figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hayati Samwel Sitta alivekuwa Spika Mstaafu. alidokeza kwamba Zanzibar hawana mito na umeme wote Unatoka Tanganyika.
MY TAKE;
Je, kwa mauaji ya 29 Oktoba 2025, kwanini Zanzibar tusiwakatie Umeme? Sikutegemea Wazanzibari watuue bila Huruma.
Kumbuka Abdul Hafidh Samia Suluhu, Issa Khatibu wote ni Wazanzibar ni hiki kikombe wakinywe