Wakuu, ili suala la IGA ni technical
Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.
IGA is not for every advocate or lawyer, its...
Huyo ndiye Wakili wa Serikali ambaye ni miongoni mwa wale wanaoshindwa na Kesi za Masuluhisho nje.
Yaani Dunia nzima ione kuna kasoro, halafu yeye ndiye anayeiona ni "Proper"?
Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka.
Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya itaanza kusikiliza maombi ya kupinga mkataba uwekezaji wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia Kampuni DP World baada ya kupokea majibu ya Serikali.
Katika maombi hayo ya kikatiba, waleta maombi wanaitaka Serikali kuieleza mahakama sababu za kile...
Hafla hiyo itafanyika katika ukumbi wa Karimjee tarehe 6/7/2023. Hii ni kwa mujibu wa tangazo la tume ya mahakama. https://www.judiciary.go.tz/web/index.php?r=announcements/pdf&id=204
Ila kwa kuwa Law school hudahili zaidi ya elfu moja kwa mwaka katika intakes zake zote mbili, ina maana wengi...
Wakili Msomi Alphonce Lusako akishirikiana na Wakili msomi Chengula Emmanuel pamoja na wenzao wawili wameiburuza serikali mahakamani kwa kupitisha mkataba wa ubinafsishaji wa bandari zetu bila kuzingatia maslahi ya nchi.
Washtakiwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi, Waziri wa...
Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia.
Membe ambaye...
#MauaYaSamia
Mawakili wasomi wanaokutana Arusha mwaka huu 2023 wamekunwa na sera nzuri na tamu za SSH. Mawakili hao wamesema Sasa wanafanya kazi kwa Uhuru mkubwa na utawala wa sheria umetamalaki.
Mawakili hao walionekana kukerwa kabisa na uongozi wa awamu ya tano. Mawakili ni moja ya makundi...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali za kinidhamu na kisheria dhidi ya mawakili wachache ambao wanaharibu heshima ya taaluma ya sheria kwa kukosa uadilifu wa maadili, ikiwemo kujihusisha na...
Bahati nzuri siku hizi unaweza kuingia kwenye TANZLII and other law websites za nchi zote duniani ukasoma kesi zilizoamriwa.
Kuna kesi unaona kabisa kuwa huyu Advocate ilibidi amshauri mteja kuwa hatutoboi maana sheria iko wazi , kuwa hii ni uphill battle due to time limitation, ITAKUBANA...
Mawakili wanaosimamia kesi ya Thabo Bester wamemtaarifu mteja wao kujitoa katika kesi inayomkabili huku ikielezwa huenda akawatumia mawakili waliokuwa wanamtetea Dr Nandipha Magudumana.
Hatua hiyo inamfanya Thabo kuanza kutafuta mawakili wengine baada ya Mawakili hao wa Ishmail kumtaarifu...
Kesi ya kina Mdee na CHADEMA leo imeingia ukurasa mpya baada ya mawakili wa CHADEMA kusema hawana tena maswali kwa akina Mdee.
Hapo siku za nyuma mawakili hawa walishangiliwa sana jinsi walivyokuwa wakipambana na kina Mdee mahakamani na wengi wakashangilia pia jinsi walivyokuwa wanawahoji...
Mawakili wapinga azimio la TLS kulazimisha Mawakili wa Tanganyika Law Society kupitia azimio la mkutano wao wa mwaka AGM annual General Meeting kuwa wanachama wa EALS ambapo itakuwa lazima walipie $20 kuwa wanachama kwa lazima wa chama cha Mawakili Afrika ya Mashariki - East Africa Law Society...
Suala la Uraia wa Mfanyabiashara Patrick Kamwelwe limeibuliwa Mahakamani kwenye kesi ya Utapeli inayowahusu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela (Le Mutuz).
Mawakili wa Makonda na Le Mutuz wamedai kuwa wameshindwa kumpata Kamwelwe anayetaka kulipwa Tsh...
Kwenye sheria na mahakamani wanao msemo wa mahakama siyo mama yako. Dhana hii inaelekeza kuwa mahakama itakupa tu kile ulichoomba na kuthibitisha stahiki ya wewe kupewa.
Hivi karibuni imetolewa hukumu na mahakama yetu kufuatiwa kuombwa na mawakili kadhaa kuwa wafungwa wanayo stahiki ya kupiga...
Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni ya Mabasi ya J4 Express, alidaiwa kuwaua kwa kuwapiga kwa risasi Ally Abeid Mohamed, mkazi wa Igoma na Claud Sikarwanda, mkazi wa Nyasaka Ilemela, Julai 13, 2015, majira ya saa 4:00 usiku, eneo la Nyakato Boma kwenye ofisi na karakana ya magari ya...
Ni Batili mawakili wa TZ kujiita mawakili wasomi bali Ni halali kuitwa mawakili vilaza, Ila Ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa kuwazidi wao,soma hapa.
Bila Shaka ndugu zangu wadau nyote mu wazima wa afya ,nakuombeni mrejee
kichwa Cha habari Apo juu ni ubatili mkubwa,Kwa kweli...
Kamati ya kufuatilia mwenendo wa matokeo ya mitihani ya mafunzo ya uansheria kwa vitendo (LST), imeanisha changamoto nane ikisema ni miongoni mwa vikwazo katika kupata wanafunzi bora wanaosomea fani ya sheria.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk Harrison Mwakyembe amesema changamoto hizo pia...
Kesi Halima Mdee vs CHADEMA imeendelea leo
November 4,2022 hapa mahakama kuu jijini Dar es Salaam
Mbele ya Jaji Cyprian Mkeha.
Jaji anaingia Mahakamani muda huu saa 10:10 Asubuhi hii!
Watu wote hapa Mahakamani tunasimama....!!
Karani wa mahakama:
Kesi namba 36/2022
Halima James Mdee na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.