uislamu

  1. Morning_star

    Pombe ni UKIMWI wa akili. Hadidu za Rejea ni Uislamu, Zanzibar, na Wachaga

    Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi! Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya sherehe ya kukutafuna taratibu mpaka unakufa. Sasa kwa upande wa "pombe" ndivyo ilivyo. Pombe yenyewe...
  2. mwanamwana

    Mufti Mkuu Dkt. Abubakar: Tusisumbuliwe na fikra za Watu au kikundi cha watu. Muislamu haambiwi jambo akaenda tu, msifuate mkumbo

    Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally Mbwana amewataka Waislamu kote Nchini kuendelea kuhubiri amani na kuachana na vitendo viovu vitakavyopelekea uvunjifu wa amani ya Nchi. Mufti amesema hayo katika Sherehe za Maulid ya Kitaifa iliyofanyika katika Viwanja vya...
  3. Komeo Lachuma

    TBT: Video Sheikh Saleh Zagar: Kunadi Swala asubuhi ni unafiki anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi

    Anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi. Hawakuwa wakibweka asubuhi kujifanya wao ndo wanaswali sana kuliko wengine. Pata habari kamili. Video inaonyesha ilikuwa ya mwaka 2001 wakati Sheikh Saleh Zagar akiendelea kuzungumza na baadhi ya waumini moja ya Msikiti.
  4. Dr Matola PhD

    Kwenye mashindano ya Quran kwa wasichana nimeona kamari ikichezeshwa. Je, Uislamu unaruhusu kamari?

    Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia. Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari (maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa...
  5. D

    Hivi kwanini harakati za kumjua Mungu kupitia Ukristo na Uislamu zimeambatana na vurugu na mateso yasiyoisha?!

    Habarini! Hongereni kwa michango yenu kabambe inayoendelea humu ingawa mingi yenu, haswa siku hizi, imeathirika mno kwa itikadi za kisiasa na dini. Nimeona hii iwe mada yangu ya kwanza kabisa tangu nijiunge humu. Nawaomba muishiriki ipasavyo na kunipatia michango yenu🙏🙏 Kama kichwa Cha habari...
  6. SILLENT KILLER 2

    Umejiandaaje na uwepo wa Anti-Christ

    Kuna hii kitu ambayo inaitwa Anti Christ. Kitu hii kweli mbona inakuja kwa kasi sana wakuu nyie mmejiandaaje?
  7. Technophilic Pool

    Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

    Wataalamu wa dini mje hapa? Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu? Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu) Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya...
  8. Yesu Anakuja

    Sifa za Manabii wa uongo

    1. Wanajali zana pesa kuliko kumtumikia Mungu. 2. Wanaamini Yesu sio Mungu. 3. WANA MADHABAHU ZAO, hata maombi wanaomba kwa madhabahu ya mtumishi huo, sio kwa Jina la Yesu, wanaamini madhabahu yao ina nguvu, kumbe Nguvu zetu zinapaswa zitokane na Roho. 4. Injili zao muda mwingi ni za miujiza...
  9. M

    Baadhi ya waislamu wamjia juu Mwijaku kwa kuudhalilisha Uislamu

    Ebana wanajamvi inakuwaje Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake wa Facebook baada ya kuposti video akiwa likizo na familia yake dubai. Waumini hao wamekasirika na...
  10. MK254

    Wanaume wanne wamcharaza mwanamke viboko kisa dini

    Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye. Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini Hizi laana zitakuja kuwatafuna brazaj === Ujumbe: Video imeondolewa.
  11. M

    Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

    Dhana ya Haki na Uhuru wa Kuabudu JE NI HAKI KWA WATENDAJI WA SERIKALI KULAZIMISHA RAIA AU WATUMISHI WA UMMA KUISHI BILA DINI AU KUZUIA UHURU NA HAKI YA KUABUDU WAKIWA KTK OFISI ZA UMMA? Kwa ufupi Serikali haina haki ya kuzuia haki na uhuru wa watu kuabudu na kuwang'anya haki yao ya kuwa...
  12. Komeo Lachuma

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Akifanyiwa mahojiano na kituo cha Habari cha Global TV Dkt Sule ameeleza masuala mbalimbali yanayohusu kupata mali kwa kutumia majini. Akifafanua kwa imani yake kuwa kupata mali kwa Majini si haramu Sule anasema: Kupata mali kwa njia ya majini ambao sio wachafu sio haramu, nitasema na...
  13. MK254

    Wayahudi hata wakijiunga uislamu, bado watauawa sana tu, hizi hapa facts

    Hizi ni facts sio chuki..... Wakijiunga mlengo wa Shia, ili wawafurahishe Iran, Yemen, Lebanon watachukiwa au kuuawa na mlengo wa Sunnis wa Misri na Saudi Arabia. Kinyue chake pia vivyo hivyo, wakijiunga Sunni watachukiwa sana na Iran, Lebanon n.k. Wakiamua wajiunge Sufi, watachukiwa au kuuawa...
  14. Mkwawe

    Askofu mkosoaji wa uislamu avamiwa na kudungwa kisu katikati ya ibada

    Askofu wa Assyriac Church Mari Mari Emmanuel alidungwa kisu pamoja na waumini kadhaa katikati ya ibada huko Wakeley Jumatatu usiku. Shambulio hilo lilitokea katika Kanisa la Christ The Good Shepherd Church. Picha hiyo ilinaswa kwenye mkondo wa moja kwa moja wa ibada na ilionekana kuonyesha...
  15. Mhaya

    Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

    Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go. Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran. Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa...
  16. Jason Bourne

    Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga. Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa...
  17. Trainee

    Itambue miezi mitukufu kwa mujibu wa uislamu. Mwezi wa Ramadhani si katika miezi mitukufu

    Assalaamu àlaykum wa rahmatullaahi wa barakaatuh Kuna watu wakiona heading kama hiyo tayari astaghfirullaah zinakuwa nyingi wakidhani labda nimepotosha. Twende pamoja kwa ufupi sana utanielewa Kalenda wanayotumia waislamu (si kwamba mimi siyo mwislamu bali mimi na wenzangu baadhi tunaitumia...
  18. M

    Tanzania ni nchi ya pili Afrika kuamini uchawi na ushirikina. Elimu duni, kuamini dini sababu kuu za kuamini uchawi sana

    Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika. 1. Cameroon 2. Tanzania. DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana. Quran imeongelea ushirikina na ina...
  19. BAKIIF Islamic

    Msiogope hizi Tahasusi za form 5 na 6, katika Uislamu, hakuna mgawanyo wa 'Elimu Dunia' na 'Elimu Akhera'

    Mgawanyo wa Elimu usiokubalika katika uislamu (Usio sahihi) -Katika uislamu, HAKUNA mgawanyo wa Elimu Dunia na Elimu Akhera -Mgawanyo huu ni potofu wenye dhana ovu kua kuna maisha ya dini yanayoongozwa na Mwenyezi MUNGU na maisha ya Dunia yanayoongozwa na binadamu Katika uislamu elimu maana...
  20. Webabu

    Vita vya Gaza ni mwendelezo wa vita dhidi ya Uislamu kwa mtindo mpya

    Katika historia ya dunia hakujawahi kuwepo utulivu .Ni vita tu kwa mitindo tofauti kulingana na muda. Vita hivyo viko vya aina mbili.Vile vya kiuchumi na maslahi ya kidunia ambavyo hupiganwa na mashetani wawili wote wenye malengo ya kidunia. Vita vya aina ya pili ni vya kidini ambavyo hupiganwa...
Back
Top Bottom