gerezani

Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.

View More On Wikipedia.org
  1. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wamemtelekeza Tundu Lissu Gerezani?

    Kwa mda mrefu nimekua nikifuatilia Sakata la Tundu Lissu naona Chama chake hakijafanya vya kutosha katika kumpigania awe huru na badala yake Wanaharakati ndiyo wamekua wakimpazia sauti. Hatua ya yeye Kutangaza kugoma kula ilikua inaonesha anajibambania mwenyewe japo naye ali ulaghai Umma kwani...
  2. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Lema amedokeza kuwa Lissu atahukumiwa kifungo, kisha atakata rufaa kutoka gerezani!

    Huko Lilongwe, Malawi. Kutoka kwe ye korido za siasa, Mhina Panduja a.k.a Toto Tundu atakutwa na hatia then baadae Gavana atasema amemsamehe lengo abaki jinai yake maisha yake yote. Yajayo hayafurahishi.😰
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU HAJAGOMA KULA NA HAKUNA WAKILI WAKE ALIYEZUIWA KUINGIA GEREZANI

    Kuna taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii iliyotolewa Oktoba 26, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia ikijulisha umma kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Lissu aanza mgomo wa kula. CHADEMA yasema mawakili wake wamezuiwa kumwona gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, ameanza mgomo wa kula kuanzia Oktoba 26, 2026, huku chama hicho kikilalamikia kuzuiwa kwa mawakili wake kumwona gerezani. Hatua hiyo inafuatia taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Dk...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wa kagema aliliwa kichwa Uganda, wa Museveni yupo gerezani kwa uhaini,wa Samia nae yupo gereji kwa uhaini mnao bakia upinzani spoko za moto zinawausu

    Kiiza Besigye awala wa mke wa Museveni yupo gerezani,kisa uhaini Lissu mpinzani mkuu wa Samia yupo gerezani uhaini Kagame yeye,hataki shida wake amemla kichwa mapema na amezikwa paspo kichwa. Mnao bakia upinzani Tanzania mwafaka nini? Nina hakika ile tume itatoa mstakabali wa upinzani...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kesi imesikilizwa tunasubiri hukumu. Mawakili wa Lissu wanafuata nini gerezani, kuna siri gani hawataki isikike?

    CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia. Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania anapaswa kuwa na huruma na Lissu. Hata mke wake hajawahi kwenda kumuona gerezani

    Ndugu zangu Watanzania, Kama wewe ni Mzalendo wa kweli wa Taifa hili na unayependa Amani na usalama wa Taifa hili kwa Tanzania bora ya leo na kesho basi hupaswi hata kidogo hata chembe kuwa na huruma na Lissu. Hakuna Mtanzania Anapaswa hata kupoteza muda kumuombea Lissu. Hii ni Kwa kuwa mtu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Isihaka Mchinjita amesema watu wanakimbia nchi ,wengine wako gerezani

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita, amesema mazingira ya sasa nchini si rafiki kwa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani kutekeleza majukumu yao ya kisiasa. Akizungumza na Royal TV Plus, Mchinjita pia amedai kuwa mifumo ya uchaguzi nchini haijajengwa...
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot for sale at Gerezani Sokoine drive

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station and Dar port. •Perfect for; Yard, Garage, container’s storage, godown. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 2B, Negotiable...
  10. Mtu mbalimbali

    JamiiForums Tanzania (video) TUNDU LISSU : "Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi"

  11. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot for sale at Kariakoo Gerezani Sokoine drive

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station and Dar port. •Perfect for; Yard, Garage, container’s storage, godown. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 2B. For more...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wote Wana Miaka 15, Lakini Mmoja Anaenda Gerezani: Je, Sheria Inawalinda Watoto Wote?

    Fikiria watoto wawili wa miaka 15. Wanasoma darasa moja, wana umri sawa na wako katika uhusiano wa hiari. Polisi wanapofika, mmoja anaenda nyumbani huku mwingine akiondoka akiwa amefungwa pingu. Mvulana. Hili ndilo linalofungua mjadala mkubwa kuhusu namna Kenya inavyoshughulikia mahusiano ya...
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa napitapita kule gerezani kwangu kuona wafungwa wangu wanaendeleaje.

    Wale ninaowaona wamejirekebisha nawaachia huru, wale wanaojitahidi kubadilika; nawapunguzia vifungo, wale walioshindikana wananyongwa😁😂😂
  14. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara - Mbezi), DART wafafanua

    Kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wa mabasi yaendayo haraka (BRT), kuhusu ukubwa wa nauli za mabasi hayo na kutokuwepo kwa tiketi za muunganisho wa safari. Soma pia: Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara -...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Nairobi wataka Besigye na Lissu kutoka gerezani na kuachiliwa huru

    Wanaharakati nchini Kenya wameongeza shinikizo la kutaka kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani wa Uganda na Tanzania, Dkt. Kizza Besigye na Tundu Lissu, wanaoshikiliwa katika nchi zao kwa tuhuma zinazohusiana na uhaini. Katika maandamano yaliyofanyika Nairobi Alhamisi, Septemba 3, 2026...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara - Mbezi)

    Habari zenu Wana-Jukwaa, Naandika uzi huu kuwasilisha kero inayowakabili wananchi na wasafiri wa kila siku wanaotumia Mabasi ya Mwendokasi (DART) katika korido ya Morogoro Road, kuanzia Kivukoni, Gerezani, Kimara hadi Mbezi. Tunatambua mchango mkubwa wa usafiri wa mwendokasi katika kupunguza...
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania P.Didy kutoka gerezani mapema baada ya tarehe kubadilishwa

    Rapa na mfanyabiashara wa muziki wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ameongezewa matumaini ya kutoka gerezani mapema baada ya tarehe yake ya kuachiwa kusogezwa mbele kwa mara nyingine. Kwa mujibu wa taarifa mpya kutoka Bureau of Prisons, Diddy ambaye anahudumu kifungo katika Federal Correctional...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Lissu kiboko ya majinga majinga ya ccm hasa yanayoenda usiku gerezani.

    Unaambiwa lile genge la watekaji,wafiraji,mafisadi na marcatel ya mafuta yamekuwa yakituma makuwadi yao huko gerezani kwa lengo la kuomba msamaha kwa lissu ili atakapotoka asiwe na msimamo mkali badala yake awe kama kina mbowe na kwamba wamemuahidi mabillion ya pesa. Lakini cha kushangaza lissu...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu: Msije gerezani usiku kunitembelea njooni mahakamani

    Akiwa mahakamani jana Lissu amesema kuna watu walienda kumtembelea usiku, hakuwataja wala hakusema walikuwa na nia gani, lakini kawashauri kama wanampenda wawe wanafika mahakamani kumsalimia.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema yuko tayari kukaa gerezani hadi haki itakapopatikana, akizungumza mahakamani Septemba 2, 2026, katika mwendelezo wa kesi yake ya Uhaini. Lissu alikanusha kauli zinazodai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anazuiwa kutoka gerezani na Heche...
Back
Top Bottom