Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,124
- 2,472
Nimekaa hapa nimetafakari,
Ikiwa Mungu anatoa dini kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, tungetegemea lazima dini hiyo itoe mwongozo unaogusa kuanzia ibada , namna wanadamu wanavyo takiwa kuishi, pamoja na familia, ndoa, talaka, mali, biashara, mirathi, haki, wajibu na mahusiano ya kijamii etc
Lakini kwanini Ukristo hauna sheria za kuongoza jamii tofauti kama ilivyo kwa uislamu na Uyahudi.
Kwa mfano , Kwenye Uyahudi kuna Halakha ni mfumo mpana wa sheria za dini unaohusu ibada, familia, biashara, ndoa, talaka, mirathi, chakula, n.k.
Kwenye Uislamu Sisi tuna Sharia/fiqh humu kuna kanuni za dini Ikiwa pamoja na mifumo ya ibada, ndoa, mirathi,chakula, iashara, jinai, n.k.
Lakin Ukristo kwenye Agano Jipya halijaweka mfumo wa kisheria wowote wa kusimamia jamii kwa kiwango hicho, kuna mafundisho tu ya kimaadili na kidini, lakini kwa mambo mengi ya kiraia kama mirathi, mikataba, mali, serikali hamna.
Tunafundishwa kwamba Mungu alimpa Musa Torah kama mwongozo wa maisha ya jamii ya wayahudi ,
Yesu akaja na New Covenant,
Hiyo new Covenant ikachukua nafasi ya Old Covenant (Torah kwa mujibu wenu)
Sasa swali linakuja
Hio new Covenant imeleta wapi mfumo wa sheria unaochukua nafasi ya social guidance ya Torah?
Kama jibu litakua ukristo haukuja kuprovide civil law au kuanzisha political system.
Kwa nini Mungu huyo huyo alitoa civil laws kwa Israelites kupitia Musa, lakini hakutoa mfumo wa aina hiyo kupitia Christ katika New Covenant?