Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

Bado hujatoa jibu ,Canon Law ni mfumo wa sheria wa Kanisa Katoliki , hautoi social guidance kwa dini kama dini nini kifanyike kwe Mambo ya kijamii.

Kwa mfano, Mkristo akifa akiacha mali, mirathi yake itaamuliwa na sheria ya nchi yake. Lakin Ukristo hauna maelezo nini kifanyike

Hata kwenye biashara, property, mikataba, criminal law na mambo mengine ya kiraia yanaendeshwa na sheria za nchi.

Dini haina ufafanuz na kanuni za watu kufuata, kwa ufupi mkristo hawezi kuishi kwa kufuata mfumo wa Ukristo kwasababu hakuna huo mfumo imekua kama kitu optional kukifata
Umepiga ya utosini kabisa

1789077958966.png
 
Kila kitu kimeandikwa ni kutenga muda wako kusoma. Pia Yesu hakuja kutengua torati mkuu jielimishe.

1. Mirathi
Kumbukumbu la Torati 21:15–17
“Akina mtu wawili wakimwoa wake, mmoja apendwaye na mmoja achukiwaye, nao wakamzalia wana, na mzaliwa wa kwanza ni wa yule mke achukiwaye; ndipo itakapokuwa siku ya kumpa wanawe urithi wake, hatamfanya mwana wa mke apendwaye kuwa mzaliwa wa kwanza mbele ya mwana wa mke achukiwaye, aliye mzaliwa wa kwanza; bali atamkubali mwana wa mke achukiwaye kuwa mzaliwa wa kwanza, kwa kumpa sehemu mbili za mali yake yote...
2.Hukumu
Mambo ya Walawi 19:15
“Hamtatenda uovu katika hukumu; hutamfavouri maskini, wala hutamheshimu mwenye cheo; kwa haki utamhukumu jirani yako.”

Kutoka 18:21–22
“Zaidi ya hayo utachagua katika watu wote watu wenye uwezo, wenye kumcha Mungu, watu wa kweli, wanaochukia tamaa; nawe uwaweke juu yao kuwa wakuu wa maelfu, wakuu wa mamia, wakuu wa hamsini, na wakuu wa makumi; nao wahukumu watu kila wakati...”

3. Migogoro
Mathayo 18:15–17
“Na ndugu yako akikukosea, nenda ukamwonye faraghani; akikusikia umempata ndugu yako. Lakini asiposikia, chukua pamoja nawe mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike. Na asipowasikia hao, liambie kanisa; na asipolisikia kanisa, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.”
4. Maadili ya Jumla
Mika 6:8
“Ameonyesha kwako, ee mwanadamu, lililo jema; na BWANA anataka nini kwako, ila kutenda haki, kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.”
huu ni upupu wa kiroho
ndio maana wakatoliki wanajiamulia watakavyo, leo ukiacha kusali kwao, ukifa wanakususa

leta hapa miongozo kama hii sio vifungu vya kina mathayo vinavyotofautina na vya luka

Israel- Inayokuwa na asilimia zaidi ya 70% ni jews wanafata halakha
UAE/Saudi/Brunei - zinazokuwa na zaidi ya 80% ni islam wanaofata sharia law

Bibilia ni kitabu tu kilichoungwaungwa na wajanja wa vatikan , ndio maana wanaweza kubadilisha kwenda na wakati, kwa sasa wakatoliki, walutheri, waanglikan wote wameaafiki ushoga
Kwa Israel hizo zipo TU kwenye vitabu haazitumi kama ni msingi wa sheria kwa Nchi.

Ukija UAE sharia zimebaki TU kwa waarabu wenyewe TU, na sio foreigner's, na sio sharia zoote zinafuatwa ,

Saudi Arabia, Wana anaanda miji Kwa ajili ya high tech na kupokea foreigner's investors, ili kukusa uchumi wa Nchi na kuondoka na utegemezi wa oil, huku wakitumia international law's kwenye hiyo miji na ismlaic sharia ikiwekwa pembeni.

MBS analamika radical islamists wamesababisha Nchi hiyo kudumaa kiuchumi
 
Na Muddy aliungaunga kitabu gani??!😂
 
ISHI HUMU

Ndio maana unaona mkristo anaweza ishi sehemu yoyote kwa amani bila kulazimisha jamii iamini mapokeo yake unlike muislamu anaona kila mtu anahitaji kufuata sheria zake.

1. Warumi 13:1–7: “Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu.” Paulo anaeleza kuwa watawala ni watumishi wa Mungu kwa manufaa ya watu, na waumini wanapaswa kulipa kodi na heshima kwao.

2. Tito 3:1: Waumini wakumbushwe kunyenyekea kwa watawala na wenye mamlaka, na kuwa tayari kwa kila kazi njema.
3. Waebrania 13:17: Watiini viongozi wenu, maana wao wanakesha kwa ajili ya roho zenu.
4. Matendo 5:29: Petro na mitume walisema, “Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.”

Ukiacha sheria za kanisa wakristo wameamuriwa na biblia kutii mamlaka zilizopo na namna wanavyoziendesha.
Hata Uislamu pia tuna concept ya kutii mamlaka. Qur'an 4:59 inaamuru waumini kumtii Allah, Mtume na ulil-amr (wenye mamlaka), huku utii uwe ndani ya mipaka ya haki.

Lakin haiondoi haki ya dini kuwa na guidance zake za namna ya watu kuishi na kufafanua Mambo , Ikiwa dini ipo kwenye hali ya minority lazima itii mamlaka na sheria kwa haki.

Lakin ikiwa ndio Supiority lazima iwe na mfumo wake kamili wa kuongoza jamii, kwa Ukristo sio kwamba haitaki kulazimisha jamii, tatizo ni kwamba haina huo mfumo wa kuongoza jamii.

Ndio maana hata inchi zenye majority ya wakristo bado kila Mtu anaishi kwa utaratibu wake, hamna single comprehensive religious civil code. watu wanatafuta majibu na ufafanuz nje Ukristo,

Muislamu anaweza kuishi UK, marekani na akutii sheria ya nchi, lakini bado akawa na Sharia kama religious framework inayomwongoza kwenye ibada, ndoa, talaka, mirathi, biashara, madeni, mali, familia na mambo mengine ya maish
 
hizi ndio level za ukilaza pro max
umeshindwa kujibu hoja iliyo mezani, unachagua vifungu ili upasi mtihani wa necta
Hukuweka hoja..mimi ndo nimeweka hoja. Jibu Muddy aliungaunga kitabu gani kutoka mapangoni?
 
Kwa Israel hizo zipo TU kwenye vitabu haazitumi kama ni msingi wa sheria kwa Nchi.

Ukija UAE sharia zimebaki TU kwa waarabu wenyewe TU, na sio foreigner's, na sio sharia zoote zinafuatwa ,
Acha kutofautisha sheria zifuatwe kiserikali au kijamii
Halakha na Islamic law zinfuatwa na raia ambao ndio fabric ya jamii, kama xinakinzana na human devolopment kama unavyosema basi mindset za hao waislareli na UAE zisingeleta maendeleo nchini kwao.

Saudi Arabia, Wana anaanda miji Kwa ajili ya high tech na kupokea foreigner's investors, ili kukusa uchumi wa Nchi na kuondoka na utegemezi wa oil, huku wakitumia international law's kwenye hiyo miji na ismlaic sharia ikiwekwa pembeni.
Kwani kuna shida gani, kusema hivi inaonyesha upeo wako wa ufahamu dunia inavyokwenda, umeishi maisha yako yote kijiji hicho hicho, tafuta passpoti utoke ukatembee uone dunia
Ndani ya Saudi , tokea miaka ya 60, kuna estate inaitwa ARAMCO, ukiingia ndani ni kama US, mpaka supermarket na mahoteli ya US yako, na night club na pombe kama zote, na vitu vinauzwa kwa bei soko la US, yaani kama utakavyonunua soda US, basi ni bei hio hio ndani ya ARAMCO.

MBS analamika radical islamists wamesababisha Nchi hiyo kudumaa kiuchumi
Hili ndio tatizo la kujipatia habari kwenye magrupu ya wasap na chaneli wa wachungaji yutyubu
 
Mimi sijauliza Mkristo anawezaje kuongozwa kiroho au kutambua mema na mabaya. Nimeuliza mfumo wa sheria za kijamii

Objective rules za wazi zinahitajika ambazo zitazotumika kwa jamii nzima,

Haya kama Roho Mtakatifu atamfundisha kila Mtu. kwa fano Mkristo akifa na kaacha mali Roho Mtakatifu anaweza kufundisha kwa mazingira gani kwambs mgao wa watoto uweje?

Au Mtu akifanyiwa fujo ,wizi, assault au murder adhabu yake itaelezwa vipi kupitia roho Mtakatifu.

Maana hapo mtu anaweza kusema Roho amemwambia hiki, mwingine atasema Roho ameniambia nifanye hiki , hawezi kuongoza jamii kwa sheria ambazo Mtu Shahid yeye mwenyewe
Mtu akifanyiwa wizi, assault au murder, Roho Mtakatifu atakusaidia au kunena na wewe usilipe kisasi maana imeandikwa kisasi ni cha Bwana.
Kuhusu mambo yote uliyoyaandika Roho Mtakatifu ni mwalimu mzuri sana hutapata shida ya watoto kugombania mali maana utakuwa umewatrain na wao kumtegemea Roho Mtakatifu na pia atakupa hekima ya kufanya correct documentation ya mali zako.
Pia a carnal man will never understand the ways of the spiritual man, it is useless to teach a carnal man the ways of the spiritual man.
 
Mtu akifanyiwa wizi, assault au murder, Roho Mtakatifu atakusaidia au kunena na wewe usilipe kisasi maana imeandikwa kisasi ni cha Bwana.
Pia a carnal man will never understand the ways of the spiritual man, it is useless to teach a carnal man the ways of the spiritual man.
karibu mlokole 😂
 
Kakojoe ukalale, hii mada imekuzidi kimo
😁😁😁😁Sawa mkuu ila hujajibu, Muddy aliungaunga kitabu gani kutoka mapangoni??! Nani alimpa utume? Ngoja nikakojoe nikirudi nikute umejibu mkuu, mimi nauliza nipate ufahamu tu.
 
Nimekaa hapa nimetafakari,

Ikiwa Mungu anatoa dini kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, tungetegemea lazima dini hiyo itoe mwongozo unaogusa kuanzia ibada , namna wanadamu wanavyo takiwa kuishi, pamoja na familia, ndoa, talaka, mali, biashara, mirathi, haki, wajibu na mahusiano ya kijamii etc

Lakini kwanini Ukristo hauna sheria za kuongoza jamii tofauti kama ilivyo kwa uislamu na Uyahudi.

Kwa mfano , Kwenye Uyahudi kuna Halakha ni mfumo mpana wa sheria za dini unaohusu ibada, familia, biashara, ndoa, talaka, mirathi, chakula, n.k.

Kwenye Uislamu Sisi tuna Sharia/fiqh humu kuna kanuni za dini Ikiwa pamoja na mifumo ya ibada, ndoa, mirathi,chakula, iashara, jinai, n.k.

Lakin Ukristo kwenye Agano Jipya halijaweka mfumo wa kisheria wowote wa kusimamia jamii kwa kiwango hicho, kuna mafundisho tu ya kimaadili na kidini, lakini kwa mambo mengi ya kiraia kama mirathi, mikataba, mali, serikali hamna.

Tunafundishwa kwamba Mungu alimpa Musa Torah kama mwongozo wa maisha ya jamii ya wayahudi ,Digita

Yesu akaja na New Covenant,

Hiyo new Covenant ikachukua nafasi ya Old Covenant (Torah kwa mujibu wenu)

Sasa swali linakuja

Hio new Covenant imeleta wapi mfumo wa sheria unaochukua nafasi ya social guidance ya Torah?

Kama jibu litakua ukristo haukuja kuprovide civil law au kuanzisha political system.

Kwa nini Mungu huyo huyo alitoa civil laws kwa Israelites kupitia Musa, lakini hakutoa mfumo wa aina hiyo kupitia Christ katika New Covenant?

Uislamu gani unaouongelea wewe? Kuna watu wanaouana wenyewe kwa wenyewe kama maislamu? Na digotal world makes it easier to learn.

expect more challenges way forward....
 
Ukristo ni dini aliyotunga Paulo, ukitaka kujua ni watu wakutunga, waulize ZINAA maana yake nini?
msilete udini wenu wapumbavu nyie, ina maana hamjui mifumo ya sheria imetoka wapi? Sasa fahamuni ukristo ndio unaotawala dunia
 
Nimekaa hapa nimetafakari,

Ikiwa Mungu anatoa dini kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, tungetegemea lazima dini hiyo itoe mwongozo unaogusa kuanzia ibada , namna wanadamu wanavyo takiwa kuishi, pamoja na familia, ndoa, talaka, mali, biashara, mirathi, haki, wajibu na mahusiano ya kijamii etc

Lakini kwanini Ukristo hauna sheria za kuongoza jamii tofauti kama ilivyo kwa uislamu na Uyahudi.

Kwa mfano , Kwenye Uyahudi kuna Halakha ni mfumo mpana wa sheria za dini unaohusu ibada, familia, biashara, ndoa, talaka, mirathi, chakula, n.k.

Kwenye Uislamu Sisi tuna Sharia/fiqh humu kuna kanuni za dini Ikiwa pamoja na mifumo ya ibada, ndoa, mirathi,chakula, iashara, jinai, n.k.

Lakin Ukristo kwenye Agano Jipya halijaweka mfumo wa kisheria wowote wa kusimamia jamii kwa kiwango hicho, kuna mafundisho tu ya kimaadili na kidini, lakini kwa mambo mengi ya kiraia kama mirathi, mikataba, mali, serikali hamna.

Tunafundishwa kwamba Mungu alimpa Musa Torah kama mwongozo wa maisha ya jamii ya wayahudi ,

Yesu akaja na New Covenant,

Hiyo new Covenant ikachukua nafasi ya Old Covenant (Torah kwa mujibu wenu)

Sasa swali linakuja

Hio new Covenant imeleta wapi mfumo wa sheria unaochukua nafasi ya social guidance ya Torah?

Kama jibu litakua ukristo haukuja kuprovide civil law au kuanzisha political system.

Kwa nini Mungu huyo huyo alitoa civil laws kwa Israelites kupitia Musa, lakini hakutoa mfumo wa aina hiyo kupitia Christ katika New Covenant?
Alqaida, Boko Haram, abusayaf, al shababy, ISIS, yote haya ni msislam, hiyo social shit, imesaidia ni ni?
 
Nchi na vyote viiiazavyo ni mali ya Bwana.
 
KIasi umesema sawa. Hii tofauti ni kubwa mno na ni ngumu sana kuielewa kwa njia rahisi.
Dini ya Kiyahudi na Uisilamu unafundisha dini ya nje ya mwili yaani mtu anafundishwa matendo yanayoongozwa na taratibu za nje ambazo zinamuongoza kuishi na zinamuongoza amfurahishe au kumpendeza Mungu.
mfano taratibu za ibada, kutawadha au kuosha mwili ni sehemu ya mambo ambayo dini ya Kiyahudi na Kiislamu huongoza muumini katika usafi mbele za Mungu wake, huu ni usafi wa nje au usafi wa mwili sio wa nia
Mirathi ni moja ya mfano ulioutoa nami nitautumia, huu ni utaratibu wa kisheria wa kugawana mali unaongozwa na sheria za nje si za nia, mtu atapewa kulingana na taratibu si kulingana na upendo uliopo mioyoni, UKristo una deal na roho au moyo wa muumini(akili) amabayo kama itamuelekea Mungu usafi wa mwili si kitu bali usafi wa moyo hivyo kutawadha au kutotawadha si kitu kama moyo wako haujatawaliwa na nia ya Mungu. Mayahudi wajisafisha sana kila siku wakati wa ibada zao lakini wakimaliza wanamuua mtoto wa jirani ya mplalestina , sasa hapa utaratibu wa kidini umesaidia nini?
Uchoyo wa mtu hautibi kwa sheria za mirathi, mtu mchoyo mbele za sheria atatekeleza takwa la sheria ya mirathi lakini moyoni mwake ataendelea kuwa na nia ya kudhulumu ndugu yake, hivyo kwa nje ametekeleza takwa la kidini lakini moyoni hana nia njema ya Kimunngu.
Kwa kufupisha Uyahudi na Usilamu unatatua tatizo kwa nje yaani matokeo kwa kuweka taratibu na sheria kadhaa , lakini Ukristo unashughulika na chanzo cha tatizo ambalo ni moyo wa mtu. Moja ni dini ya nje ya roho na nyingine ni dini ya rohoni
 
Back
Top Bottom