Mawakili wa Lisu kuongea na wana habari leo 24.10.2025 saa tano

Mawakili wa Lisu kuongea na wana habari leo 24.10.2025 saa tano

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
The placard tells it all
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, wanatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari leo, Oktoba 24, 2026, katika Makao Makuu ya chama hicho, Edwin Mtei House, Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na chama hicho, mkutano huo umepangwa kuanza saa 5:00 asubuhi.

Tangazo hilo la mkutano wa waandishi linajiri wakati ambapo hukumu ya mwenyekiti wa chama hicho inakaribia kusomwa November 6, 2026



IMG-20261024-WA0007.jpg
 
Wamwage tu mboga. Wasiendelee kuwachekea hawa wahuni walio tayari kwa lolote baya dhidi ya mteja wao.
 
Back
Top Bottom