilikua zaidi ya ukabila Kibaki alikua mkikuyu, Michael Kijana Wamalwa alikua mluhya na aliyefanya endorsment kubwa na kuchangia kupiga kampeni kipindi kilichobaki na kipindi Kibaki kapata ajali na kwenda nje ya nchi alikua ni Odinga ambaye ni mjaluo.

Odinga alikua na chama chake angeweza kuwa mgombea urais ila akaona wadili kuitoa KANU ndio wakaunda umoja wa NARC.

Usiwe unaropoka propaganda za kiCCM bila taarifa sahihi.

Je nikuulize Nyerere alivyotaka kupinduliwa mara 2 katika majaribio makubwa kati ya 7 je alitaka kupinduliwa kwa ajili ya nini?

Halafu hayo mashamba unayosema KANU ilichukua kwa wazungu unaweza kunitajia?

Unachanganya aliyechukua mashamba ya wazungu nj Mugabe chini ya ZANU PF na akashindwa kuyaendeleza leo hii uchumi wa Zimbabwe unapumulia mashine.

Wewe unaongelea KANU na Moi kwa kuisoma mimi naongelea KANU na Moi kwa kwa uhalisia maana chini ya utawala wake niliwahi kuishi na kufanya kazi Kenya hivyo najua ninachokiongea.
 
Wewe ndio hujui kitu , unaamini KANU iliangushwa sababu ya ubepari?

Je nikuulize Nyerere alivyotaka kupinduliwa mara 2 katika majaribio makubwa kati ya 7 je alitaka kupinduliwa kwa ajili ya nini?

Halafu hayo mashamba unayosema KANU ilichukua kwa wazungu unaweza kunitajia?

Unachanganya aliyechukua mashamba ya wazungu nj Mugabe chini ya ZANU PF na akashindwa kuyaendeleza leo hii uchumi wa Zimbabwe unapumulia mashine.

Wewe unaongea KANU na Moi kwa kuisoma mimi naongelea KANU na Moi kwa kwa uhalisia maana chini ya utawala wake niliwahi kuishi na kufanya kazi Kenya hivyo najua ninachokiongea.
Ujamaa/Soviet. Unajua Kambona alitorokaje kwenda kuishi Uingereza? Kwanini alitorekea Uingereza? Kwanini na Lissu alitorokea Ubelgiji? Na wote hawa walipitia Kenya sio Uganda kwenda Ulaya Magharibi.

Kwani akina Rugakingira ile ndege waliiteka na kuelekea wapi?

Tanzania ilijaribiwa sana lakini walishindwa hata nyie mtashindwa. Hakuna mtu alikuwa maarufu sana na mwenye watu kama Oscar Kambona.
 
Simama hapohapo usitikisike. Mtei na Makani walikuwa ni watu wa system kindakindaki, chama chao kugeuzwa chama cha kigaidi na wahuni ni kashfa isiyovumilika. HECHE amekigeuza ng'ombe wake wa maziwa.

Sasa habari mpya ya 2025 Lissu ndio mwenyekiti na Heche ni makamu.

Hiyo system ya kulinda majambazi ambayo mmekua mkiitukuza miaka na miaka undeni chama kingine kama mlivyotaka kuaminisha watu CHAUMMA inakuja kuondoa ushawishi wa CHADEMA.

Wewe endelea kuishi 1992 ukiamini system hii ya majambazi sisi tunaishi 2026.
 
Kafara kubwa zilifanywa na akina sheikh Ramia wa Bagamoyo na Sheikh Tambaza. Huyu Heche anadhani kuleta Uhuru ni kama kuvuta bhangi tu. TANU/ASP/CCM wanaona ni kitu cha hovyohovyo tu hivi, na rahisi kukatiza kwenda Ikulu kwa kukinukisha. Wakaishia kuchambia mgomba.
Hii Ngoma huchezwa deep huko Dunia ya kwanza gizani huko kabla haijaja huku nuruni,sisi tunafuata kilichoamriwa huko!

Kama wanataka kuipeleka upinzani lazima waushinde upinzani wa kule ndio washinde huku,wakilazimisha kiti hakitakalika kwao!ndio maana kina josephat gwajima wameacha kupigana kimwili wameamua kupigana kiroho lakini hawajui ni lini ulimwengu wao utaushinda ulimwengu ule !!

Mambo ni magumu sana aiseh!!
 
Wasifikiri ule mwenge ni moshi tu wa burebure unaotembea nchi nzima. Unadhani pale Uingereza ni wajinga kuwa na ukoo mmoja wa kifalme. Bila ile familia wanakwambia Uingereza inapoteza nguvu zake zote. Ndiyo familia inayowashindia vita.
 
Sasa habari mpya ya 2025 Lissu ndio mwenyekiti na Heche ni makamu.

Hiyo system ya kulinda majambazi ambayo mmekua mkiitukuza miaka na miaka undeni chama kingine kama mlivyotaka kuaminisha watu CHAUMMA inakuja kuondoa ushawishi wa CHADEMA.

Wewe endelea kuishi 1992 ukiamini system hii ya majambazi sisi tunaishi 2026.
Kila mtaa/kitongoji nchi hii kuna wajumbe wa nyumba 50 wa CCM, kila kijiji kuna ofisi na uongozi wa CCM
hata Kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi Taifa CCM imeenea. Chama kama hicho utakishinda vipi. Vyama vya upinzani viko mijini tu. Na huko mijini wengi ni wavuta bhangi, wabwia unga na bodaboda ambao hawapigigagi kura
 
Kama ni hivyo kwanini CCM haikubali tume huru ya uchaguzi kimuundo[ maana iliyopo ni huru kwa jina sio kimuundo].

Mfano wa tume huru ya uchaguzi ni ya Kenya IEBC baada ya kuivunja ile ECK iliyokua haina tofauti na NEC hii ya CCM.
 
Ujamaa/Soviet. Unajua Kambona alitorokaje kwenda kuishi Uingereza? Kwanini alitorekea Uingereza? Kwanini na Lissu alitorokea Ubelgiji? Na wote hawa walipitia Kenya sio Uganda kwenda Ulaya Magharibi.

Kwani akina Rugakingira ile ndege waliiteka na kuelekea wapi?

Tanzania ilijaribiwa sana lakini walishindwa hata nyie mtashindwa. Hakuna mtu alikuwa maarufu sana na mwenye watu kama Oscar Kambona.

Mbona husemi Kambona alitorokea kupitia Kenya na sio Mozambique , Uganda au nchi nyingine?

Halafu Lissu hajawahi kutoroka rekebisha statement yako Lissu aliondoka sio kutoroka , aliyetoroka ni Kambona aliyeendesha gari na kuitelekeza mpakani Namamga.

Kenya ndio ilibaki kuwa na mahusiani mazuri kidiplomasia na Tanzania kuliko Uganda , ulitaka waende Uganda kufanya nini?

Lissu bila kuondoka kwenda Ubelgiji angekua amekufa kwa ujinga uliopo huko Tanzania .
 
Kama ni hivyo kwanini CCM haikubali tume huru ya uchaguzi kimuundo[ maana iliyopo ni huru kwa jina sio kimuundo].

Mfano wa tume huru ya uchaguzi ni ya Kenya IEBC baada ya kuivunja ile ECK iliyokua haina tofauti na NEC hii ya CCM.
Maraga hakupenda Raila Odinga awe
Kama ni hivyo kwanini CCM haikubali tume huru ya uchaguzi kimuundo[ maana iliyopo ni huru kwa jina sio kimuundo].

Mfano wa tume huru ya uchaguzi ni ya Kenya IEBC baada ya kuivunja ile ECK iliyokua haina tofauti na NEC hii ya CCM.
Hakuna Tume huru duniani, hizo ni porojo za mitaani tu. Kule Ulaya Magharibi na Marekani hakuna Tume huru itakayomtangaza mgombea Urais muislamu kushinda Urais au mwenye sera ya ujamaa au mgombea mwenye sera ya kuyapa uhuru majimbo ya Marekani.

Pale Kenya hakuna Tume huru kwa Raila mjamaa kuwa Rais. Sera ya Raila na baba yake ilikuwa kuigawa ardhi ya wakenya vizuri kwa wakenya. Baba yake aliandika Kitabu cha Not yet Uhuru Kenya. Wazungu hawamtaki Raila na Jaji Maraga alipindisha matokeo ya uchaguzi akampa Ruto ushindi. RAILA hajawahi kushindwa lakini hajawahi kuapishwa.

Pale Zanxibar ACT/CUF haitakuja kuapishwa hata siku moja kama wataendelea na sera yao ya mamlaka kamili ya zanzibar, kuhoji muungano na upuuzi mwingine. Hata hapa Tanganyika hivyohivyo eanaodai tanganyika na kutamani nchi iegemee Brussels zaidi watakufa wote bila kuapishwa.
 
Wewe ndio hujui kitu , unaamini KANU iliangushwa sababu ya ubepari na ukabila?

Kampeni za kuiangusha KANU zilikua zaidi ya ukabila Kibaki alikua mkikuyu, Michael Kijana Wamalwa alikua mluhya na aliyefanya endorsment kubwa na kuchangia kupiga kampeni kipindi kilichobaki na kipindi Kibaki kapata ajali na kwenda nje ya nchi alikua ni Odinga ambaye ni mjaluo.

Odinga alikua na chama chake angeweza kuwa mgombea urais ila akaona wadili kuitoa KANU ndio wakaunda umoja wa NARC.

Usiwe unaropoka propaganda za kiCCM bila taarifa sahihi.

Je nikuulize Nyerere alivyotaka kupinduliwa mara 2 katika majaribio makubwa kati ya 7 je alitaka kupinduliwa kwa ajili ya nini?

Halafu hayo mashamba unayosema KANU ilichukua kwa wazungu unaweza kunitajia?

Unachanganya aliyechukua mashamba ya wazungu nj Mugabe chini ya ZANU PF na akashindwa kuyaendeleza leo hii uchumi wa Zimbabwe unapumulia mashine.

Wewe unaongelea KANU na Moi kwa kuisoma mimi naongelea KANU na Moi kwa kwa uhalisia maana chini ya utawala wake niliwahi kuishi na kufanya kazi Kenya hivyo najua ninachokiongea.
Tafadhali ndugu naomba tupe somo hapo kwenye Nyerere kupinduliwa sisi wapenzi watazamaji
 
Vyama vinavyopeana zamu ya kuiongoza nchi ni vyama vyenye mtizamo na uelekeo sawa wa Taifa. Vyama vinavyopokezana pale Marekani ni vile vinavyoitambua Israel kama jukumu lao, msimamo sawa kuhusu Middle East, msimamo sawa kuhusu Taiwan, China, Cuba , Urusi na Africa, Muungano, nk. Pale Uingereza, Ufaransa, nk hivyohivyo.

Narudia tena pale Zanzinzibar ACT watakwenda Ikulu tu pale watakapoyatambua Mapinduzi na Muungano, maana hiyo ndiyo historia yao kama waafrika iliyoachwa na waasisi wao. Siasa za kuwahurumia waarabu waliofukuzwa itawasumbua sana. Bahati mbaya sana hawana sera nyingine inayowapatia kura zaidi ya kuwalilia waarabu waliopokonywa utawala na Zanzibar kutoka kwenye muungano.

Tanzania bara hivyohivyo wapinzani wasahau kwenda Ikulu kama wataendelea kukejeli waasisi wa Tanzania na yale yote waliyoyafanya. Mifumo yetu yote imejengwa kuyazunguuka yale waliyoyafanya na kutuachia waasisi wetu; hata mifumo ya ulinzi na usalama inalinda hicho na imesomea kulinda hicho na ina maarifa na ujuzi na uwezo wa kulinda hicho. Rasilimali zetu zina uwezo wa kulinda hicho. Kazi yako wewe ni kuunga mkono hayo au upambane na mifumo au ukae kimya. Ni mfumo ambao haubagui mtu, hata akina Prof. MKUMBO, Nyarandu, Kafulila, Nassari, Msigwa, Wenje, Mrema nk haukuwabagua walipoamua kuungana nao. HAUNA MWENYEWE. Nakumbuka kuna watu baada ya kufariki Rais Magufuli walitaka kuujaribu kama unafanyakazi wakakiona cha mtema kuni. NCHIMBI alisahau kama kuna mfumo akakiona. Sasa kama wazee kama Jumbe, Kambona, Babu, Maalim, Lipumba, Lowassa, Kingunge, Msindai, Kolimba, Membe, G55, Sumaye, Nchimbi, Salimin, Mrema, Ndugai, nk walishindwa kuutikisa mfumo sembuse wewe Heche na Lissu na Othuman na Mpina na Zitto?

Kuna watu walitaka kuuchezea mfumo eti kuondoa ukomo wa muda wa uongozi, mfumo ukawajia juu na kuwasambaratisha vibaya sana. Kuna watu walikuwa wanataka kujaribu kurejesha ukabila na udini mfumo ukawatetemesha vibaya mno.

Vyama vya siasa vishindane tu namna ya kuwasambazia haraka maji na barabara wananchi lakini lakini sio kuifumua gundi iliyoishikanisha nchi. Gundi hii haipatikani tena madukani kote kama utaifumua.
 
Kama ni hivyo kwanini CCM haikubali tume huru ya uchaguzi kimuundo[ maana iliyopo ni huru kwa jina sio kimuundo].

Mfano wa tume huru ya uchaguzi ni ya Kenya IEBC baada ya kuivunja ile ECK iliyokua haina tofauti na NEC hii ya CCM.
bado tunapiga kura kwa mihemko, hatujakomaa bado tume haina kazi katika levels hizi. Pale China hawakufika kule waliko kwa bahati mbaya tu. Katiba yetu sisi inakosa kitu komoja tu cha kunyonga viongozi wala rushwa na wezi wanaoiba mali ya umma baaaaasi. Kama mtu akiniuliza mm tuonge nini kwenye katiba hii ningekwambia tuondoe kinga kwa wala rushwa na wezi na wabadhilifu wa mali ya umma na matumizi mabaya ya nafasi ili wananchi wawe huru kuning'inia kwenye shingo zao kama wakituibia.
 
Kwa hiyo ndugu labda nikuulize swali. Umesikiliza hoja za wanaotaka mageuzi au umeamua tu kuwa na misimamo mikali
 
Kwa hiyo ndugu labda nikuulize swali. Umesikiliza hoja za wanaotaka mageuzi au umeamua tu kuwa na misimamo mikali
Waliotaka mageuzi si ndio hawa au? Kuna kitu gani cha maana hapo! Hebu fikiria kama huyu anakuwa rais wa nchi itakuawaje.

View: https://youtube.com/shorts/wfsanDjd-34?si=zvh6W-f3FIfd4UH4

Hebu sikiliza vichwa vilivyoko CCM, hupati tabu kuendelea kumsikiliza pamoja kwamba nae ni mtu wa Mara
View: https://youtube.com/shorts/_jB8sQEZZ9U?si=bd_CeBnv0iIH4LOA
 
Porojo gani wewe zezeta?

Nimekuwekea video hapo ya Nape akisema watu wakipiga kura hawaamui mshindi bali anayetangaza sasa unabisha nini?

Ulivyo mpumbavu unajiandikia tu eti "survival for the fittest " nenda kajielimishe kwanza hiyo statement ina maana gani , uchaguzi unawezaje kuwa survival for the fittest wakati uchaguzi haufanyiki katika mizania sawa

Survival for the fittest inahusu mazingira yenye mizania sawa ndio hapo sasa chenye nguvu kitabaki na kisichoweza kitatoweka , nenda darasani upya ujielimishe hujachelewa.

Huu upumbavu wa kuingiza mabunda ya kura ndio mnaita uchaguzi?

Hebu nieleze hapa mtu anayeingiza mabunda ya kura waliyotiki usiku wake upande wa Samuya utaanzaje kumshinda mtu kwa mtindo huu?

Nakubaliana na Warioba kwamba uchafuzi ule tume ya CCM ndio ilimchagua Samuya sio wananchi.

Ukizungumzia CHADEMA kuwa madarakani na kusema hawatakubali watoke unataka nikuamini vipi kwa kitu ambacho hakijatokea, inatakiwa waingie wakigoma kutoka ndio tuone wamegoma sio hizo propaganda uchwara .

Mbona husemi Moi alikua na kila kitu cha kuweza kuinusuru KANU ila alikubali kushindwa uchaguzi na NARC , 2002 hata kabla ya matokeo ya mwisho ya majumuisho kutolewa mgombea wa KANU , Uhuru Kenyatta aliambiwa akatangaze kukubali kushindwa na kukubaliana na chaguo la wananchi?

View attachment 3679842
Cc Kavulata
 
bado tunapiga kura kwa mihemko, hatujakomaa bado tume haina kazi katika levels hizi. Pale China hawakufika kule waliko kwa bahati mbaya tu. Katiba yetu sisi inakosa kitu komoja tu cha kunyonga viongozi wala rushwa na wezi wanaoiba mali ya umma baaaaasi. Kama mtu akiniuliza mm tuonge nini kwenye katiba hii ningekwambia tuondoe kinga kwa wala rushwa na wezi na wabadhilifu wa mali ya umma na matumizi mabaya ya nafasi ili wananchi wawe huru kuning'inia kwenye shingo zao kama wakituibia.

Wewe zezeta ndio unapiga kura kwa mihemko, na kwa akili za kiccm unafikiri hadi leo idadi ya wajinga iliyokuwepo 1960 na 1970 imebaki vile vile.

Watu wanapiga kura kwa kusikiliza hoja na wanajua kuzichambua hoja zile na kujua nani mkweli nani muongo .

Ajabu wakienda kwenye sanduku la kura kumbe anayehesabu na kutangaza ndio anawaamulia watu chaguo lao la mwisho na sio wao tena kama utaratibu wa kupiga kura unavyotaka.

Na mazezeta kama wewe unakuja kusema humu eti watu wanapiga kura kwa mihemko

Sasa hii kauli ya Nape ilikua ina maana gani na kama haikua kutoa siri kwanini alitumbuliwa uwaziri siku chache mbele?

View: https://x.com/JamiiForums/status/1813259138639798332
 
Wewe jamaa uko biased yaani kati ya video zote za Heche ndio umeona hiyo
Hapo sio Rais lakini sauti yake kwa wenzake ni hiyo, vipi kama akiwa Rais, Makamu au waziri mkuu sauti yake itafafanaje? Hebu acheni utani wenu.
 
Hapo sio Rais lakini sauti yake kwa wenzake ni hiyo, vipi kama akiwa Rais, Makamu au waziri mkuu sauti yake itafafanaje? Hebu acheni utani wenu.
Kwani hapo amesema kipi kibaya? Si anaulizia kitabu chake.

By the way Heche hatakuwa rais atakuwa waziri mkuu

Rais atakuwa Dr Emmanuel Nchimbi
Mwanasheria Mkuu Tundu Lissu
Spika John Mnyika
 
Back
Top Bottom