Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Unaambiwa lile genge la watekaji,wafiraji,mafisadi na marcatel ya mafuta yamekuwa yakituma makuwadi yao huko gerezani kwa lengo la kuomba msamaha kwa lissu ili atakapotoka asiwe na msimamo mkali badala yake awe kama kina mbowe na kwamba wamemuahidi mabillion ya pesa. Lakini cha kushangaza lissu amewajibu kuwa yeye hana shida na mabillion yao badala yake katiba mpya itungwe na tume huru ya uchaguzi iwekwe kwenye katiba husika na amewambia watu kutekwa na kuuwawa tabia hiyo ikome. Baada ya kuwambia hivyo makuwadi yakaondoka ndio maana jana ametoa kauli kwa lugha ya ukali pale mahakamani.
NB: Lissu sio level ya mbowe hata nusu na kama chadema wangefahamu mapema wangemchagua hata kabla ya kupigwa risasi na bashite na genge lake kule Area D.
NB: Lissu sio level ya mbowe hata nusu na kama chadema wangefahamu mapema wangemchagua hata kabla ya kupigwa risasi na bashite na genge lake kule Area D.