figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Salaam Wakuu,
Naomba kuuliza, Sheria za kimataifa za matibabu ya wafungwa, Nelson Mandela Rules, Rule 70, zinatoa haki kwa mfungwa, Mahabusu kuweza kuruhusiwa kwenda, akiwa chini ya ulinzi au peke yake, kumwona ndugu wa karibu aliye katika hali mbaya sana au kuhudhuria mazishi ya ndugu wa karibu.?
ii) Kama inaruhusu na Tanzania tuna tii na tumesaini mikataba ya Kitaifa, Je, Tundu Lissu akiitumia Sheria hiyo anaweza kupewa ruhusa ya kwenda kumzika Kaka yake?
iii) Sheria ya Magereza inasemaje? Ni umbali gani umewekwa ambapo Mahabusu anaweza kuhudhuria mazishi kwa ruhusa ya Magereza?