Masai wanatembea na silaha watakavyo 24/7 bila kukamatwa , kuhojiwa wala kufanywa chochote kile wakati wasio wamasai wakikutwa wanatembea hata na bisibisi tu tayari hapo anapewa kesi.
Masai wanatembea na marungu na sime na muda mwingine wanaenda hata kwenye sehemu za starehe mfano bar au...
Salaam Wakuu,
Naomba kuuliza, Sheria za kimataifa za matibabu ya wafungwa, Nelson Mandela Rules, Rule 70, zinatoa haki kwa mfungwa, Mahabusu kuweza kuruhusiwa kwenda, akiwa chini ya ulinzi au peke yake, kumwona ndugu wa karibu aliye katika hali mbaya sana au kuhudhuria mazishi ya ndugu wa...
Baada ya taarifa za leo kwamba kaka yake Tundu Lissu amefariki dunia, naomba ufafanuzi kutoka kwa wajuzi wa sheria: Sheria inasemaje kuhusu mahabusu kuruhusiwa kwenda kuhudhuria au kushiriki mazishi ya ndugu yake wa karibu?
Katika mazingira haya, Tundu Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini, huku...
China inampango wa kuanzisha sheria mpya ya talaka ambayo hakutakuwa na mgawanyo wa mali kwa 50/50 bali kila mtu atachukua alichokitafuta mwenyewe.
In africa girls bring their nyashi and wants to get mansion,car wachina wako mbele ya muda
Mkazi wa Kijiji cha Mafisa mkoani Tanga, Juma Hamisi Msilagi (69) amezawadiwa shilingi 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria.Msilagi amekabidhi silaha hiyo kufuatia wito wa kusalimisha silaha haramu uliotolewa na Waziri wa...
Tuchukue Sheria ya maadili ya ubikira katika Biblia tuichambue kama inaweza kutusaidia kudhibiti wanawake wa kizazi hiki ambacho vijana wanalalamika sana uchumi wa kupata bikira.
Kumbukumbu la Torati 22: 13-21
13. Mtu akimtwaa mke, akaingia kwake, kisha akamchukia,
14. Na kumsingizia mambo ya...
Hamjambo!
Ni ngumu kumkamata mwanamke kwa sababu vishawishi vya mwanamke nje ni vichache ukilinganisha na sisi wanaume.
Mwanamke anauwezo wa kukaa na kujichimbia ndani kama akipewa mahitaji ya msingi mfano chakula, bundle la internet na kifurushi cha Luninga.
Ushuani wanawake wanaweza kukaa...
Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, SACP Simon Maigwa, amewataka madereva wa vyombo vya Serikali kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani, akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, bila kujali nafasi au cheo alichonacho.
Akizungumza Oktoba 23, 2026, katika kipindi...
Watoto hasa wa kike wa mikoa ya Pwani wanaharibiwa sana na mitandao ya kijamii, ni wakati sasa wa serikali kutunga Sheria ya kupiga marufuku kutumia mitandao ya kijamii watoto wenye umri wa miaka chini ya 18.
Uingereza tayari wameptisha Sheria ya kuzuia matumizi ya mitandao kwa watoto walio...
Katika makala iliyopita, tuliona ukubwa wa tatizo la ukosefu wa wakalimani wa lugha ya alama katika vituo vya matibabu katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Katika mfululizo wa makala hii, leo tutaangazia kiini cha mgogoro huu wa kibinadamu na kisheria.
Sehemu ya kwanza ~ Mbeya: Wenye changamoto...
Talaka ya Kiislam kama inavyotambuliwa na Kifungu cha 107(3) cha Sheria ya ndoa ni ushahidi kuwa ndoa imevunjika pasi kurekebisha lakini haivunji ndoa kisheria kwani mamlaka ya kuvunja ndoa yako kwa mahakama.
Hivyo unaweza kuwa umetalakiwa kihalali kwa dini na imani ya Kiislam lakini Kisheria...
Wanabodi,
Msikilize Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi Atuma Salaam nzito
https://youtube.com/shorts/D8VgSlxC6Uw?si=JOjb2R7WjtdwsBbf
Ni kama ametangaza vita.
Mzee Pasco
Rejea za Pasco kumhusu Rais wa TLS...
Ukiua uhuru na uadilifu wa taaluma ya sheria, unadhoofisha utawala wa sheria; unapodhoofisha utawala wa sheria, unaweka rehani haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali na misingi ya demokrasia. Serikali ya wananchi haiwezi kuwa imara pale ambapo sheria inalinda mamlaka badala ya kulinda haki.
Kimsingi, Tanzania haina namba za usajili zenye herufi O.
Ni ajabu kuona gari hili linatembea jijini Dar na hakuna wa kuligusa. Bado mnaamini tunafuata utawala wa sheria? Au the so called “hakuna aliye juu ya sheria”?
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema atamchukulia hatua Jaji Fahamu Hamidu Mtulya kwa kumfikisha kwenye Kamati ya Nidhamu, akidai kuwa hawezi kukubali uwepo wa jaji asiy eheshimu sheria.
Mwabukusi ameyasema hayo leo, Oktoba 15, 2026, jijini Dar es...
Mrembo huyu wa kiwango cha dunia ndie aliyeteka na kulainisha Moyo wa Profesa Nguli toka upareni.
Hapana chezea utamu nyie. PhD (LLD) tupa kule Bibie alipindua meza ya Mke wa ndoa akajiweka kwa Prof
Kuna wazazi wanaotengana na baada ya hapo baba anakataa kuchangia mahitaji ya mtoto, akimuachia mama jukumu lote la chakula, ada, mavazi na matibabu.
Lakini kwa mujibu wa Kifungu cha 129 cha Law of Marriage Act, baba ana wajibu wa kutunza mtoto hata kama mtoto anaishi na mtu mwingine. Kifungu...
Wanaomkosoa na kupingana nae wanakamatwa na kisha kupelekwa kwenye detention chambers ambazo zipo kwenye makazi ya mkuu wa nchi.
Hii ni sahihi?
Hawa CCM tangu wachukue hii nchi ni mahayawani kabisa.
Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.