Kesi imesikilizwa tunasubiri hukumu. Mawakili wa Lissu wanafuata nini gerezani, kuna siri gani hawataki isikike?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia.

Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili cha kufanya kwa mteja wao?

Kwanza Lissu alikuwa anajitetea mwenyewe mahakamani kwenye kesi yake, hawa ni akina nani? Kuna usiri gani wanataka katika kuzungumza na Lissu hadi Lissu agome kula n kumeza dawa?

View: https://www.youtube.com/live/z1YRvjCEndU?si=7O5bui6DOqEfjkTw
 
Kilichosababisha akajitetea mwenyewe ni kipi umeskiliza kauli ya mahakama? wenyewe wanasema alinyimwa kuonana na mawakili wake na imeathiri kesi yake au hufatilii unaibuka tuu kama kimbunga
 
huenda ndio wale waratibu na wana mipango mikakati ya uhaini wenyewe,
kwasababu haiwezekani, kwamba Tundu Lisu alikua na fursa ya kua na mawakili mwanzo hadi mwisho wa kesi, lakini aliwakataa hadharani na kujipiga kifua kwamba atajitetea mwenyewe na akafanya hivyo mwanzo hadi mwisho wa kesi, ambayo hivi sana inasubiri kutolewa hukumu.

Sasa haijulikani Tundu lisu anataka muujiza gani utokee, wakati hakuna muda wa kusikiliza kesi hiyo tena, ambayo inasubiri hukumu tu. Na, haifahamiki haya mapenzi na uchungu wa Tundu Lisu kwa mawakili ameyatoa wapi ghafla hata kufikia hatua ya kugomea chakula kwasababu ya mawakili?:pedroP:

hii ni maajabu aise :NoGodNo:
 
Hana mawakili kwenye kesi yake. Sijasema kwanini hakuwa na mawakili.

Mwandishi anaposema mawikili wa Lissu wamekwenda kumuona Lissu sio kweli, ni uchochezi. Kwanza walikwenda kufanya nini wakati Lissu anasubiri hukumu yake itakuwaje. Kwanini hawataki mazungumzo yao yasisikilizwe na askari magereza?
 
Broo nakuombea moja ya watu wako wa karibu kama sio wewe basi mpate kesi ili ujue maumivu ya kesi ya mchongo yalivyo .... karma will pay this.
 
huenda ndio wale waratibu na wana mipango mikakati ya uhaini wenyewe,
kwasababu haiwezekani, kwamba Tundu Lisu alikua na fursa ya kua na mawakili mwanzo hadi mwisho wa kesi, lakini aliwakataa hadharani na kujipiga kifua kwamba atajitetea mwenyewe na akafanya hivyo mwanzo hadi mwisho wa kesi, ambayo hivi sana inasubiri kutolewa hukumu.

Sasa haijulikani Tundu lisu anataka muujiza gani utokee, wakati hakuna muda wa kusikiliza kesi hiyo tena, ambayo inasubiri hukumu tu. Na, haifahamiki haya mapenzi na uchungu wa Tundu Lisu kwa mawakili ameyatoa wapi ghafla hata kufikia hatua ya kugomea chakula kwasababu ya mawakili?:pedroP:

hii ni maajabu aise :NoGodNo:
Hao manasheria wa chadema ambao Lissu aliwakataa kuwa mawakili wake kwenye kesi yake wana ujumbe gani wa siri wanataka kumpa Lissu? Lissu ana ujumbe gani wa siri anaotaka kuwaambia mawakili wa chadema?
 
CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia.

Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili cha kufanya kwa mteja wao?

Kwanza Lissu alikuwa anajitetea mwenyewe mahakamani kwenye kesi yake, hawa ni akina nani? Kuna usiri gani wanataka katika kuzungumza na Lissu hadi Lissu agome kula n kumeza dawa?

View: https://www.youtube.com/live/z1YRvjCEndU?si=7O5bui6DOqEfjkTw

Kwani Tundu Lissu hana haki ya kutembelewa? Sheria inasemaje?
 
Hao manasheria wa chadema ambao Lissu aliwakataa kuwa mawakili wake kwenye kesi yake wana ujumbe gani wa siri wanataka kumpa Lissu? Lissu ana ujumbe gani wa siri anaotaka kuwaambia mawakili wa chadema?
Hayo hayakuhusu kama wamevunja sheria sema ili tujue.
 
Hao manasheria wa chadema ambao Lissu aliwakataa kuwa mawakili wake kwenye kesi yake wana ujumbe gani wa siri wanataka kumpa Lissu? Lissu ana ujumbe gani wa siri anaotaka kuwaambia mawakili wa chadema?
Ni kweli kwamba hujui kuwa Lisu alishtakiwa kwa kesi mbili? Moja ndiyo inasubiri hukumu ila nyingine aliweka mawakili.
Au maana yako ni nini kuanzisha mada kama huna taarifa sahihi?
 
Kwani sheria inasemaje?

Mtuhumiwa ana haki ya kuonana na mawakili wake kabla hata ya kujua/kusomewa mashitaka yake, ajabu nini kuonana nao akisubiri hukumu?
 
CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia.

Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili cha kufanya kwa mteja wao?

Kwanza Lissu alikuwa anajitetea mwenyewe mahakamani kwenye kesi yake, hawa ni akina nani? Kuna usiri gani wanataka katika kuzungumza na Lissu hadi Lissu agome kula n kumeza dawa?

View: https://www.youtube.com/live/z1YRvjCEndU?si=7O5bui6DOqEfjkTw

Waachie mawakili wafanye kazi yao. Kesi inaisha tu pale atakapoachiwa huru siyo siku ilipomalizika kusikilizwa.
 
Kwani sheria inasemaje?

Mtuhumiwa ana haki ya kuonana na mawakili wake kabla hata ya kujua/kusomewa mashitaka yake, ajabu nini kuonana nao akisubiri hukumu?
Kuna watu huwa wanajitoa akili but tunaishi mkuu.
Wacha watetee upumbavu kuna siku upumbavu utaongea nao, what important our mindset always talk to us at the background but we never listen!
 
Hao manasheria wa chadema ambao Lissu aliwakataa kuwa mawakili wake kwenye kesi yake wana ujumbe gani wa siri wanataka kumpa Lissu? Lissu ana ujumbe gani wa siri anaotaka kuwaambia mawakili wa chadema?
inatafakarisha sana aise,
yaani kweli mawakili ndio leo wamemfanya mpaka mtu huyu aliewakataa mwanzo aamue kuanzisha mgomo wa kula?

nadhani kuna ujumbe limejificha nyuma ya pazia, :NoGodNo:
 
Hana mawakili kwenye kesi yake. Sijasema kwanini hakuwa na mawakili.

Mwandishi anaposema mawikili wa Lissu wamekwenda kumuona Lissu sio kweli, ni uchochezi. Kwanza walikwenda kufanya nini wakati Lissu anasubiri hukumu yake itakuwaje. Kwanini hawataki mazungumzo yao yasisikilizwe na askari magereza?
Huna ujualo, mawakili walikuwepo tena wengi, ila aliamua kujitetea mwenyewe. Usichanganye kujitetea mwenyewe na kutokuwa na mawakili.
 
Back
Top Bottom