Mwabukusi: Mawakili, huu si wakati wa unyonge, bali wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria

Mwabukusi: Mawakili, huu si wakati wa unyonge, bali wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, leo Oktoba 15, 2026, baada ya kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam, amesema: “Mawakili, huu si wakati wa unyonge. Ni wakati wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria.”
Ni kweli, hii serikali haramu inafurahia udhaifu wetu, ndio maana matendo ya utekaji na mauaji hayaishi kwasababu wanajua hatuwezi kuwafanya chochote.

Kama tungekuwa imara tunaojua kujilinda na kupigania haki zetu kwa vitendo, pasingekuwepo na huu ujinga wa kutekwa hovyo kama kuku.
 

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, leo Oktoba 15, 2026, baada ya kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam, amesema: “Mawakili, huu si wakati wa unyonge. Ni wakati wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria.”

Soma Pia:

15 October 2026
MWABUKUSI AACHIWA KWA DHAMANA BAADA YA MAHOJIANO 15 OKTOBA 2026
VIDEO NZIMA MWABUKUSI BAADA YA KUHOJIWA KITUO CHA CENTRAL POLICE DAR ES SALAAM TANZANIA

View: https://m.youtube.com/watch?v=uiN2a9P0AkY
  • TLS kuwa wachochezi
  • Video za makongamano za TLS kuhamashisha uchochezi
  • TLS kuisemea mawakili
  • TLS kuwasemea raia wasio na sauti
  • TLS kufadhili maadamano ya 29 Oktoba 2026 pigia mstari yaani maandamano yanayokuja mwisho mwa mwezi Oktoba mwaka huu 2026
  • TLS kufadhili vijana wa Tanzania kwenda Kenya kujifunza maandalizi ya maandamano ya 2026
  • TLS Maazimo ya Ngorongoro
  • Mwabukusi aachiwa kwa dhamana ya mawakili wawili : wakili Jebra Kambole na wakili msomi mwingine
  • Mawakili zaidi ya 30 walijitokeza
  • Inspekta Michael alikuwa anaongoza jeshi la polisi kumuhoji Mwabukusi
  • Content za mahojiano ni mchanganyiko
  • Tuhuma za kuacha urais wa TLS na kukumbatia uanaharakati zaibuliwa na jeshi la polisi wakati wa mahojiano
  • N.k
 

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, leo Oktoba 15, 2026, baada ya kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam, amesema: “Mawakili, huu si wakati wa unyonge. Ni wakati wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria.”

Soma Pia:
huu ni wakati wa mfa maji kisheria kutapatapa.

kwa kinywa chako mwenyewe mwabukusi umekiuka sheria na utawajibishwa kwa mujibu wa taratibu za TLS. No body will save you 🐒
 
Upuuzi mwingi sana nchi hili,ccm hawakujifunza kwa KANU na ANC?maana roll model wao alikuwa ANC ila last election alikiona mpaka kuunda sirikali ya umoja
 
Tule ya Lila na Fila imefeli kama lile genge la Chande na Machande .

Ni mtu mjinga ndio ataamini eti yale maandamano yalikua na ufadhili, laiti kweli yangekua na ufadhili yale maandamano yangedumu muda mrefu na watu wangekua na silaha za moto kujilinda dhidi ya policcm na mamluki wa Museveni waliokua wanapiga watu risasi mitaani.

Mtu yoyote makini tangu June akiangalia post zile za mitandaoni na reaction za wananchi angegundua watu walikua wana mpango wa kufanya maandamano kuvuruga uchaguzi feki.

Ila wahusika wakamdanganya bi kidude kwamba hakuna atakayetoka na mwisho nae akasema hakutakuwa sijui na manyunyu wala manywinywi.
 
Back
Top Bottom