Kesi imesikilizwa tunasubiri hukumu. Mawakili wa Lissu wanafuata nini gerezani, kuna siri gani hawataki isikike?

Kesi imesikilizwa tunasubiri hukumu. Mawakili wa Lissu wanafuata nini gerezani, kuna siri gani hawataki isikike?

CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia.

Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili cha kufanya kwa mteja wao?

Kwanza Lissu alikuwa anajitetea mwenyewe mahakamani kwenye kesi yake, hawa ni akina nani? Kuna usiri gani wanataka katika kuzungumza na Lissu hadi Lissu agome kula n kumeza dawa?

View: https://www.youtube.com/live/z1YRvjCEndU?si=7O5bui6DOqEfjkTw

Hilo Bichwa umejaza matope
 
Unahitaji elimu ambayo imefichwa kwa makusudi ili uendelee kuwa daraja
 
CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia.

Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili cha kufanya kwa mteja wao?

Kwanza Lissu alikuwa anajitetea mwenyewe mahakamani kwenye kesi yake, hawa ni akina nani? Kuna usiri gani wanataka katika kuzungumza na Lissu hadi Lissu agome kula n kumeza dawa?

View: https://www.youtube.com/live/z1YRvjCEndU?si=7O5bui6DOqEfjkTw

Ipo ya ukiukwaji wa katiba ambayo uamuzi tayari lakini magereza hawataki kutii amri ya mahakama.
 
Broo nakuombea moja ya watu wako wa karibu kama sio wewe basi mpate kesi ili ujue maumivu ya kesi ya mchongo yalivyo .... karma will pay this.
Broo dua la kuku halimpati mwewe hata kidogo kwakuwa ni Mungu mwenyewe kapanga mwewe ale watoto wa kuku kama chakula chake maana kuku nae ana dhambi ya kula wadudu wasiokuwa na hatia.

Lissu hakupewa kesi ya mchongo hata kidogp. Alisema atafanya na kweli wakafanya. Ningeiita kesi ya mchongo kama angesema tu julwaani bila vurugu za kuzuia uchaguzi kutokea.
Kwani Tundu Lissu hana haki ya kutembelewa? Sheria inasemaje?
Unajua maana ya kutembelewa na mawakili wake?
 
Ni kweli kwamba hujui kuwa Lisu alishtakiwa kwa kesi mbili? Moja ndiyo inasubiri hukumu ila nyingine aliweka mawakili.
Au maana yako ni nini kuanzisha mada kama huna taarifa sahihi?
Acheni utani wenu, subirini hukumu haiko mbali. Hiyo kesi nyingine imesikilizwa lini?
 
Sidhani kama Kuna Sheria inakataza mtuhumiwa kutembelewa na kuzungumza na mawakili wake wakati hukumu inasubiriwa.
Lissu kwenye kesi iliyomuweka ukonga hana wakali. Kusema mawakili wake walimtembelea sio kweli.

Hii ni Afrika, msiilazimishe itoe haki kama mchi za magharibi. Afrika inazo standard zake kwenye kila jambo. Kama tunakubali kuwa Afrika kuna watu ambao bado wanachambia chini, hawana vyoo, maji, na umeme basi tukubali kuwa kwenye mapungufu hayo yapo pia ya upungufu wa haki na demokrasia
 
Unafahamu kuwa Mahakama Kuu ilitoa amri kuwa Lissu aruhusiwe kitembelewa na kuzungumza na mawikili wake bila maaskari magereza kusikiliza maongezi hayo.?

Kama unafahamu hilo jiulize je Jaji hakujua kwamba Lissu hana Wakili?
Hadi ana toa uamuzi huo.
 
huenda ndio wale waratibu na wana mipango mikakati ya uhaini wenyewe,
kwasababu haiwezekani, kwamba Tundu Lisu alikua na fursa ya kua na mawakili mwanzo hadi mwisho wa kesi, lakini aliwakataa hadharani na kujipiga kifua kwamba atajitetea mwenyewe na akafanya hivyo mwanzo hadi mwisho wa kesi, ambayo hivi sana inasubiri kutolewa hukumu.

Sasa haijulikani Tundu lisu anataka muujiza gani utokee, wakati hakuna muda wa kusikiliza kesi hiyo tena, ambayo inasubiri hukumu tu. Na, haifahamiki haya mapenzi na uchungu wa Tundu Lisu kwa mawakili ameyatoa wapi ghafla hata kufikia hatua ya kugomea chakula kwasababu ya mawakili?:pedroP:

hii ni maajabu aise :NoGodNo:
Gentlemen we ni muoga wa mapambano..kamq we ni man basi una ka ugay kidogo ila kama ni ke basi ni mshangazi wa uswahilini.
 
Hao manasheria wa chadema ambao Lissu aliwakataa kuwa mawakili wake kwenye kesi yake wana ujumbe gani wa siri wanataka kumpa Lissu? Lissu ana ujumbe gani wa siri anaotaka kuwaambia mawakili wa chadema?
Kuna sheria gani inayozuia wao kukutana? Kuna sheria gani wamevunja kwa kutaka kuongea?
 
Gentlemen we ni muoga wa mapambano..kamq we ni man basi una ka ugay kidogo ila kama ni ke basi ni mshangazi wa uswahilini.
Gentleman,
you can call or name me as you wish, but you can also perceive or insult me as you can,

but as political scientist,
you can never stop me from engaging, dissecting or digestion political issues as they come and happen.

I have nothing to do with nonsenses in platform 🐒
 
Unafahamu kuwa Mahakama Kuu ilitoa amri kuwa Lissu aruhusiwe kitembelewa na kuzungumza na mawikili wake bila maaskari magereza kusikiliza maongezi hayo.?

Kama unafahamu hilo jiulize je Jaji hakujua kwamba Lissu hana Wakili?
Hadi ana toa uamuzi huo.
Huku ile ilikuwa ni kwa wafungwa wote wenye mawakili sio kwa Lissu tu. Mahakama ilikiwa ikijua iko siku Lissu atataka kuwa na mawakili kwenye kesi hiihii au nyingine. Kwenye kesi hii Lissu hakuwa na mawakili hata mmoja labda kama atataka kuwa nao baada ya hukumu ya 6 Nov. kwaajili ya kukata rufaa lakini sio sasa.

Askari magereza sio wajinga kiasi hicho, hawataki kuwa wazembe wa kutafsiri sheria na tabia ya mfungwa/mahabusu wao maana kesi aliyonayo ni kesi kubwa sana. Lazima wajue kila hatua n kila mawasiliano yake kabla ya hukumu.
 
Kwani Tundu Lissu hana haki ya kutembelewa? Sheria inasemaje?
Usalama wa taifa letu ni zaidi ya sheria zote zilizopo nchini na duniani. Marekani inaweza kuvunja sheria zote za haki za binadamu na demokrasia kwaajili ya kuilinda America. Urusi inavunja sheria zooote kwaajili ya taifa la Urusi kwanza. Msifikiri hayo yanafanyika huko ulaya tu, hapo hata Afrika na mabara mengine na Tanzania ikiwemo. Unaponusa hatari kwa taifa hakuna sheria inayofanyakazi zaidi ya kulihami taifa kwanza.

Chadema hawana maarifa mengi kuhusu usalama wa nchi, wanadhani watu wanabahatishabahatisha tu nchi kuwa salama kama hivi tulivyo leo na jana.
 
Hayo hayakuhusu kama wamevunja sheria sema ili tujue.
Usivyokuwa na uelewa unadhani mambo ya usalama wa nchi hayakuhusu, sio kazi yako. Unadhani hicho "mawakili" wanachokwenda kuteta na Lissu hakikuhusu. Ye tatu nanee elimu yetu jamani!!. No thinking critically.
 
Huna ujualo, mawakili walikuwepo tena wengi, ila aliamua kujitetea mwenyewe. Usichanganye kujitetea mwenyewe na kutokuwa na mawakili.
Hako ni kaporojo kapya ka motomoto umekapenyeza hapa. Mnasema alijiwakilisha mwenyewe kwakuwa mawakili walizuiwa kukutana na mteja wao. Mnaruka na kukanyagana wenyewe.
 
Lissu kwenye kesi iliyomuweka ukonga hana wakali. Kusema mawakili wake walimtembelea sio kweli.

Hii ni Afrika, msiilazimishe itoe haki kama mchi za magharibi. Afrika inazo standard zake kwenye kila jambo. Kama tunakubali kuwa Afrika kuna watu ambao bado wanachambia chini, hawana vyoo, maji, na umeme basi tukubali kuwa kwenye mapungufu hayo yapo pia ya upungufu wa haki na demokrasia
Hizo standards zimeandikwa wapi tukazisome na kuzifuata.
 
Hako ni kaporojo kapya ka motomoto umekapenyeza hapa. Mnasema alijiwakilisha mwenyewe kwakuwa mawakili walizuiwa kukutana na mteja wao. Mnaruka na kukanyagana wenyewe.
Hatusemi sisi, katazame record za mahakama zinasema nini? Usitake kuleta upotoshaji usio na tija.
 
Hao manasheria wa chadema ambao Lissu aliwakataa kuwa mawakili wake kwenye kesi yake wana ujumbe gani wa siri wanataka kumpa Lissu? Lissu ana ujumbe gani wa siri anaotaka kuwaambia mawakili wa chadema?
Unaongea upumbavu. …kwa hiyo wewe siri zako huwa unaziongea mbele ya majirani zako?
 
Huku ile ilikuwa ni kwa wafungwa wote wenye mawakili sio kwa Lissu tu. Mahakama ilikiwa ikijua iko siku Lissu atataka kuwa na mawakili kwenye kesi hiihii au nyingine. Kwenye kesi hii Lissu hakuwa na mawakili hata mmoja labda kama atataka kuwa nao baada ya hukumu ya 6 Nov. kwaajili ya kukata rufaa lakini sio sasa.

Askari magereza sio wajinga kiasi hicho, hawataki kuwa wazembe wa kutafsiri sheria na tabia ya mfungwa/mahabusu wao maana kesi aliyonayo ni kesi kubwa sana. Lazima wajue kila hatua n kila mawasiliano yake kabla ya hukumu.
Waliofungua kesi ni mawakili wa Lissu, Ushahidi ulikuwa unahusu Mawakili wa Lissu, Lissu na Askari Magereza wa Ukonga.
Hata Ushahidi unahusu pande hizo tatu.

Halafu wewe unasema Ile Kesi haimuhusu Lissu na Mawakili wake.?

Lakini pia.

Hata Majaji wale watatu Tunaosubiri waje watoe hukumu kwenye kesi ya uhaini.
Wanawatambua hao Mawakili wa Lissu ndio maana wanaruhusiwa kuwasiliana nae na kumshauri wakati kesi ilipokuwa inaendelea.

Kilichobadilika ni kwamba Lissu ndani ya mahakama anajitetea mwenyewe ila ana haki ya kuwa na mawakili kama washauri na wasaidizi wake.
 
Namini nashangaa mtu kesi yake ni ya uhaini tena wataka kuonana kwa siri siri lengo nini
Michadema sio wakuwaamini
tena !

mana kwenye Uchaguzi wamegomea wanataka kwenda Ikulu kupitia njia gani ¿¿¿¿¿¿¿¿
 
Back
Top Bottom