Habari wana Jamii Forums,
Pasipo kupoteza muda, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu.
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusiana na baadhi ya watu walioishiwa hoja za kuunga mkono mkataba tata wa DPW. Hivyo baadhi wamejikuta wakitumia hoja ya udini na uarabu.
Wanaopinga mkataba...
Tende ni kati ya matunda ninayoyapendelea sana. Nilianza kuyatumia kwa kuvutiwa na ladha yake, sikujali sana faida zake kiafya, na wala sikuwa nikizifahamu.
Ni hivi karibuni, tena kupitia nyuzi za humu Jamii Forum, nilifahamu kuwa tende si tunda lenye ladha nzuri tu, bali pia lina faida lukuki...
Waislamu Wengi hasa hawa wa Tanzania Huwa wanajiona kama ni kundi lenye mahitaji maalumu. Yaani kundi la kupendwa pendwa lisilotakakiwa kukosolewa pale mnapo mbwela mbwela
Ngoja niwaambie nyie siyo walemvu. Habari za Kusema Kila kitu eti Kwa kuwa ni muislamu ndo maana imekuwa hivi na vile...
Salaam alaykum...
Wengi wamekuwa wakipotosha watu kuhusu uislamu mpaka watu hao (wapotoshwaji) wamekuwa wakiona uislamu ni kitu kisichofaa katika jamii. Haijaisha hapo tu bali hata waliofuata huo uislamu wamepotoshwa baadhi ya mambo mpaka kufikia kuona dini yao ni chungu na ngumu kutekeleza...
uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?
Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.
Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya...
Kuna watu wanataka kugeuza issue ya Bandari zetu kuwa ya dini... Kusema kwamba watu hawataki DP world kisa ni waislamu ni upotoshaji mchana kweupe..and cheap politics ujinga na kukosa hoja.
Sisi hatutaki mwekezaji tumkabidhi rasilimali zenu Kwa upendeleo wowote ule. Eti kisa Raisi ni muislamu...
Kutoka nchini Marekani Pichani ni Imam Mwanamke Amina Wadud akiswalisha kundi la Wanaume, alianza kwenye kutafsiri Qur'an hadi kuwa Imam anayesimama mbele ya mamia ya Wanaume na anaongoza Sala ya Ijumaa.
👉 I mean no malice to nobody.
Imam Mwanamke' Amina Wadud: Kutoka kufasiri Quran hadi kuongoza sala ya Ijumaa
Mmarekani mwenye asili ya Afrika, Amina Wadud - ambaye alichagua kuandika jina lake kwa herufi ndogo, kulingana na herufi za Kiarabu ambazo hazitambui herufi kubwa - alikuwa mwanamke wa kwanza kuongoza sala ya Ijumaa...
Hello JF,
Hivi asili ya watu wanaomriwa kuuwa au kunyongwa baada ya kukutwa na makosa ya yanauoadhibiwa na nguzo za kidini je, wapo wa Royal family au ndio wale makabwela wale wenye African origin? Mwenye history ya hukumu hizo aweke bayana kama hizo Adhabu hazikuwa kwa wenye asili ya Africa...
... Soma kuhusu uislamu ni nini? Utapata jibu, huwezi kupata maarifa bila kusoma
Someni . mtume Mohammad alikuja kukamilisha maana ndo mtume wa mwisho hakuna mwingine mpaka kiyama kinasimama.
QUR'AN
Ndo kitabu kitukufu pekee duniani maana kimekamilika kila idara utofauti unakuja kutokana na de...
Hello JF,
👇👇👇
Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi.
Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji...
Katika nyumba kama mnaishi na Mkristo hakikisheni mnampatia chakula kama ilivyo desturi, Kama kuna Mkristo ambaye anafunga mwezi wa Ramadhani, jambo la kwanza ni yeye kuukubali na kuingia kwenye Uislamu, kwa sababu kufunga bila kuingia Uislamu hakutamnufaisha.
Kwa hiyo ni muhimu kwake, kwanza...
Gazeti la Mwananchi la leo limekuja na kichwa cha habari kikubwa "Bakwata ilivyokoleza mjadala wa umri wa kuolewa"
Huku likiwa likiweka picha ya mtoto wa miaka 6 kwenye ukurasa huo. Najiuliza lengo la kuweka hii picha ni kuwa wanamaanisha Bakwata wanaunga mkono watoto wa miaka 6 kuolewa...
Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.
Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.
Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
1. Ni siku ya ibada maalumu kwa swala ya jumah.
2. Quran ilianza kushusha siku ya ijuuma kwa Kipenzi chetu Muhammad (saw)
3. Itakua siku ya ijumma ndo Qiyamah itatokea. kati swala ya ijuuma na swaratul Asr.
4. Ilikua siku ya ijumma ndo Mtume Muhammad (saw) kapelekwa Isra wa Imraji.
Na sababu...
Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu.
Uislamu na maendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu.
Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa kutumia mifano iliyo hai. Maeneo mengi ya Waislamu kuna tatizo kubwa la kukidhi mahitaji ya...
Wakristo sisi tumefundishwa hivi;
Mathayo 5:43-44. Mmesikia kwamba imenenwa, umpende jirani yako, na umchukie adui yako; 44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.
Ila sijui wenzetu wa upande wa pili wamefundishwa nini kuhusiana na upendo?!
Qatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Moderators naomba mada hii msifikirie nataka kuleta udini maana katiba ya nchi yetu haina dini naongelea dini moja tu ya uislam sitataja dini nyingine kuzikandia maana ni ukweli ulio wazi kati yetu hadi sasa hakuna ambaye ana uhakika ni dini ipi mungu anaikubali.Najua kuna dini za Ibrahima yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.