Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguzwa na taarifa za kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021.
Amesema kwa maadili ya dini ya kiislamu marehemu anatakiwa kukumbukwa kwa mazuri. Hivyo ametoa wito kwa watanzania kukumbuka mazuri ya Rais...
Ureno kwa nchi za Afrika Mashariki iko pembe ya mbali sana na mbele ya kaskazini magharibi ya Afrika.Hata hivyo eneo hili la Afrika limejaa historia inayofungamana na Ureno kuanzia Kenya mpaka Msumbiji.
Hii nchi inayojulikana rasmi kama Porugal kwa sasa inajinasibu sana na Ukristo wa madhehebu...
Rais Dkt. Magufuli ulimtumbua upesi yule Mtumishi wa Halmashauri ya Kilosa Ndugu Daniel Maleki ambaye alikuwa ni Afisa Kitengo cha Biashara kwa Kosa la Kuchana Kitabu Kitakatifu cha Quran kinachotumiwa na Waislamu, ila tunashangaa ni kwanini hadi hivi sasa hujamtumbua Mkuu wa Wilaya Jerry Muro...
Kiukweli nashindwa kuelewa uhalali wa ndoa ya mkeka
Ndoa ya mkeka ni ndoa ambayo huwalazimisha vijana kuingia katika ndoa kuwaepusha na kuendeleza zinaa
Hufanywa kwa kuwavamiwa watoto hao wawapo faragha na muda huo huo ndoa hupishwa na kufungishwa na shekhe
Ndoa hizi zimekuwa zikihusishwa na...
Ulinzi wa haki za binadamu ni haki ya msingi kwa kila mwanadamu ambapo mwanamke na mwanamme wana haki sawa katika kufaidi haki hizo. Kukosekana kwa haki hizo kunapelekea kudharaulika, kuongezeka umasikini na kukosekana kwa amani ya wanawake.
Mikataba mbalimbali imepitishwa ili kuhakikisha kuwa...
Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius Exiguu.
Hesabu hii haikuwa na uhakika na ilikuwa kimakadirio tu ya bwana Dionyius. Sababu kuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.