uislamu

  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ama kweli uislamu ndiyo dini pekee ya Allah. Ushahidi huu hapa, mashehe mje kwa ufafanuzi zaidi

    Nanukuu kitabu cha kiislamu kama ifuatavyo; "Kasema Mtume (s. A. W) Anamwingia Mmoja Wenu Shetani Katika Sala. Basi Anampuliza Katika Matako Yake. Basi Yule Mtu Inamwingia Fikra Kua Umemtoka Upepo. Nae Haukumtoka. Basi Akiona Hali Hiyo Asiondoke Kwenye Sala Mpaka Asikie Umemtoka Huo Upepo...
  2. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

    Kwa masiku kadhaa kumekuwa na posts ambazo zinanasibisha na Maandamano yanayo tokea Ulaya kuwa yanachagizwa na uwepo wa wahamajia kutoka nchi za kiarabu Labda niwaulize hawa wajinga wachache,je source ya habari zenu huwa mnatoa wapi wenzetu? Nikisema kwamba habari zenu zinachagizwa na chuki...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wachoma Nguruwe na Kula Nje ya Msikiti Kupinga Uislamu Nchini Korea

    Raia wa eneo la Daehyeon-dong, Buk District, Daegu huko Korea Kusini wameamua kuchoma Kitimoto na kula nje ya eneo ambalo kuna Ujenzi wa Msikiti ambao Waislam watautumia kwenye Ibada ikiwa ni sehemu ya kupinga Uislam na ujenzi wa nyumba hiyo ya Ibada. Uislam sio haram kwa mujibu wa sheria za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uislamu ndio dini ya haki duniani

    Kwanini mambo haya sisi waislam tunapenda kuyaficha na tunayafanya sana mfano kwetu Zanzibar,Tanga na dar es salaam Yani ulawiti ni jambo la kawaida madrasa
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Mmoja Wa Kigeni huko Saudi Arabia ahukumiwa kifo kwa kukashifu Uislamu

    Mwanaume kutoka Sri Lanka akikabiliwa na adhabu ya kifo kutokana na maoni aliyoyatoa kwenye Facebook. Hata hivyo, kwa mujibu wa taarifa kutoka Sri Lanka, Mahakama ya Juu ya Saudi Arabia imebatilisha hukumu hiyo. Anujan Sivarasa, mwenye umri wa miaka 27, alihukumiwa kifo mwezi Septemba 2026...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki

    Uislamu pekee sheria zake hazipitwi na wakati na zinazotenda haki
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nifa, dada yangu katika Uislam, NAKUPENDA sana ❤️🤍

    Nimekuchagua wewe kukutumia ujumbe huu kwa sababu nakupenda sana, nakuheshimu na ninakutakia kheri duniani na Akhera. Sina nia ya kukuhukumu, kukukosoa au kujiona bora kuliko wewe. Nimekuandikia kwa upendo wa dhati, kwa sababu ningependa kukuona ukiwa karibu zaidi na Allah na ukiwa sababu ya...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia kuna nguzo nne tu za Uislamu.

    Kwa mwaka ni Waislamu milioni mbili tu ndio huenda Hija Mecca kati ya Waislamu bilioni mbili duniani kote na hiyo inaifanya Hija kama nguzo mojawapo ya Uislamu kuwa nadharia zaidi kuliko uhalisia. Nguzo ya tano ya Uislamu ni kwa ajili ya matajiri na walio karibu na Mecca. Au kama ni masikini...
  9. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Licha ya uislamu kuwa violent kwanini watu hawaukimbii,

    Ukimuuliza muislamu wa kawaida kuhusu waislamu wenzake wenzake wenye itikadi kali na wauwaji atakwambia yeye ana uislamu wa amani. Lakini hawa regular Muslims hata siku moja huwezi kuona wanakemea wenzao wauwaji, zaidi wanawalinda. Besides wote wanatumia kitabu kimoja. Kwanini isifike wakati...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima

    Nimejipenyeza sana mda mrefu kutafiti tafiti ila nimegundua hii imani inataka kumaliza dunia. Ukiangalia tokea historia na mafundisho yao yamejaa chuki,kuangamiza na kuforce wanayotaka. Sio kwamba wote ni wabaya au kuna watu wanapenda kwenye imani yao ila ukigundulika unaonekana kama muhasi...
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ahmed Khalifa: "Linda nchi zenu, utambulisho wenu, mustakabali wa watoto wenu. PIGA MARUFUKU Uislamu wa kisiasa"

    Ahmed Khalifa ni mchambuzi wa kisiasa anaehishimika sana mashariki ya kati.
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sheikh ameelezea Peponi kulivyo nimevutiwa sana. Uislamu una raha sana. Huyu mwanamke wa peponi ni balaaah wallah

    Kifuani ana screen..... Unaona kama a akupenda au anakudanganya. Hapo ana macho kama ngumi, bikra kila unapomaliza inajirudi. https://www.instagram.com/reel/DdnzJVFu5qJ/?stkn=MXEzaWllcGd4M253MA==
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dini rahisi mtu kwenda mbinguni ni Uislamu

    Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni)...
  14. Kaab msafi

    JamiiForums Tanzania Itikadi 6 za Uislamu Zinazomfanya Muislamu Kuishi Bila Msongo wa Mawazo/Hisia(Stress-Free Life)

    Dunia ya leo imejaa hofu. Wengine wanaogopa kesho, wengine kifo, wengine vita na majanga, wengine uchumi, na sasa wengine wanaishi kwa hofu ya AI kuchukua nafasi za ajira za binadamu. Lakini Muislamu anaishi katika dunia hiyo hiyo akiwa na msingi unaoupa moyo wake utulivu: imani. Kuna misingi...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana mtu kuacha kumuamini Mungu, dini akiwa katika familia ya Ukristo au Uislamu

    Huu wimbo wa Israel Mabinti huwa unanifanya nitafakari sana kuhusu waamini Mungu na dini. "Ukiniponya nitaamini, hata usiniponya bado nitaamini. Ukinijibu nitaamini, hata usinijibu bado nitaamini."
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Ngamia hachinjwi hovyo hovyo kama wanavyochinjwa wanyama au ndege wengine. Ngamia ili achinjwe lazima asomewe dua na aridhie kuchinjwa na anaye msomea dua asiwe mtu wa makando kando mengi kinyume na hapo ataumbuke peupee. Hii iliwahi kutokea hapa hapa TZ kuna masheikh walikesha kuomba ili...
  17. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Nimekaa hapa nimetafakari, Ikiwa Mungu anatoa dini kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, tungetegemea lazima dini hiyo itoe mwongozo unaogusa kuanzia ibada , namna wanadamu wanavyo takiwa kuishi, pamoja na familia, ndoa, talaka, mali, biashara, mirathi, haki, wajibu na mahusiano ya kijamii etc...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uislamu unavyozidi kuleta mugawanyiko na viongozi wao wenye imani.Je tunapoelekea ndio wanataka kuonesha dunia au ni imani.

    Matamko ya viongozi ambao wanaonesha wazi wazi sasa yanaonekana ghana na nageria kuwa hawataki imani imani nyingine zaidi ya wanao wasimamia wenye imani zao. Hii imekaaje maana dunia inapoelekea tunaenda sio ukabira ni udini hata hapa tanzania kashaonesha kuwa anafanya.
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Utafiti: Dini ya Kikristo yapungua Duniani, Uislamu wafikia 26%

    Wale wenye dini zenu za Wazungu na Waarabu nawaletea utafiti Kwa mujibu wa ripoti ya BBC. Uislamu wakua kwa kasi duniani huku Ukristo ukipungua - Utafiti mpya === Utafiti mpya wa kituo cha Utafiti cha Pew umebaini kwamba Afrika ya jangwa la Sahara imelipiku bara Ulaya kama sehemu ilio na...
  20. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Uislamu umepungua kwa angalau pointi 5 nchini Tanzania na Oman, lakini unakua kwa kasi maeneo mengine ya dunia

    Utafiti mpya wa kituo cha Utafiti cha Pew umebaini kwamba Afrika ya jangwa la Sahara imelipiku bara Ulaya kama sehemu ilio na Wakristo wengi duniani. Kulingana na ripoti hiyo Pew inasema kwamba hali hiyo imesababishwa na kuzaliwa kwa wingi kwa wafuasi wa dini hiyo Afrika huku wafuasi wanaoishi...
Back
Top Bottom