Umesema kweli
Sheria za kiislam hazihitaji update wala nini yaani
Nature yake zenyewe zipo updated bila kufanyiwa hio update
Huwezi ukasikia sura 2:1 ama sura ya 100:6 ama sura yeyote ile zinahitajia mabadiliko kwasababu ya ongezeko la watu ama kwasababu ya hiki na kile
Dunia nzima ingeamua kusimama totally na uislam na sheria zake ujinga huu mwingi uliopo leo tusingeusikia
Wazinifu tunge(mungekula vyuma kwa sharia)
Waizi tunge(mungekula vyuma kwa sharia(
Wachawi tunge(mungekula vyuma kwa sharia)
Mafisadi tunge (mungekula vyuma kwa sharia)
Yaani kiufupi adabu ingetamalaki kila angle kuanzia ndani mpaka huko nje yaani!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.