mawakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mawakili kuweni sincere na wateja wenu, kuweni wakweli, kweli hii application kwa wakili wa Court of appeal unaweza kuikubali kuiendesha

    Wanasheria kuweni na huruma, you should not be driven by money! Mshauri mteja na ikibidi kataa kuichukua kesi kuwa hii completely huwezi kushinda. Someni muone walivyo shyster lawyers hawa mawakili wetu
  2. JanguKamaJangu

    Mawakili watajwa kuchangia migogoro mingi ya ardhi kutopata utatuzi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka mawakili kuharakisha kesi za ardhi zaidi ya 2,000 ambazo zina Mawakili wanaosimamia kwa niaba ya wateja wao. Waziri Angella Mabula amsemea: “Katika mashauri 3000 yaliyochukua zaidi ya miaka miwili, 2,000 kati yao ni yale ambayo...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia: Hakuna kuingia Mikataba pasipo kumshirikisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili leo tarehe 29 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Prof. Ibrahim Juma - Jaji Mkuu Haitoshi kuwa na sheria nzuri ambayo haitimizi malengo ya kutungwa kwake. Zipo...
  4. BARD AI

    Dkt. Eliezer Feleshi awataka mawakili wa Serikali kujitathimini

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania (AG), Dk Eliezer Feleshi amewataka mawakili wa Serikali kujitathimini kama wanaendana na dhima na kujitosheleza kwa nafasi walizopewa. Dk Felishi amesema hayo leo Jumatano, Septemba 28, 2022 wakati akifungua mkutano wa mawakili wa Serikali ulioandaliwa na...
  5. nyboma

    Mawakili na madaktari ni walevi sana

    Kuna mwenzangu kati ya hao ni walevi, hivi karibuni ilibaki kidogo aharibu kazi. Pascal Mayalla ni shahidi wa hili, jinsi ulevi ulivyo msababishia ajali mbaya ya pikipiki miaka kadhaa nyuma. Uzi tayari
  6. J

    Aisee kumbe Mawakili wa Raila Odinga ni vilaza kiasi hiki?

    Kuna wakili wa Odinga anaitwa Julie Soweto, huyu wakili tangia siku ya kwanza ya kesi alikuwa akitoa data za hatari bila woga ambapo kwa mtu wa kawaida ukimsikiliza bila ku fact check madai yake basi utaamini uchaguzi uliibiwa waziwazi Leo tena huyu wakili kaja na kituko kingine, kwenye...
  7. MIXOLOGIST

    Hatimaye Shaban Robert mwandishi nguli aeinziwa Kenya na mawakili wa Dr. Ruto

    Wasalam wana JF Je ni kweli Raila anaifanya Kenya kuwa nchi ya Kusadikika? Si maneno yangu bali ya mawakili wa Ruto kama video inavyojieleza
  8. D

    Zijue mbwembwe za mawakili

    Zamani nilifikili kila wakili unayemuona anaweza kesi zote! Kumbe siyo! Kumbe nao wamegawanyika kulingana na eneo alilobobea mfano! Wapo mawakili wazuri sana kwenye kesi za aridhi tu Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za migogoro ya ndoa tu Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za siasa tu Wapo...
  9. BARD AI

    Kenya: Fahamu kuhusu Mawakili watakaoitetea Tume ya Uchaguzi

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeteua Kampuni 26 za Mawakili zitakazoiwakilisha Tume hiyo na Mwenyekiti wake Wafula Chebukati. Kila Kampuni ya Wanasheria na Mawakili, italipwa takriban Tsh. Milioni 388,967,498/- Zaidi ya Tsh. Bilioni 10.1 zitatumika kulipa Wanasheria na Mawakili...
  10. BARD AI

    Kenya: Tume na Makamishna waliokataa Matokeo watofautiana uteuzi wa Mawakili

    Mzozo kati ya Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) unazidi kuongezeka baada ya pande hizo mbili kuteua Mawakili tofauti kuwawakilisha kwenye maombi ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa IEBC Hussein Marjan aliifahamisha Mahakama Kuu wameteua...
  11. BARD AI

    Mawakili wanena kuhusu Mfanyakazi wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kupinga tozo

    Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia msaada wa kisheria. Juzi, Afumwisye alipokea barua iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja...
  12. Zakaria Maseke

    Maadili, Taratibu na Mamlaka Zinazosimamia Maadili ya Mawakili Binafsi, Mawakili wa Serikali, Mahakimu na Majaji

    Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria bali pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa kama mtu mwingine yeyote. Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili tu. 1: TUANZE NA MAWAKILI BINAFSI Sheria...
  13. Zakaria Maseke

    Mawakili wa Serikali Hawaruhusiwi Kufanya Kazi za Uwakili wa Kujitegemea Isipokuwa kwa Kibali Maalum

    Can State Attorneys and lawyers in the public service be Enrolled in the Roll of Advocates and Practise as an Advocate or as a Notary Public or Commissioner for Oaths? Je, Mawakili wa Serikali au Wanasheria walio katika utumishi wa umma wanaruhusiwa kusajiliwa na kuingizwa katika Daftari la...
  14. Pascal Mayalla

    The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua...
  15. Lady Whistledown

    Mawakili wa ‘Mfalme Zumaridi’ waomba ahamishwe Gereza

    Mawakili wa upande wa utetezi katika inayomkabili Mfalme Zumaridi na wenzake wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza kama itawezekana mteja wao awekewe ulinzi au ahamishwe katika Gereza Kuu la Butimba alililopo hivi sasa kufuatia kuwepo kwa taarifa za kuuawa kwake ndani ya gereza. Ombi hilo...
  16. JanguKamaJangu

    Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata

    Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
  17. K

    Naiomba Serikali ifuatilie utakatishaji wa pesa unaofanya na watu wanaojiita Mawakili wa Sabaya

    Isionekane kama ushauri wangu huu ni sababu ya chuki dhidi ya jambazi sabaya lakini ukweli uko wazi kuna njama ya kutakatisha mamillion ya pesa yaliyotokana na ujambazi wa wazi wazi uliofanywa na Sabaya enzi za utawala wa kayafa kupitia mbinu ya michango ya wananchi kugharamia gharama za kesi...
  18. B

    Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

    TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao. Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana...
  19. H

    Uchaguzi wa TLS: Sungusia apinga Mawakili kupunguziwa gharama

    Sikiliza mahojiano yake kuhusu Mawakili kupunguziwa gharama, asema ni uamuzi wa kukurupuka
  20. B

    Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

    Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata. Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
Back
Top Bottom