Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Naomba watu wa sheria watoe maelezo kidogo juu ya sheria za mahakama juu ya ahadi na ushahidi. Naona mawakili wa serikali wamepigwa ganzi ghafla baada ya Lissu kutaja mashahidi wake.
Serikali imejichanganya yenyewe ilitakiwa hili suala liishe leo. Wao eti kuna kesi ya kujibu, mtu anaweka mashahidi wake wao wanatoa milio.Naomba watu wa sheria watoe maelezo kidogo juu ya sheria za mahakama juu ya ahadi na ushahidi. Naona mawakili wa serikali wamepigwa ganzi ghafla baada ya Lissu kutaja mashahidi wake.