figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #21
Amebakiza miezi 36Tatizo mzima switch ni Mzanzibar, sasa ndio utajua Tanganyika ipo wapi!
Amebakiza miezi 36Tatizo mzima switch ni Mzanzibar, sasa ndio utajua Tanganyika ipo wapi!
Yule mzee naye kuna sehemu alikosea. Ila kuna siku alisema angekuwa na uwezo, angizamisha Zanzibar bahariniIla Nyerere kazingua sana.
Alidhani amempata kumbe alipatikana.
Sitta alikuwa anajielewa. Unaambiwa kuna siku Waliandana hadi Ikulu, Nyerere akamtandika viboko 12 akamwambia rudi Shule ukasome.Hawa ndiyo viongozi wazalendo walioitetea Tanganyika.kwa sasa yamebaki mambulula tu.
Upo sahihi. Benard membe kuna siku alisema Tanganyika ikiwa huru, kuna watu watakimbilia Kenya, mmadagacar na KomoroYana mwisho..Tanganyika itarudi mkononi Kwa wenyewe
Ujinga ni ule mluoua watoto wetu 29.10.2025Sio vizur kuchochea uhasama wa kijinga
Tutampigisha shoti aiachieShida mshika switch ni wa huko kisiwani. Lol
Wao ndio mabiss wa nchi onaongelea habari ya karafuu.Yakheee.. wao watatunyima kharafuu..!
Tunaweka kizuizi mlango wa Nungwi kama ilani na Marekani. Hadi waseme wapi walificha miili ya ndugu zetuTena akiingia wa kwetu, akataifishe kila kitu cha kule na Muungano auvunje kabisaa.
Nyerere hana shida acheni Mzee wangu apumzike kwa Amani. Kuna Mambo mengi yaliondolewa kwenye KatibaIla Nyerere kazingua sana.
Alidhani amempata kumbe alipatikana.
Wala ila Iko pale.ukizima tu na kule nusu na robo ya maeneo ni ziiUlishaiona? 🤣🤣🤣
Hilo suala hata mimi Leo nikiwa kiongozi nazima umeme maana kwanza hawalipi Tanesco wanawadai pesa nyingi mzigo wote tunabeba wa TanganyikaHayati Samwel Sitta alivekuwa Spika Mstaafu. alidokeza kwamba Zanzibar hawana mito na umeme wote Unatoka Tanganyika.
View attachment 3573836
MY TAKE;
Je, kwa mauaji ya 29 Oktoba 2025, kwanini Zanzibar tusiwakatie Umeme? Sikutegemea Wazanzibari watuue bila Huruma.
Kumbuka Abdul Hafidh Samia Suluhu, Issa Khatibu wote ni Wazanzibar ni hiki kikombe wakinywe
Cable zote zimepita Kunduchi nikwenda kukatata tuHayati Samwel Sitta alivekuwa Spika Mstaafu. alidokeza kwamba Zanzibar hawana mito na umeme wote Unatoka Tanganyika.
View attachment 3573836
MY TAKE;
Je, kwa mauaji ya 29 Oktoba 2025, kwanini Zanzibar tusiwakatie Umeme? Sikutegemea Wazanzibari watuue bila Huruma.
Kumbuka Abdul Hafidh Samia Suluhu, Issa Khatibu wote ni Wazanzibar ni hiki kikombe wakinywe
Mzee Nyerere au Sita?Yule mzee naye kuna sehemu alikosea. Ila kuna siku alisema angekuwa na uwezo, angizamisha Zanzibar baharini
R.I.P Mwalimu Nyerere.Nyerere hana shida acheni Mzee wangu apumzike kwa Amani. Kuna Mambo mengi yaliondolewa kwenye Katiba
na Zanzibar kupewa Mamlaka ya kuamua kila kitu. Nyerere kwa kiasi kikubwa Aliacha Tanganyika yenye nguvu na Zanzibar yenye Utegemezi kwa babaye Tanganyika mfano mzuri unaotumiwa hadi sasa ni Tanganyika kuamua Rais wa Zanzibar.
HahahaaWala ila Iko pale.ukizima tu na kule nusu na robo ya maeneo ni zii
Wanawasha vibatari
Baba wa taifanye NyerereMzee Nyerere au Sita?
Dah, kumbe alishawahi kuongea maneno mazito kama haya!Baba wa taifanye Nyerere
Dah, kumbe alikiri mwenyewe.