Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Nanukuu kitabu cha kiislamu kama ifuatavyo;
"Kasema Mtume (s. A. W) Anamwingia Mmoja Wenu Shetani Katika Sala. Basi Anampuliza Katika Matako Yake. Basi Yule Mtu Inamwingia Fikra Kua Umemtoka Upepo. Nae Haukumtoka. Basi Akiona Hali Hiyo Asiondoke Kwenye Sala Mpaka Asikie Umemtoka Huo Upepo.
(KITABU CHA MKWELI MWAMIU JUZUU YA 1- -2. HADITHI NA 74. UK 42"
Mimi Mambaz 24 nawakumbusha ndugu zangu kuwa YBWYB.