Fikiria watoto wawili wa miaka 15. Wanasoma darasa moja, wana umri sawa na wako katika uhusiano wa hiari. Polisi wanapofika, mmoja anaenda nyumbani huku mwingine akiondoka akiwa amefungwa pingu.
Mvulana.
Hili ndilo linalofungua mjadala mkubwa kuhusu namna Kenya inavyoshughulikia mahusiano ya kimapenzi kati ya vijana walio chini ya miaka 18.
Chini ya Section 8 ya Sexual Offences Act, kufanya tendo linalosababisha penetration na mtoto chini ya miaka 18 ni defilement. Kwa mtoto wa miaka 12 hadi 15, sheria inaweka adhabu ya angalau miaka 20; kwa miaka 16 hadi 18, angalau miaka 15.
Lakini tatizo linatokea pale ambapo wote wawili ni watoto walio karibu kiumri na hakuna coercion, exploitation au abuse.
Mei 20, 2026, High Court ilitoa uamuzi muhimu ikisema Sections 8, 9 na 11 haziwezi kutekelezwa kwa namna inayocriminalise mahusiano ya hiari, yasiyo na shinikizo wala unyonyaji kati ya adolescents walio karibu kiumri. Mahakama ilisema mfumo lazima utofautishe sexual abuse na consensual peer relationships.
NTV pia iliripoti Septemba 2 kuwa mahusiano kama hayo hayapaswi moja kwa moja kusababisha criminal charges.
Hii ina maana Kenya tayari imeanza kuelekea kwenye mantiki ya kile nchi nyingine huita “Romeo and Juliet” protections, lakini bado kuna hoja ya Bunge kuweka sheria iliyo wazi kuhusu tofauti ya umri, mazingira ya consent na namna watoto hao wanavyopaswa kushughulikiwa.
Children Act tayari inaruhusu njia mbadala katika juvenile justice, ikiwemo probation, diversion na community service yenye ukomo wa saa 50 katika mazingira yanayofaa.
Kwa sababu ikiwa watoto wawili walikuwa katika uhusiano mmoja wa hiari, kwa nini mmoja abebe criminal label inayoweza kumfuata maisha yake yote?
Sheria inayolinda watoto inapaswa kuwalinda wote.
Wadau, je Kenya sasa inahitaji sheria iliyo wazi ya close-in-age relationships, ili kutenganisha teenage relationships na sexual exploitation, na kuhakikisha hatumgeuzi mtoto mmoja kuwa mhalifu ili “kumlinda” mwingine wa umri sawa?