figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #41
Zanziba wakorofi.. Yaani kama mnavyomuona Samia, ndivyo wazanzibar walivyoDah, kumbe alishawahi kuongea maneno mazito kama haya!
Zanziba wakorofi.. Yaani kama mnavyomuona Samia, ndivyo wazanzibar walivyoDah, kumbe alishawahi kuongea maneno mazito kama haya!
Una maanisha alimsambaratisha marinda?Huyu dingi ndiye alimvua ubingwa Bashite
Ukorofi wao unatokana na sisi (Tanganyika) kuwadekeza. Hawa jamaa watazidi kutupanda vichwani.Zanziba wakorofi.. Yaani kama mnavyomuona Samia, ndivyo wazanzibar walivyo
Na ndiye alimpandisha chart kwenye siasa za CCM. Mzee amemla sana BashiteUna maanisha alimsambaratisha marinda?
AiseeNa ndiye alimpandisha chart kwenye siasa za CCM. Mzee amemla sana Bashite
Hiyo ya kumla sina ushahidi. Ninachojua Bashite alikuwa anaishi kwa Samweli Sitta. Na ndiye alimsomesha.. Na ndiye alimpangishia Getto.. Kuhusu kulana sijui. Alisema anamsaidia kama mwanaye.Na ndiye alimpandisha chart kwenye siasa za CCM. Mzee amemla sana Bashite