mawakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lisu kuweni macho sana tena sana na TIME LIMITATION TO INSTITUTE APPEAL, ni kwa tahadhali tu!!!

    Ni tahadhali! Wala si kwamba hukumu itakuwa vile au hivi, NO. Hizi figisu alizokuwa akifanyiwa Lisu na prison eg za kunyumwa usiri, kuwekwa na wafungwa wa kunyongwa na " ukatili" wote aliofanyiwa, Rugemeleza Nshala be vigilant. Wanaweza kumwekea vigingi akakuta muda say wa ku lodge notice of...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Lissu aanza mgomo wa kula. CHADEMA yasema mawakili wake wamezuiwa kumwona gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, ameanza mgomo wa kula kuanzia Oktoba 26, 2026, huku chama hicho kikilalamikia kuzuiwa kwa mawakili wake kumwona gerezani. Hatua hiyo inafuatia taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Dk...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kesi imesikilizwa tunasubiri hukumu. Mawakili wa Lissu wanafuata nini gerezani, kuna siri gani hawataki isikike?

    CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia. Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lisu kuongea na wana habari leo 24.10.2025 saa tano

    The placard tells it all Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, wanatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari leo, Oktoba 24, 2026, katika Makao Makuu ya chama hicho, Edwin Mtei House, Mikocheni jijini Dar es Salaam...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeuagiza uongozi Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kufuata taratibu za Kanuni za Uendeshaji wa Magereza kwa kutowanyima Mawakili na Washauri wa kisheria kuzungumza na mteja wao lakini pia maafisa magereza kusimamia maongezi hayo kwa kukaa umbali ambao wataweza kuona...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mawakili, huu si wakati wa unyonge, bali wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, leo Oktoba 15, 2026, baada ya kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam, amesema: “Mawakili, huu si wakati wa unyonge. Ni wakati wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria.” Soma Pia: Mwabukusi...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu kutoa hukumu kesi ya mawakili wa Tundu Lissu dhidi ya jeshi la Magereza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, inatarajiwa kutoa hukumu katika Kesi ya Kikatiba inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na mteja wao, Tundu Antipas Lissu, akiwa gerezani bila kusikilizwa au kuingiliwa na maafisa wa magereza. Kwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kesi ya Kikatiba kwanini Magereza inawakataza mawakili kuonana na wateja wao kwa faragha akiwemo Tundu Lisu

    Oktoba 13, 2026, Jopo la Majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam—Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa—linatarajiwa kutoa hukumu katika Shauri la Kikatiba Na. 7300. Shauri hilo limefunguliwa na mawakili Maduhu William, Nashon Nkungu na Paul...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Huu ni ushauri wangu kwa serikali, Yanayoendelea mahakamani ni aibu aibu aibu aibu, Tundu Lissu anawavua chupi mawakili wa serikali mchana kweupe. Ni aibu mh rais wateule wawe majaji tusiwe tunawaona mara kwa mara ni aibu
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP, Nassoro Katuga na mawakili wote wa serikali watanzania tunaomba ufafanuzi wenu maana ya neno 'uttering' kwenye tuhuma za kijinai.

    Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai. Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
  14. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Shauri la kikatiba: Mawakili wafungua shauri Kupinga katazo la mahakama kuu la tarehe 12 Agosti 2026 | C.M Tengwa

    Leo Tarehe 17 September 2026 mahakama kuu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Masjala Ndogo ya Tabora, ilioitishwa kwa ajili ya kutajwa kwa shauri la Kikatiba Na. 000023438 la mwaka 2026 linalopinga uamuzi uliotolewa tarehe 12 Agosti 2026. kuhusu zuio kwa mawakili kuzungumza na vyombo vya...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Mawakili ni Maofisa wa Mahakama?, Onyo la CJ Kuwa Mahakama Sio Sehemu ya Uanaharakati, Linawahusu!. Tujikite Kwenye Interest of Justice!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Fikra Mbadala kwenye gazeti l Nipashe la leo nikiuelimisha umma kuhusu mawakili, si wengi wanajua kuwa mawakili nao pia ni maofisa wa Mahakama, hivyo lile onyo la Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju kuwa Mahakama sio sehemu ya uanaharakati, pia linawahusu mawakili...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge; Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri, Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele, Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mnyika amewakoboa mawakili uchwara hawatamsahau

    Lile genge la wahuni wanaoitwa mawakili wa Serikali wamepigwa za uso hadi wamechanganyikiwa kiasi kwamba Mnyika we can term him a man of the match.
  18. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mpasuko Mirathi ya Rwakatare: Mawakili wa Familia Wamkana Tibe, Wataka Bilioni 5 na Msamaha

    Mawakili wa familia ya marehemu Askofu Dr. Gertrude Pangalile Rwakatare na Kampuni ya St. Mary’s International Academy Limited, wakiongozwa na Wakili Derick Paschal, wamejitokeza na kukanusha vikali tuhuma zilizotolewa na Tibe Kenneth Rwakatare pamoja na mawakili wake,. Wameeleza kuwa madai...
  19. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Imeweka Wazi Uwezo wa Mawakili wa Serikali Ulivyo. Ndio Sababu Kesi Zote za Mikataba Nje Tunashindwa kwa Aibu Sana

    Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu. Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi hata kidogo na hana weledi kiasi kuwa kama hawa ndio watetezi wa kesi zinazofunguliwa dhidi ya...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakili wa serikali wamepaniki baada ya rais Samia kutajwa kama shahidi kwenye kesi ya Lissu?

    Naomba watu wa sheria watoe maelezo kidogo juu ya sheria za mahakama juu ya ahadi na ushahidi. Naona mawakili wa serikali wamepigwa ganzi ghafla baada ya Lissu kutaja mashahidi wake.
Back
Top Bottom